Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Wewe ulishajikomboa ?Mpaka sasa inaonesha akili yako inahitaji ukombozi. Sinahaja ya kuendelea kubishana na wewe [emoji706][emoji706][emoji706]
Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.Hivi wewe mbona una akili ya ajabu, naongelea kitu kilichoandikwa kwenye scientific paper ambayo ni published na reputable journal, unaelewa nini hapa:
"The characteristic of monazite is that it contains considerable rare earth elements (REEs). REEs are considered very useful elements in the local industries and scientific researches such as ceramic, semiconductors, and glass optics."
Naweka pia wikipedia:
"Monazite is a primarily reddish-brown phosphate mineral that contains rare-earth elements. Due to variability in composition, monazite is considered a group of minerals." - Monazite - Wikipedia
Read more View attachment 2387307
Si usubiri uone kama yanarudi au hayarudi ? Unataka kubishana kitu usichojua hatma yake ?Point yako kwamba majimbo yanarudi Ukraine??.
Kaka makenge wengi kama jamaa yao Putin, hawajui lolote kwamba Purin has been fixed already.
Kura za juzi 143 against 35 hakuna vita kuu ya 3 hapo...arushe nuclear ili watu wambokoe hadi ajikojolee.
Afu unategemea ati mchina, muhindi na yule pink guy akusadie ha ha ha
Saudia analinndwa na USA, akiondoa ulinzi wake nyie waarabu wenzio mtamla kichwa.
Wewe unanishangaza, can you read here: LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo? ?Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.
Rare earth elements hizi hapa na zipo kwenye periodic table. Tatizo lako hujui tofauti ya mineral na elements. Hata Tanzanite ni mineral but is not an element.
View attachment 2387365
Useless.
Acha kujitia ujinga wewe....Putin has been fixed already. Hana lolote kukopa drones toka Iran aibu tupu.
Umesema kweli mwamba.
Putin Kila hotuba yake haachi kutaja neno multipolar,
Na ni kweli Kuna wimbi kubwa sana la nchi zilizokua watiifu kwa Marekani Sasa zinaikaidi.
Inawezeka Kuna mipango nyuma ya pazia Urusi aliiandaa na kuwamezesha sumu wakuu wa nchi hizo juu ya ukoloni wa Marekani.hebu tazama wimbi la wakuu wa nchi za kiarabu Wanavyopishana kwenda kwa mzee mzima Putin.
Tazama Soud Arabia wanamvimbia USA,na USA anatishia kuondoka wanajeshi wake na mifumo ya ulinzi wa anga kwenye visima vya mafuta ya soud.Hivi hapa kweli kuondoka mifumo ya ulinzi si ndio kitu Urusi anaombea ili apeleke Yeye vifaa vyake?
Kama Kuna kitu Urusi wameonesha uwezo wao wa kucheza Chess basi ni kumvutia kwake Saudia.
Huwezi Amini hata wale ambao sikuwategemea kumfuata Urusi katika umoja wake ni pamoja na Pakistan.
Pakistan nae anatamani sana kujiunga na umoja ambae Russia ndio kaka mkubwa wao ama china
Wakati Pakistani miaka yote ni mfuasi wa Marekani.
Sasa watiifu wote wa Marekani wanaanza kumkwepa.
Tusubiri.
Nionyeshe popote kwenye huu uzi ambapo nimeandika kuwa "Monazite ni element" au ambapo source yoyote niliyoleta inasema Monazite ni element.Nimekuuliza swali uniambie atomic namba ya hiyo element.
Rare earth elements hizi hapa na zipo kwenye periodic table. Tatizo lako hujui tofauti ya mineral na elements. Hata Tanzanite ni mineral but is not an element.
View attachment 2387365
Sasa mbona unajiabisha mwenyewe we mpuuzi! Unazani huo uzembe wa hali ya juu unakujaje? Si watu kama nyie ndo mnaleta huo uzembe! Inakuwaje mtu unashabikia mashoga...watu wanaojiona wao n bora kuliko wenzao?Unadhani mimi ni useless kama wewe ? Tuna ardhi na sehemu mbalimbali nchi hii ngano inalimwa, go and find acha kuwa ng'ombe. Hiyo ngano inakuja TZ sababu ni cheap plus uzembe wa hali ya juu. Haina maana hatuna ngano.
Ni ujinga sana kwa Tanzania kuingiza ngano badala ya kuuza kwa sababu ina ardhi nzuri ya kilimo cha ngano.
Mamluki toka America hapo chini keshalambishwa Shaba anafikiri ni Iraq or AfghanistanTULILENGA KILA MMOJA, KILA MAHALI, KILA ENEO, HADI TUNAHAKIKISHA WANAJISALIMISHA. TUMESHAMBULIA KILA ENEO LENYE MIUNDO MBINU HASA MJINI KIEV, MADARAJA, KAMBI ZA JESHI, VITUO VYA UKAGUZI NA KAMBI ZA WANAJESHI KUTOKA NJE.
WANAJESHI WETU HAWAWEZI KUFA KIZEMBE. KWENYE HII VITA KAMA NATO WANAVYADHANIA, KAMA WANAWATUMA MAMLUKI WAO KUJA KUPIGANA NCHINI UKRAINE BASI WATABAKIA HUMU MILELE. MANENO YA KAMANDA ARMAGEDON.
Mashoga ukichunguza vizuri ukoo wenu, unaweza kukuta mnao tena wa kutosha.Sasa mbona unajiabisha mwenyewe we mpuuzi! Unazani huo uzembe wa hali ya juu unakujaje? Si watu kama nyie ndo mnaleta huo uzembe! Inakuwaje mtu unashabikia mashoga...watu wanaojiona wao n bora kuliko wenzao?
Nyie wapumbavu, mlikuwa mnasema the same -- Gaddafi noma, kwanza ana nyuklia, Saddam mziki mzito, blah blah, where are they ?
Vita ilivyoanza, ile mikwara ya kenge Putin kuwa yeyote atakayeingilia kwa kuisupport Ukraine ataona cha moto, sio NATO, USA wala nani, mkashikilia hiyo kuwa USA anaiogopa Urusi. Cha ajabu mpaka nchi za kawaida tu kama Poland, Romania zimetoa misaada ya kijeshi kwa kutangaza hadharani. Kenge Putin amefanya nini ?
Nenda katafute nyuzi zenu za zamani.
Huwa mnajifariji kwa vitu vya kijinga sana.
Nikikuita wewe ni mpumbavu nitakosea!? Umesema Taiwan inaongoza kwa uzakishaji wa Rare Earth Metals. Sasa hivi unaruka ruka tu kama kuku anayetaka kutaga. Nyie pro nato ni empty head.Wewe unanishangaza, can you read here: LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo? ?
"There are around four thousand different minerals in the world. They are all naturally occurring inorganic solids. Each mineral is defined by its particular chemical composition and crystal structure. To explain what a mineral is properly, we have to introduce you to a bit of chemistry.
Minerals are made up of chemical elements. A chemical element is a substance that is made up of only one kind of atom. Have you heard of oxygen, hydrogen, iron, aluminium, gold and copper? These are all chemical elements." -- Oxford: The Learning Zone: What is a Mineral?
Haswa na wanamtumia kupitisha mafuta tangu wakati wa vita vya Iraq na pia baadae Syria
Turkey anakula kila upande