Fake photos, hao siyo nyumbu Kama wewe, msafara mkubwa uo, walichofanya hapo ni editing pictures zionekane real kwa watu wasiotumia akili kuamini huo ujinga.
Ndio umefikia ukomo wa kufikir hapoMiji yote ya Ukraine inaungua moto wanapelekewa Moto mbele na nyuma , kushoto kulia mpaka wataomba poo.
SawaHakuna aliyewahi kudai kwamba warusi wao hawafi.
Kuna mfumo wa silaha unaitwa " vimpire" ulipigiwa chapuo sana hapa jukwaani kwamba ni kiboko ya drones..,au zilikuwa tu fix?
Muda mwingine hatuna budi kushtukia kile tunachokisikia,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
KAONGEZA 4200Hizi drone za kamikaze lifespan yake ni shambulio moja tuu.
Hazishambulii kwa masafa marefu, zenyewe lazima ziingie kwenye zone ya adui, zinakuwa juu kusoma ramani zikisha identify target zinashuka kama mwewe kushambulia.
Baada ya kushambulia zinakuwa 50/50 kutoka salama kwenye zone ya adui.
Russia amenunua kamikaze 2900 kutoka Iran. Kwa maana kamikaze zitafanya mashambulio 2900.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapa umetupiga kamba
Nimewaona M7 na Saa 100
Umetahiri huo mtalimbo kweli?Wewe kilaza sana tena mwongo eti NATO wako kiv mzee panua akili yako jiongeze utafute habari acha kuropoka jukwaani kama umekosa elimu .jeshi la na NATO lipo Poland na ndipo mafunzo yote hutolewa na plan zote hufanywa pale .usilete mahaba niuwe hapa drone za russia lengo ni kuharibu miundombinu ya maji,umeme,na kuharibu majengo ya serikali nia ni kuwachanganya ukraine ,hizo pia mbinu za kivita ila ukraine hajarud nyuma anaendeleza mapambano.
No vile vi drones vya kukopa vya Iran, dawa take inachemka.Inakuwaje mmeshambuliwa kiev kwa kasi ya hatare sana
Achana na hizo video games kaka, yaan mshambuliwe afu bado undelee na safari kwa taratibu?? Magari ya jeshi hayawezi kusafiri hivyo hasa uwanja wa mapambano.