Putin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.Putin haui raia ila wanajeshi wa Ukraine waliojichanganya na raia ndio wanachapika! Ameomba wananchi watoke uwanja wa Operation ya jeshi ili awakung’ute wa Ukraine vizuri
.Lazima wasuse ,hata uhakika wa chakula tu hawana na kama wanacho basi ni vilivyo expire hizo nguvu za kupigana wanatoa wapi? Kuficha aibu ya njaa za wanajeshi anakimbilia kubomb majengo matupu, Frustration wapelekeeni wali na maharage wanajeshi wenu wanakufa na njaa huko [emoji3]
Kwani siku tatu za mwanzo si kashambulia kambi za kijeshi mpaka sasa hamna mwanajeshi wa Ukraine aliesalia kambini wote wamejimix na raiaPutin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia😠
Ukitaka kumpiga mbwa wako mpe jina baya, sasa Russia kaona isiwe tabu hao wanamgambo wa kiraia wanaojifanya wanajeshi wanaenda kufa kwa Mara moja tuHuenda ameamua au kalazimika kutumia hizo. Urusi ina silaha ambazo akitaka kuifuta Ukraine anaifuta. Ila akishaifuta then what? Anakuwa ameshinda vita? Dunia nzima itamuacha na kumsifia kama anavyosifiwa humu? Lengo la urusi ni kuifuta serikali si Ukraine na mpaka sasa hajafanikiwa.
Jf ya siku hizi kuna watu vilaza sana..umeandika utumbo wa akilini mwakoPutin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia[emoji34]
.watu wanateka inchi wewe unakamata jasusi
Kejeli mnazoelekezewa zinatokana na ninyi Pro-Russia kujidai kuwa Putin atakuwa ameshaichukua Ukraine ndani ya siku 3 tu. Sasa baada ya siku hizo kupita maswali yamekuwa mengi.Naona huko hapa kwa ajili ya ubishi tu na sio kujadiliana.
Haya naomba utwambie kwann Marekani na washirika wake walitumia muda wa miezi miwili kuiteka Iraq badara ya siku 10 kama unavyo taka Urusi afanye kwa Ukraine.
Naomba jibu.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mpaka Sasa sijaona tofauti ya majeshi ya Putin na wanamgambo wa Hamas.Wote wanashambulia raia badala ya kupambana na wanajeshi🤔Jf ya siku hizi kuna watu vilaza sana..umeandika utumbo wa akilini mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu Kwa kuangamiza wasio na hatia but ni rahisi kumpiga adui pekeyake haichukui hata dk 15Putin: Ukraine’s resistance threatens its statehood
Russian President Vladimir Putin has warned Ukraine that its statehood is in jeopardy.
“If they continue to do what they are doing… they are calling into question the future of Ukrainian statehood,” he said on Saturday.
Bado kuna watu wanaamini hii vita ni Rahisi kwa RUssia
Hapo ndipo watakapo jutaUkraine Wana andaa kushambulia kwa nyuklia.
Maombi yangu hili kombora liangukie kwenye ikulu ya Putin!View attachment 2140847
Mikwara mbuzi hiyoUkraine Wana andaa kushambulia kwa nyuklia.
Maombi yangu hili kombora liangukie kwenye ikulu ya Putin!View attachment 2140847
Naona Ukraine anajiingiza Moroni kabisaUkraine Wana andaa kushambulia kwa nyuklia.
Maombi yangu hili kombora liangukie kwenye ikulu ya Putin!View attachment 2140847