Hiyo Punde ni lini?Mwaka huu,mwakani,baada ya miaka 5,miongo miwili au lini hasa?Wala sijalaan, sio utani mkuu,punde atajikuta kizimbani huyo Putin mnayemuona kama mungu mtu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani waafrika tunapenda kujikweza "eti sioni faida" wewe kama nani? Ina maana wewe ni mjuzi kuliko wanaozitumia?Mkuu jinsi Warusi wanavyozitumia sasa ni za kutisha watu raia hasa. Unaweza kuzitumia dhidi ya magari, malori, vifaru vyepesi, mizinga. Jinsi wanvyorusha kwenye miji sioni faida kubwa ya kijeshi...
Anamwambia nani sasaThe United States does not oppose the supply of Russian fertilizers and grains to world markets and therefore does not extend its sanctions to this area - US State Department
Ha ha ha....zilifyekwa zinakawa uji,Bayraktar has more PR and corruption than combat use."
The head of the Association of Defense Enterprises of Ukraine, Serhiy Pashinsky, said that in the first week of the special operation, the Russian military shot down “all Bayraktar” of the Armed Forces of Ukraine.
He told the pranksters Lexus and Vovan about this, who called on behalf of the former US Ambassador to Russia Michael McFaul.
“They are vulnerable against air defenses strongly. You must understand that we had a lot of Bayraktar, they beat them all in a week.
Pronato acheni Vijikampeni uchwara,Bila shaka wapenda haki pote dunian wanafanya ishara hii kama Alama ya kutokubali kile kinachofanywa na fashisti Putin dhidi ya taifa huru [emoji848][emoji848]View attachment 2391135
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kichapo kiendelee[emoji38][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2391152
Iran agrees to ship missiles, more drones to Russia
Iran has promised to provide Russia with surface to surface missiles and more drones, a move that is likely to infuriate the United States and other Western powers.www.reuters.com
Mi mwnyw nataka niagize yangu moja, mods wakizingua niwatumie[emoji38]Mturuki cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji845][emoji1130][emoji3575]Islamic Revolutionary Guard:"Over the past 7 days,22 countries have submitted requests for the purchase of Iranian drones."[emoji845]
Hakuna raia kwa Sasa Ukraine,Urusi katembezewa kipigo kikali huko front line kaamua kumalizia hasira zake kwa raia .,Kwa Sasa anajivunia kuharibu miundombinu tu..,huko front line hasongi mbele hata hatua Moja, [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uchambuz mzur Sana,Madhara ya kulipia miundo mbinu ya umeme
1. Kudidimiza uchumi wa adui
2.Kupoteza focus ya adui
3. Kuvunja moyo walioko frontline
4.Kukwamisha mawasiliano ya kijeshi na kuitawala
4. Kuondoa umoja miongoni mwa adui
5 Kukatishwa tamaa NATO na washirika wake. Hawajui wafadhili vita ama miundombinu
5. Kukwamisha mobilization ya new recruits
6.Kutisha nchi jirani zinazotaka kusaidia Ukraine
6. Kujenga KUJIAMINI kwa vikosi vya Urusi na ari KWA mobilised soldiers
7 , Maeneo yaliyochukuliwa na Russia kujiona wamefanya chaguo sahihi
8. Kupata sapoti kutoka nchi za kiarabu kupitia kamikaze za Iran
9..Kuongeza hali ya I multipolarism.
Kifuatacho
Kama NATO wasipomshughulikia Iran basi mataifa mengine yatajitokeza Upande wa Russia kusaidia silaha
Kama USA ataanzisha chokochoko Iran basi mgogoro na vita vitatapakaa middle East.
na kuamsha ugaidi
Israeli iendelee busara ya kutojishirikisha vinginevyo NGOMA itasambaa na Israeli ataonja machungu ya direct war ambayo itamwathiri najua wengi mnaamini Israeli ni KILA kitu mtashangaa si kweli
Na bado[emoji38]Kilio kimeanza huko[emoji38][emoji635]
[emoji1255][emoji724][emoji366][emoji98] Queues for water in Kiev...Women interviewed said no water,no electricty,no heating home(they wait for 15-20 minutes to get water)...The young man said i don't have light and electricity home... https://t.co/lED8CBtHT5
Naam [emoji4][emoji106]Ndugu mimi sio mchangiaji wa humu ndani ila siku nitakuja na insha kuhusu huu mgogoro wa Rus-Ukra. Ila tuendelee kuiombea Russia inavita kubwa sana kwa wale ambao mpo upande wa US nafikiri hamjui mpango wa US kwenye hii dunia hana mema kabisa na ulimwengu.
Dunia ya sasa sio ya zamani tunahitaji balance of power na sio kupangiana au kuingiliana ndani ya mipaka yetu ya nchi.
Nafurahi sana kusoma uchambuzi wa Warussi weusi mko vizuri big up sana kweli mnajua geopolitics na uchumi.
Safi[emoji4]President of Croatia Opposes Training of Ukrainian Military Personnel on Croatian Territory
[emoji38]analeta takwimu za twawezaAnaongea akiwa kwenye mahandaki huko Poland...
Hawa hawana akiliESTONIA ,ESTONIA, ESTONIA! ...Nimekuita mara ngapi?
The Estonian parliament has just unanimously passed a resolution declaring the Russian regime a terrorist regime and Russia a state that supports terrorism. The votes were divided as 88:0.
Bado wewe subiri hiyo adhabu tumewapa salamu tu habari yenyewe wataipata wakati wa baridi baada ya kumaliza kubomoa vyanzo vyote vya nishatiFrom Khokhols
[emoji298]️[emoji298]️There is a critical situation in the energy sector of Ukraine[emoji845]
"The situation is critical. Ukrainians are advised to prepare for blackouts of electricity, water and heat," - Deputy Head of the Presidential Office Kirill Tymoshenko.
“We have a critical situation across the country. One region depends on another. It is necessary to prepare throughout the country for the fact that there may be blackouts of both electricity and water supply and heat supply.”
[emoji188][emoji188]
Me naona warudi tena kuishambulia Crimean Bridge, au vipi [emoji23].
[emoji38]The United States does not oppose the supply of Russian fertilizers and grains to world markets and therefore does not extend its sanctions to this area - US State Department
Ana anzaje wakati kila akitoka nje kuota jua drone za Irani zinapita 😂😂😂😂😂😂
Nchi za KiAfrica ni za kipumbav ,kuna nchi za west Africa na Northern Africa zenye resources za mafuta na gesi zingetake an advantage ya hii loophole ya hostility na confusion Kati ya wazalishaji na wanunuzi wakubwa WA mafuta na gesi katika global market Kwa kusupply demand iliyopo hapo Europe na kuexpand uzalishaji + exploration activities za mafuta na gesi ili kuboresha economic status zao ,sasa wao wamebung'aa Tu na kumshabikia Mrusi n mpuuzi gani sijui huku yakisubiri kupewa misaada kama ngedere wasio na upeo .
DUNIANI naamini hakuna sehemu ambayo hakuna ushoga ama mashogaHivi kwanini Wamagharibi wanahusishwa na ushoga?
Urusi au Mashariki hakuna ushoga?
Au ndio propaganda?