Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Putin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.Putin haui raia ila wanajeshi wa Ukraine waliojichanganya na raia ndio wanachapika! Ameomba wananchi watoke uwanja wa Operation ya jeshi ili awakung’ute wa Ukraine vizuri
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia😠