Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Boss sisi hatupo kwenye mapigano, tunayachambua na kuleta habari. Tatizo lililopo ni kuingia vitani kuipigania nchi badala ya kufanya uchambuzi wa taarifa za wapiganaji.
Ni level tu za mahaba . Wapo walioenda field kwa mapenzi yao wengine wapo hai wanaendelea kupigana . Wengine walitoka,.na wengine wametangulizwa ahera. HAWA wanaochambua na kurushiana maneno hawajafikia level ya kujitoa ama Hawajui wajiungeje huko ndio maana WANAPIGANA vita ya propaganda
 

Mwamba what does it mean to ‘hold something back’?
 
Jesus given the fact that the UN body and the UN security Council are all puppets for Western Goverments,it is unlikely that anything will be done to Bolton.Afterall to sensible people Bolton is just another loon and nut.
 
Kutakuwa na mlipuko muda siyo mrefu ujao
 
Mpumbav kweli wewe ,hiyo dini uliletewa na majahazi ndio inakufanya kuandika trash hapa sio ?
Unajua hata validity ya hivyo vitabu vya hizo dini mlizoletewa Kwa jahazi nyie idiots ?
Eti mwana WA nuru , wewe Una akili kuliko waliokuletea utopolo wako huo unaouabudu na kuita dini sio ?
Mxiewww
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakwambia kuna wendawazimu humu , mental health troubles are real
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakwambia kuna wendawazimu humu
 
PM Viktor Oban wa Hungary alishawa challenge EU kwamba... Wanaweka vikwazo kwanza, then ndio wanaanza kutafuta solutions .

Akawaambia kwanza Watafute Solutions then ndio waweke hivyo vikwazo

Sasa kinachoonekana hapa ni kwamba, hizo solutions zimeshindwa kupatikana na ndio maana hizo nchi zinarudi tena kufanya biashara na Russia.
 
⚡⚡⚡ Iranian cargo planes continue to arrive in Russia.
Yesterday, a heavy transport aircraft Il-76 (EP-PUS) of the Iranian airline Pouya Air, affiliated with the IRGC, arrived at Vnukovo Airport from Tehran.
What he delivered to Moscow is unknown, but most likely a fresh batch of drones⚡⚡⚡
 
Wewe ni mtoto wa giza sikulaumu,yale ya ya baba yako ndiyo unayo waza na kutenda.Kwaheri.
 
Russia itakuwa inalindwa na mungu anayehitaji kafara na damu za binadamu hasa za watoto wadogo, ndio maana ameacha kupigana fronts na wanajeshi ameamua kuua raia kiholela Kyiv na miji mingine.
Raia wameanza kuuwawa leo,kuna watu huku ni wasomi na waelewa sana laoini linapokuja suala la ushabiki na upenzi hawajfichi wacheni kinuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…