Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inabidi aende frontline kidogo kuwapa nguvu maana vijana wana surrender cheki video juu
 
USA ni nchi mseto, mule kuna kila aina ya species na akili wanazo za kutosha zinazowaweka kwenye nafasi waliyopo katika dunia ya sasa.

Ukifuatilia nchi za China, Urusi,Iran, Africa(exept for SA kidogo) na nchi nyingine nyingi raia wa taifa jingine nje ya taifa husika ni wa kuhesabu. Ila Marekani wapo kila taifa kuanzia wahindi, warusi mpaka wapare, na bado maombi ya uraia wa huko hayapungui.
 
Siangalii video za mwezi 6 afu Toka YouTube
Hata mm hizo video huwa na zipita kama sioni. Video halisi vunjo chukua Clip za Twitter. Mwenzie figganigga ana uzi wake wa Video. Amejaza mapicha na ma video ya kuokota. Huu uzi huwa ana uona kama kituo cha Polisi. Kule kwenye uzi wake yeye ndie Moderator, Author na Commentor.
 
Iconic Filmmaker David Lynch Tells "Zelensky" to Have a Beer with Putin

Ukrainian president Vladimir Zelensky should have a beer with his Russian counterpart Putin and talk peace, American filmmaker David Lynch insisted in an “interview” with Russian pranksters Vovan and Lexus.

Speaking to whom he thought was the Ukrainian leader, the Twin Peaks director said it was his “job” to inform Zelensky about “technologies” that exist for achieving a lasting peace and that these methods were far more effective than “war and murder,” referring to letters he had previously sent to the Ukrainian president.

Vovan and Lexus, posing as Zelensky, asked the filmmaker whether he thought there should be direct talks with Putin, to which Lynch emphatically replied “Yes!”, stressing that there were a number of ways to do so, such as an ordinary telephone call or a virtual dinner with a couple of beers.

Subscribe to RT
 
YouTube kila mtu ana upload kama Facebook tu
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia to impose sanctions on 32 citizens of New Zealand - RIA

The list includes representatives of the armed forces and some journalists, according to the foreign ministry.

Subscribe to RT
 
Marekani atapasuka msamba mwaka huu kule North Korea wamelipua roketi huku Iran yupo bize na Nuke akigeuka anakuta Russia anawaua Wanamgambo wa Ukraine na kulipua maghala ya silaha za msaada akitaka kusinzia anakuta Saudi Arabia amegoma kuzalisha mapipa mengi ya mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akitaka kukata gogo anaambiwa Nyambizi Hatari ya Russia haionekani tena kwenye rada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji23] kilichobaki ni kupewa kupigo tu
US Believes Iran Nuclear Deal Reboot “Highly Unlikely” – report

White House Middle East coordinator Brett McGurk has said the chances of reviving the 2015 nuclear pact with Iran are “highly unlikely” after months of stop-start negotiations and a war of words between Tehran and Washington, Axios has reported.

A top adviser to President Joe Biden, McGurk reportedly blamed Iran’s indecision for the impasse, claiming it wants the US to “add something to the pot” and alter the terms of the deal, though did not specify what that might entail.

NSC Coordinator for Strategic Communications John Kirby and a French presidency official have both indicated the ball is firmly in Tehran’s court to accept terms after US negotiations were declared complete.

Subscribe to RT
 
Vunjo jistukie na mavideo yako hayasaidii kutoa picha na MWENENDO ingekuwa round kwenye ring SAWA but for war frontline it's rather funny
 
Mnaposema video za kuokota manamaanisha nini wakti zinatumwa na wanajeshi walio frontline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…