Okey boss πNdugu yangu Ukraine inapigwa na kugaragazwa Sana tu...
Tatizo lingine kubwa ambalo linaigharimu Ukraine Ni kwamba, ni kweli wanaletewa silaha, assume 1000 units of HIMMARS ammunitions... Sasa zinakuwa zipo kwenye Depot ya silaha.Zile package za silaha zikitolewa muwe mnafatilia jamani kuna Aina mbili kuna silaha ambazo hua zinatolewa toka maghala ya silaha ya Marekani kwenda Ukraine na nyingine hutolewa order kwa manufacturers ambazo huchukua muda mrefu.
Vampire pamoja na zile HIMARS 18 zilitolewa orders Kwa manufacturers,Zile Himars 18 Ukraine itaanza kuzipata baada ya mwaka mmoja na Nusu mpaka miwili ambapo mpaka kukamilika zote inaweza chukua hata miaka mitano au zaidi, hizo Vampire walisema kuanzia miezi Tisa mpaka mwaka.
Kama Anguko la NATO na EU naujio wa Multipolar utakuja kwakumwagika kwa damu za wananchi wa UKRAINEDrone zimeanza kazi Kyiv tena..
Marekani tusaidieee tutakufwaaa
L3Harris reveals delivery timeline for VAMPIRE systems for UkraineKuna mfumo wa silaha unaitwa " vimpire" ulipigiwa chapuo sana hapa jukwaani kwamba ni kiboko ya drones..,au zilikuwa tu fix?
Muda mwingine hatuna budi kushtukia kile tunachokisikia,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nachokiona hapa ni kwamba, kwa huu uharibifu wa miundombinu ya umeme, kipindi hiki cha winter, nchi za Ulaya zitakumbwa na tatizo kubwa Sana la wakimbiziNimeanza kuwaonea huruma Ukraine, ile huruma ya kibinadamu kabisa. Kwa sasa Ukraine wanapigwa kiev kipitia drones. Pale kiev kuna jeshi, na mamluki wa Nato wanaotoa mafunzo kwa ukraine lakini hawawez kufanya lolote pale.
Drones haziui watu, ila zinapiga miundombinu muhimu na ya kimkakati ili kupunguza nguvu ya serikali na jeshi. Sasa hivi jijini Kiev umeme ni shughuli pevu, huwez kusikia haya kwenye vyombo vyao vya habari.
Ikiwa kipigo hiki kitaamia kwenye miundombinu ya maji, barabara, viwanja vya ndege na reli bas Ukraine hawatakua na jinsi zaidi ya kujisalimisha. Maana silaha zitasafirishwaje? Watu wataishije bila uhakika wa umeme na maji? Yale yanayotokea huko kongo yanahamia Ulaya.
Kwa maoni yangu, Ukraine asiposhtuka mapema, yatamkuta ya libya au syria. Nchi itagawanyika vipande vipande na itakua ngumu kurudia pale ilipokuepo. Kama hawana uhakika wa kushinda vita hii wakae chini na urusi, najua wanapewa kiburi na west ila wajifunze kwa wengine west hawana urafiki wala uadui wa kudumu, bali masilahi ya kudumu muda utafika wataachwa kwa namna ambayo hawtaamini.
On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?Suala la kupunguza uzalishaji wa mafuta sio kama kukomoa hapana ila ni kwasababu zifuatazo. Hawa OPOC na OPEC + wana agreement ambazo wamekubaliana na ziko signed. Swali ni kwanini wanapunguza uzalishaji?? Lengo ni kumsaidia Mrussi? Au kumkomoa mmarekani??
Ipo hivi Russia ndo muuzaji mkubwa wa mafuta na Gas Ulaya nitabase na mafuta. Wote tunajua Russia anavikwazo kwenye suala la uuzaji wa mafuta, suala la kupata mafuta nje na Russia lilikua jepesi sana kwa Upande wa EU au kupata mbadala wa mafuta kwasababu walikua wanachukua uarabuni na nchi zingine.
Kilichotokea ni kwamba hizo nchi ziliongeza uzalishaji wa mafuta ili kufidia gap la Mrussi na mafuta yalianza kwenda Ulaya hapa Ndo kiburi cha EU kwenye mafuta kilikua waziwazi tofauti na gas walijikuta wanatumia pesa mingi sana. Hata huko kwetu Africa mafuta yalianza kushuka bei toka 3450- 2850 kwa sasa hizo nchi zilikua pressurized na Wests.
Nini kimetokea mpaka wameamua kupunguza production? Uzalishaji wa mafuta unafanywa kulingana na wateja ulionao au tuseme demand kwa ujumla ndomana unakuta Russia ni mzalishaji wa 2 wa mafuta, saudia anafata kuna Iran, kuwait, Venezuela na nchi kibao hawa wote wanatofautiana kwenye level ya production.
Walichofanya wameamua kurudi kwenye level zao za mwanzo za uzalishaji maana yake gap la Mrussi litaonekana maana yake sasa Ds>Ss hapa ndo beo zitaanza panda kwa kasi tutegemee huku kwetu mafuta kupanda zaidi. Ukiangalia hakuna sababu ya vikwazo kwa Russia zote ni siasa.
Kinachomchanganya US ni kuwa bei zitapanda sana za mafuta kwasabu yeye ndo mtumiaji mkubwa wa nishati hii hapa atalazimika kutoa reserve yake kwa kasi zaidi, au atalazimika kutoa vikwazo . Lengo kubwa hapa naona ni kuondolewa kwa vikwazo kwa Russia afu kingine kilichomboa Russia walivyoanza kuset Price-cap hapa ndo wamesababisha yote.
Wazalishaji wote wamekubaliana kushusha whatβs next??? Maana atakaenda kuumia ni EU.
Kama ambavyo USA, European countries wanafanya wakipeleka Kama misaada kwa Ukraine kumbe wanatest mitambo yao.Umeongea kama nilivyokua nawaza.
Kua Iran amepata nafasi ya kujaribu silaha zake katika vita halisi.
πππππView attachment 2390184View attachment 2390185View attachment 2390186View attachment 2390187View attachment 2390188View attachment 2390189
Hizi drone za Iran in mziki mzito khaaa
Makampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale duniani.On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?
1. US anakusudia kupitisha mswada ambao una lengo la kupunguza nguvu za OPEC+ kwenye control ya soko la mafuta duniani ijulikanayo kama NOPEC bill. Pia US ana mpango wa kuongeza mwenyewe supply ya mafuta kwa kuachia kiasi kutoka kwenye hifadhi yake kimkakati.
2. Mataifa ya ulaya yanataka kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya urusi. Maamuzi ya Opec+ yanatafsirika kama faida kwa urusi kwamba itamfanya auze kwa bei ya juu. Sasa EU wakiweka ukomo wa bei wanakusudia kuzuia hilo. Swali ni je watawezaje kupanga bei ya bidhaa anayouza mtu mwingine again tunarudi pale kwenye leverage.
Mfano mojawapo ni bima. Bima kwenye usafiri wa majini ni kitu muhimu sana. Ajali ya meli moja inaweza kuifilisi kampuni nzima ya usafirishaji wa meli/maji. Sasa basi, Kampuni moja ya ulaya/London ni kampuni tanzu inayomiliki makampuni mengine 13 ambayo kwa pamoja yanafunika zaidi 90% ya bima za majini (marine insurance) kwa makampuni yote ya meli duniani. Ikiwa ulaya watapitisha price cap kwa mafuta ya urusi itakuwa na maana ili tanker ya kampuni fulani ipewe bima na makampuni haya ya bima ya ulaya itabidi kwenye paperwork wawasilishe taarifa zitakazoonesha mafuta hayo wameyanunua kwa bei kiasi fulani na endapo bei hiyo inazidi ile iliyopangwa na ulaya hawatopewa bima. So kwa namna fulani itakuwa ni ngumu kwa makampuni ya meli kusafirisha makampuni ya urusi.
Wakati huo huo Bwana Putin alishasema hawatauza mafuta yao kwa bei ya hasara mwaning hawatafuata bei elekezi itayopangwa na ulaya.
Geopolitics ni kama mchezo wa chess. Unasukuma kete yako mara moja unasubiri mwenzako naye zamu yake. Sisi huku nje tunatizama tu mchezo unavyoenda
Hakuna aliyewahi kudai kwamba warusi wao hawafi. Kilichowahi kupingwa ni kufa kwa wingi unaoripotiwa na kiev. Urusi kupitia wizara ya ulinzi walisema kbs mpk sasa hv wamepoteza wapiganaji 5k. 5k is a lot especially ukiwa unazungumzia roho za watu.Ni kweli. Wanajeshi wa Urusi wanakufa, iwapo hakuna namna ya kumaliza hili suala yupo sahihi kuwanusuru na kifo kwa kutumia teknolojia sababu wanayo.
Unatakiwa kuhesabu M100, kwann utumie vidole na mate na kuna mashine hapo ulipo?
Nilichokuwa najaribu kuonyesha ni kwamba, ukiachana na chawa wahusika hawaoni aibu kuadmit kuwa wanakufa kama alivyo admit kiongozi wa Urusi hapo.
Kwanini US asichimbe mafuta yake!? Jibu ni kwambaMakampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale dunian...
Acha miyeyusho Hatari ya nini na mapicha yenu ya YouTube
Vunjo ana library ya mapichapichaAcha miyeyusho Hatari ya nini na mapicha yenu ya YouTube
Hapa umetupiga kambaDRONES ZA IRAN ZAWAKIMBIZA WAANDAMANAJI KWENYE UBALOZI WA IRAN NCHINI UKRAINE.
Waandamanaji mjini kiev waliandamana na kwenda kwenye Ubalozi wa Iran mjini humo huku wakionyesha mabango yaliyoandikwa kuwa Iran inaunga mkono ugaidi...