Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa ndio wazee wa kazi Sasa[emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuwekane sawa . Vita ya Iraq vs Iran ilichukua muda mrefu na niliifuatilia drone hazikuwapo. Nimeanza kusoma habari za ndege zisizo rubani miaka ya 2000+
 
Kwani Ukraine si anapata support kubwa tu ya NATO? Kama ni Yes, Basi Russia anapigana na NATO pia.
 
Sure
 
Hata akili za ukoo wenu wote zikiunganishwa na mkipewa muishi miaka 1000 mara 2 kamwe hamtakaa mfikee robo ya akili alizokuwa nazo Gorbachev.
Hapa umeandika utumbo mtupu.
Unajifanya unajua watu ndani nje...sasa huyo mdau mbona umemjibu personal sana..Kwa hiyo wewe akili zako ndo Genius wa karne hii au sio na ndo ujuaji mwingi??

Jibu hoja za watu kuleta inferiority complex hapa hajusaidii chochote....Hao warusi na Wamarekani hawapiganii kizazi chenu wala cha hao unaowatukana...wanapigania future ya kizazi chao..

Uko tayari kukaza mishipa na kutukana kutetea wazungu ambao hata hawajui kuna kiumbe kama wewe duniani..na hata uwepo wako hauwasaidii chochote....
Usifanye vitu personal
 
Wangenyoosha mikono juu still bado wangekuwa na 20% za ardhi yao zilizokwishachukuliwa mpk sasa. Unampongeza zelensky kwa kipi!? Kwa kumuonesha urusi kwamba 'siku nyingine ukitaka kuvamia mwingine tegemea upinzani'. Is that worthy of Everything Ukraine has lost until now!?

1. Crimea imeenda hawawezi kuirudisha tena
2. Donbass imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
3. Hawatojiunga tena nato
4. Jeshi limekuwa crippled
5. Raia wamekimbia nchi
6. Miundombinu imeharibika
7. Uchumi wa nchi umekufa
8. Nchi imejiingiza kwenye madeni lukuki

All this in the name of 'kesho akitaka kuvamia mwingine atafikiria mara mbili'. Ok
 
Hahahaha hawa vichaa wa Putin wanachekesha Sana,eti wawapige mawaziri wa NATO kwa Makombora ya nyuklia kisa Urusi kuchapwa kwa silaha za NATO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa kenge, huo uwezo hawana. Ni propaganda ambazo Putin amewatask baada ya kuona yeye mwenyewe anaaibika kwa kuahidi vitu asivyoweza kufanya.
 
Aiseee mdogo sana kiumri, ila kazi yake si ya nchi hii.
 

The first one is George Kennan, arguably America's greatest ever foreign policy strategist, the architect of the U.S. cold war strategy. As soon as 1998 he warned that NATO expansion was a "tragic mistake" that ought to ultimately provoke a "bad reaction from Russia".
 
Ni kichapo tu

[emoji298]️16 explosions reported in Belgorod, Russia.

Russian state news agency RIA Novosti said that 16 explosions were heard in Belgorod, a city about 50 km away from the Ukrainian border. Vyacheslav Gladkov, governor of Belgorod Oblast, said that 2 people were injured by the attack.
 
This is Jack F. Matlock Jr., US Ambassador to the Soviet Union from 1987-1991, warning in 1997 that NATO expansion was "the most profound strategic blunder, [encouraging] a chain of events that could produce the most serious security threat [...] since the Soviet Union collapsed"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…