Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
On the other hand US na EU sio mafala kihivyo wanaweza kuja na countermeasure dhidi ya hii move ya OPEC+, how!?
1. US anakusudia kupitisha mswada ambao una lengo la kupunguza nguvu za OPEC+ kwenye control ya soko la mafuta duniani ijulikanayo kama NOPEC bill. Pia US ana mpango wa kuongeza mwenyewe supply ya mafuta kwa kuachia kiasi kutoka kwenye hifadhi yake kimkakati.
2. Mataifa ya ulaya yanataka kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya urusi. Maamuzi ya Opec+ yanatafsirika kama faida kwa urusi kwamba itamfanya auze kwa bei ya juu. Sasa EU wakiweka ukomo wa bei wanakusudia kuzuia hilo. Swali ni je watawezaje kupanga bei ya bidhaa anayouza mtu mwingine again tunarudi pale kwenye leverage.
Mfano mojawapo ni bima. Bima kwenye usafiri wa majini ni kitu muhimu sana. Ajali ya meli moja inaweza kuifilisi kampuni nzima ya usafirishaji wa meli/maji. Sasa basi, Kampuni moja ya ulaya/London ni kampuni tanzu inayomiliki makampuni mengine 13 ambayo kwa pamoja yanafunika zaidi 90% ya bima za majini (marine insurance) kwa makampuni yote ya meli duniani. Ikiwa ulaya watapitisha price cap kwa mafuta ya urusi itakuwa na maana ili tanker ya kampuni fulani ipewe bima na makampuni haya ya bima ya ulaya itabidi kwenye paperwork wawasilishe taarifa zitakazoonesha mafuta hayo wameyanunua kwa bei kiasi fulani na endapo bei hiyo inazidi ile iliyopangwa na ulaya hawatopewa bima. So kwa namna fulani itakuwa ni ngumu kwa makampuni ya meli kusafirisha mafuta ya urusi.
Wakati huo huo Bwana Putin alishasema hawatauza mafuta yao kwa bei ya hasara meaning hawatafuata bei elekezi itayopangwa na ulaya.
Geopolitics ni kama mchezo wa chess. Unasukuma kete yako mara moja unasubiri mwenzako naye zamu yake. Sisi huku nje tunatizama tu mchezo unavyoenda
Makampuni makubwa ya US yamewekeza Sana kwenye uzalishaji wa mafuta, ingawa kuna State owned companies, lakini bado makampuni makubwa ya US ya hisa kwenye kubwa kwenye uzalishaji wa hayo Mafuta popote pale duniani.
Haya makampuni hayawezi kukubali hata siku moja kuongeza production ya Mafuta (kuongeza supply), maana kwa kufanya hivyo ni wao kuishia kutopata faida kubwa wanayoipata Sasa hivi. Kwa hiyo tatizo la kwanza linaanza kwenye hayo makampuni makubwa ya US.
Swali ambalo mimi najiuliza, kwa Nini wao US wasianze kuyachimba Mafuta yao na kuondokana na hii price increase, badala yake wanakimbilia kuweka mavikwazo, kwa Nini wasiamue kuchimba Mafuta yao?
1. Russia ilikusanya makuruta 300K ambao hawana uzoefu na vita yaani JKT ambao kuna madereva na fani mbali mbali, Matokeo yake ndio hayaAchana na hizo video games kaka, yaan mshambuliwe afu bado undelee na safari kwa taratibu?? Magari ya jeshi hayawezi kusafiri hivyo hasa uwanja wa mapambano.
Acheni utoto, ndio maana mnakula kichapo kizito hapo KYIV
Ndio maana pro russia weng tunawaambiaga muwe mnafuatilia habar hizo drone huwa zinalipuka pamoja na kombora lililobebwa maana nyingine zinaitwa drone za kujitoa mhanga ,zilikua zinatumiwa sana na US ,hata ukraine wanazitumia ila kwenye uwanja wa vita hazina maajabu maana huwa ziko slow na ni rahis kuzitungua kwa mashine gun,puttin kaziahamishia mjin maana uwanjani zilikia zinafyekwa kama mmbu.hazina maajabu labda hekaheka za mjiniHizi drone za kamikaze lifespan yake ni shambulio moja tuu.
Hazishambulii kwa masafa marefu, zenyewe lazima ziingie kwenye zone ya adui, zinakuwa juu kusoma ramani zikisha identify target zinashuka kama mwewe kushambulia.
Baada ya kushambulia zinakuwa 50/50 kutoka salama kwenye zone ya adui.
Russia amenunua kamikaze 2900 kutoka Iran. Kwa maana kamikaze zitafanya mashambulio 2900.
1. Russia ilikusanya makuruta 300K ambao hawana uzoefu na vita yaani JKT ambao kuna madereva na fani mbali mbali, Matokeo yake ndio haya
Hahahahaaaa mkuu umeua bendiUmetahiri huo mtalimbo kweli?
Mkuu nataka nikwambie kitu, muwapo vitani, (kwa waliowahi kwenda vitani watanielewa zaidi hapa)1. Russia ilikusanya makuruta 300K ambao hawana uzoefu na vita yaani JKT ambao kuna madereva na fani mbali mbali, Matokeo yake ndio haya
Nyie mnasilaha ngapi za NATO? Na usaNo vile vi drones vya kukopa vya Iran, dawa take inachemka.
Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhiMarekani ni mzalishaji no1 wa mafuta ila anashika No.9 kwakuwa na reserve kubwa duniani. Kumbuka mafuta anayozalisha Hayamtoshi bado ana fanya importation. Labda utuambie strategic reserve hapa sawa.
Kwny kuzalisha Mafuta:Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhi
Gani?
Namba 1 saudia
USA yeye namba 1 katika kuwa na hifadhi kubwa ya mafuta sio kuzalisha
Marekani ndio nchi yenye uzalishaji mkubwa wa mafuta ni namba 1 duniani.Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhi
Gani?
Namba 1 saudia
USA yeye namba 1 katika kuwa na hifadhi kubwa ya mafuta sio kuzalisha
Fake photos, hao siyo nyumbu Kama wewe, msafara mkubwa uo, walichofanya hapo ni editing pictures zionekane real kwa watu wasiotumia akili kuamini huo ujinga.
Rudi shule marekan anazalisha kutoka ardhi
Gani?
Namba 1 saudia
USA yeye namba 1 katika kuwa na hifadhi kubwa ya mafuta sio kuzalisha
Achana na hizo video games kaka, yaan mshambuliwe afu bado undelee na safari kwa taratibu?? Magari ya jeshi hayawezi kusafiri hivyo hasa uwanja wa mapambano.
Acheni utoto, ndio maana mnakula kichapo kizito hapo KYIV
TUPENI SENTIMITA zenu huko front. Daily mnapoteza servicemen 300Tangu limsafara la Kyev 50km lilipofyekwa mumekua mkisema ni video.