Ila tayari Ukraine keshasoma mchezo, ana wanajeshi, ana vifaa, anasaidiwa angani.hivyo hatatishika.Wanataka kuwadistract Ukraine ili waache wanajeshi wao wazuri Kyiv baada ya kuona wanasonga mbele Pande zote Kherson, Donestsk, Zaporizhzhia wanataka kurudia mchezo uleule ambao Ukraine iliwafanyia warusi walitangaza counter offensive Kherson wakaenda kuipiga Kharkiv baada ya Russia kuhamisha wanajeshi wengi Kherson na kuacha Kharkiv ikiwa dhaifu.
[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.Inasemekana kuwa
Endapo Iran atampa Urusi makombora ya balistic basi Marekani naye atatoa makombora mizania kwa Ukraine...
Israel amekuwa kimya sana
Islaer akiamua kwa dhati kabsa kuwa upande wa Ukraine itakuwa ni hatari sana kwa majeshi ya fashisti Putin [emoji848]Kumekuchaaa
[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.
The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.
"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."
The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
Israel level yake ni Hezbollah...Kumekuchaaa

Nikwambie tu, bila Marekani ufalme wa Saudia na UAE na Qatar usingekuwepoWhat is surprising is that the US believes the Saudis need them , the reality is that their two hundred other countries that will do business with the Saudis , two hundred other countries are moving away from the collective west cult , seems to me the collective west cult is isolating itself, my my how dumb can you be
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Mpaka. Wavaa sneakers za kuoshea stejini nao wako wanapewa baraka za kidini then wasepe , warudi kwenye. Mifuko ,,,,,dah hiii ni hatareeeee aseeeee wee cheki hiko kiduara uone kinacho endeleaaa aseeee hivi kumbe akina marioo , diamond , jay melody stamina , rooooma mkatoliki nao wangekuwa mobilised ahahaaa duh ni hatareeeee
Acha kupiga ramliNikwambie tu, bila Marekani ufalme wa Saudia na UAE na Qatar usingekuwepo
Is the end of Israel as a country and state near?!?!?!Kumekuchaaa
[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.
The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.
"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."
The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
The fact is Russia alijua this time itakuwa kama 2014 Crimea, but amejikuta anatumia muda mwingi vitani.Vita imekuwa haieleweki, sio rahisi kujua nini propaganda nini ukweli, nani anapiga nani anapigika!!! Kama Russia angekuwa anatembeza kichapo cha kweli kweli hata hizo tunazodai ni propaganda zisingefanya kazi.
Natamani Russia ashinde lakini haeleweki anapigana kwa style gani hadi kutoeleweka lengo lake nini. Amezidiwa au hataki madhara makubwa kwa Ukraine? Haileti maana kabisa.
My prayer for Russia and the whole world against American bully.
Kumekuchaaa
[emoji298]️ Israeli minister: Time has come for Israel to support Ukraine.
The delivery of Iranian ballistic missiles to Russia impels Israel to deliver military aid to Ukraine, Israeli Diaspora Affairs Minister Nachman Shai wrote on Twitter.
"There is no longer any doubt where Israel should stand in this bloody conflict," wrote Shai. "The time has come for Ukraine to receive military aid as well, just as the U.S. and NATO countries provide."
The statement came after an Oct. 16 Washington Post report stating that Russia would purchase Fateh-110 and Zolfaghar ballistic missiles from Iran.
Hilo si wewe wala watoto wa vitukuu vyako watawahi kulishuhudiaIs the end of Israel as a country and state near?!?!?!
Usijisahaulishe kuwa islaer ni nuclear powered,Is the end of Israel as a country and state near?!?!?!
Anajisahaulisha kwamba islaer ni nuclear powered [emoji848]Hilo si wewe wala watoto wa vitukuu vyako watawahi kulishuhudia