LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin haui raia ila wanajeshi wa Ukraine waliojichanganya na raia ndio wanachapika! Ameomba wananchi watoke uwanja wa Operation ya jeshi ili awakung’ute wa Ukraine vizuri
Putin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia😠
 
The European Union will not finance the sending of combat aircraft to Ukraine, the head of the European Council said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Lazima wasuse ,hata uhakika wa chakula tu hawana na kama wanacho basi ni vilivyo expire hizo nguvu za kupigana wanatoa wapi? Kuficha aibu ya njaa za wanajeshi anakimbilia kubomb majengo matupu, Frustration wapelekeeni wali na maharage wanajeshi wenu wanakufa na njaa huko [emoji3]
.
Screenshot_20220306-110023.jpg
Screenshot_20220306-110251.jpg
 
Putin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia😠
Kwani siku tatu za mwanzo si kashambulia kambi za kijeshi mpaka sasa hamna mwanajeshi wa Ukraine aliesalia kambini wote wamejimix na raia
 
Boris Johnson said that NATO countries do not feel hostility towards the Russians and do not question the greatness of the country.

According to him, what is happening in Ukraine is not a NATO conflict and will not become one.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Huenda ameamua au kalazimika kutumia hizo. Urusi ina silaha ambazo akitaka kuifuta Ukraine anaifuta. Ila akishaifuta then what? Anakuwa ameshinda vita? Dunia nzima itamuacha na kumsifia kama anavyosifiwa humu? Lengo la urusi ni kuifuta serikali si Ukraine na mpaka sasa hajafanikiwa.
Ukitaka kumpiga mbwa wako mpe jina baya, sasa Russia kaona isiwe tabu hao wanamgambo wa kiraia wanaojifanya wanajeshi wanaenda kufa kwa Mara moja tu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Putin anaua wanawake na watoto na kushambulia public sectors,mashule,mahospitali,makanisa.Kwa kutumia mizinga,ndege za kivita na vifaru.Angekuwa Sio muoga angeingiza askari wa miguu, gorilla /urban war,apambane ana kwa ana.
Angeshambulia ngome za kijeshi badla ya maeneo ya raia[emoji34]
Jf ya siku hizi kuna watu vilaza sana..umeandika utumbo wa akilini mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huko hapa kwa ajili ya ubishi tu na sio kujadiliana.
Haya naomba utwambie kwann Marekani na washirika wake walitumia muda wa miezi miwili kuiteka Iraq badara ya siku 10 kama unavyo taka Urusi afanye kwa Ukraine.
Naomba jibu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kejeli mnazoelekezewa zinatokana na ninyi Pro-Russia kujidai kuwa Putin atakuwa ameshaichukua Ukraine ndani ya siku 3 tu. Sasa baada ya siku hizo kupita maswali yamekuwa mengi.
 
In the west of Ukraine, three "prisoner of war reception points" were created, a source in the DPR Ministry of State Security told RT.

They were formed in the vicinity of the cities of Kivertsy, Kostopol and Korosten, follows from the document, under which is the name of Lieutenant Colonel of the Armed Forces of Ukraine A.M. Suknatsky.

According to the source, the document specifies that war trophies are planned to be used to provide prisoners of war: uniforms and shoes that they had at the time of capture.

“Ukraine was preparing for armed aggression and the annexation of the DPR and LPR. No one hid that they wanted to return the republics by military means. Therefore, she prepared concentration camps for prisoners of war and persons whom they consider disloyal to their regime, ”military expert Igor Nikulin explained to RT.

He added that the Russians in the Donbass were preparing the same fate as "the Serbs in Kosovo and
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
Serbian Krajina."

@rt
 
Leo raia watakubaliwa kutoka ukraine na kwenda nchi za mpakani
Usafiri utakaotumiwa ni mabasi japo wenye magari binafsi wanaruhusiwa kuungq msafara huo kwa sharti la kutangulia mabasi Kwanza. Pia dereva lazima ajaze watu siti zote na msafara huo utaongozwa na msalaba mwekundu .

Yeyote atakayesikia tangazo hili amtaarifu na mwenzake.
Imedhaminiwa kwa huruma za Putin
 
Ukraine Wana andaa kushambulia kwa nyuklia.
Maombi yangu hili kombora liangukie kwenye ikulu ya Putin!
Screenshot_20220306-101445.png
 

Putin: Ukraine’s resistance threatens its statehood​

Russian President Vladimir Putin has warned Ukraine that its statehood is in jeopardy.

“If they continue to do what they are doing… they are calling into question the future of Ukrainian statehood,” he said on Saturday.

Bado kuna watu wanaamini hii vita ni Rahisi kwa RUssia
Ni ngumu Kwa kuangamiza wasio na hatia but ni rahisi kumpiga adui pekeyake haichukui hata dk 15
 
Eti leo waziri wa ulinzi wa Ukraine anasema eti wamesha tungua ndege 88 za Urusi .
Kweli hii vita imejaa propaganda.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom