Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 
[emoji298][emoji298][emoji298] This is what the central districts of Kiev look like after the attack of kamikaze drones[emoji298][emoji298][emoji298]View attachment 2389782
Acha ulaya nao wayaonje machungu ya dunia kama walivyo/wanavyo yaonja wa afrika enzi za ukoloni, Iraq, Syria, Yugoslavia, libya, palestina, Pakistan, Afghanistan, Vietnam na kwingineko kote ambapo source mkuu wa hayo mateso yote ni USA na hao mashoga zake wa Magharibi.

Ni suala tu la muda, Zelenskiy akiendelea na ujinga wake Dar es salaam litakuwa jiji bora na lenye kuvutia kuliko jiji la kyiv.
 
Hii ni kama ile story ya baunsa wa kitaa baada ya kubakwa na mateja watu wanakuja kusaidia baada ya kusikia kelele wanamuuliza vipi nini kimetokea mbona ww baunsa sana..baunsa kajibu ni mateja wamenibaka ila kwa binde sana
Haiwezi kufanana kwa sasa sababu tukio la ubakaji lilishakwisha ndo watu wakafika na Ukraine tukio la mashambulizi linaendelea. Huwezi linganisha vitu viwili kimoja kimekamilika katika ukamilifu wake na kingine kipo in progress na ukamilifu wake haujawa wazi.

Huyo baunsa wakati anapambana asibakwe ndo hali iliyopo sasa Ukraine.
 
Jamaa walikuwa wanajaribu kutungua drone za Iran lakini haija saidia kitu
View attachment 2390015
Duh mpk Nimekumbuka Ile movie ya Rambo iitwayo First blood, eti Rambo alijificha nyuma ya mti akarusha Jiwe Kwny helcopter iliyokua na sniper ikimuwinda hewani na jiwe likampata Rubani wa hio ndege 😄😄
 

Ukrainian defenders down nine Iranian suicide drones in one hour​


Mon, October 17, 2022, 10:39 AM·1 min read

In total, the Armed Forces destroyed 11 Iranian drones in one day
Read also: Ukrainian soldiers tell how they deal with Iranian kamikaze drones used by Russia
The drones were shot down over the space of an hour, from 9:30 to 10:30 p.m., Air Force Command clarified.
In late August, international media outlets, citing representatives of Western intelligence, began reporting that Russia had received hundreds of combat drones from Iran. This information was also confirmed by the White House.
 
Drone Ina injini yenye mwonekano kama injini ya pikipiki[emoji848]

Skujua hili,
 
Umeongea kama nilivyokua nawaza.
Kua Iran amepata nafasi ya kujaribu silaha zake katika vita halisi.
 
Kabakwa tayari kwa ukraine hiki ni kibako cha round nyingine maana nchi ishamegwa tayari sehemu sijui napo atasema ni kwa mbinde sana au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…