Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky Ni bata kabisa...

Zelensky basic routine:

Monday: Takes a motivational speech
Tuesday: Cry for help
Wednesday: More weapons to Ukraine and more money
Thursday: "Sanctions on Russia..."
Friday: Slam everyone who did not help him
Saturday: Lotion day 💦
Sunday: Wanajeshi wa Urusi mnapaswa ku- surrender

Ndivyo wadau mitandaoni wanavyomtafsiri!
 
Kauli ya ajabu kabisa....mtu anakudunda na kukugaraza lakini mtu bado anakuja na kusema ulisema utanidunda kwa ngumi tatu tu lakini mbona unenidunda na kuniumiza kwa ngumi 20?!?!
Sio kauli ya ajabu iwapo bado hujagaragazwa. Ukraine anashambuliwa hajagaragazwa, akigaragazwa hutasikia hiyo kauli na Putin atatangaza kumaliza operation yake. Kwa sasa hiyo kauli ipo sawa kabisa mpaka pale watakapo shindwa.
 
But s300 and s400 are shit and can do nothing to air threats
 
kaka hizi zitapatiwa dawa !! wiki haipiti.
Si rahisi maana air defense nyingi ambazo Ukraine imeahidiwa ni Short range sio long range hivyo sio rahisi kudetect hizi drone zikiwa zipo mbali kabla hazijaleta madhara.

Pia Airforce ya Ukraine haina ndege nyingi na Makombora ya kisasa kufanya kikamilifu Ulinzi wa Anga,hizi drone mara nyingi Iran inajaribu kuziingiza ndani ya air space ya Israel lakini hua zinatunguliwa zikikarbia mpakani tu sababu Israel wana powerful integrated radars na long range air defense systems Hali ni tofauti kwa Ukraine. Zitawasumbua Sana.
 
[emoji298]️ 11 more Iranian-made drones downed, official number rises to 37.

Air defense destroyed nine more Iranian-made kamikaze drones with anti-aircraft missile units and fighter aircraft, Ukraine’s Air Forces reported. Ground forces destroyed at least two kamikaze drones.

Early on Oct. 17, Ukraine's military reported it shot down 26 Iranian-made Shahed-136 kamikaze drones launched overnight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…