Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sina falsafa zozote MKUU ila nakueleza suala lililo waziMkuu sina kazi na falsafa yako ya usalama. Point yangu ilikuwa: Finalnd na Sweden walitishiwa miaka yote kuzojiunga na NATO hivyo hawakujaribu. Baada ya kuona matendo ya Urusi pamoja na nguvu halisi ya jeshi lake, hawakuogopa tena kufanya hatua ya kuomba wapokelewe.
Hii ndoto mbaya Urusi kuua Waukraine wote ni ndoto mbaya tu; Hii Putin hana uwezo sijui kwa nini unaleta lugha ya aina hii?? (maana, jinsi ulivyosema, huyu si kichaa hivyo hatatumia silaha hizo za nyuklia...)
@HIMARSUkraine MFA: Ukraine will officially ask Israel for the transfer of air defense systems
Haaretz: Israel has reportedly rejected a request for a call between Israel's and Ukraine's Defense Minister
@T14 ArmataBayraktar has more PR and corruption than combat use."
The head of the Association of Defense Enterprises of Ukraine, Serhiy Pashinsky, said that in the first week of the special operation, the Russian military shot down “all Bayraktar” of the Armed Forces of Ukraine.
He told the pranksters Lexus and Vovan about this, who called on behalf of the former US Ambassador to Russia Michael McFaul.
“They are vulnerable against air defenses strongly. You must understand that we had a lot of Bayraktar, they beat them all in a week.
Nishamjibu ila najutia kwanini nilimjibukuna watu wengine hampaswi kujibiwa,
Haui RAIA anaua MAGAIDI semeni ukweli MKUUWe chiz kweli yaan anaua raia unasema anapigana kistaarabu,alafu hizo silaha za Russia umejuaje matumiz yake? Mijitu mingine bwana mahaba yanaendesha coment
CroatiaPresident of Croatia Opposes Training of Ukrainian Military Personnel on Croatian Territory
Nikiangalia siku zile, wanasiasa wengi wa Ulaya Magharibi (nchi za Nato) walisitasita kupokea wale wa Warsaw PAct ya awali katika NATO. Hakuna aliyetaka kushambulia Urusi. Naona siku zile ni kwanza nchi za mashariki zenyewe zilizomba sana halafu pili maneno kama ile nukuu ya Putin niliyoleta juu. (Akisema ni juu ya nchi kuamua) Hayo yote yalibadilisha msimamo wa wengi na nchi hizi zikapokelewa.Unahisi endapo akiamua kujitanua kuelekea Europe kwa njia yoyote ile, US atakubali? Unatarajia matokeo gani ikiwa hivo? Ni kitu gani hasa kilimfanya Biden haone hatari iliyopo mbele yao kama NATO ikijitanua kuelekea mashariki?
Mii sijaona faida ya kijeshi jinsi Warusi wanavyotumia droni hizo. Je wewe umeona faida? Gani? Ukilinganisha idadi kubwa ya droni na matokeo?Yaani waafrika tunapenda kujikweza "eti sioni faida" wewe kama nani? Ina maana wewe ni mjuzi kuliko wanaozitumia?
Kuhusu kuungana: kama mtaa unatishiwa na kundi la wezi tuseme 3-4 halafu watu wa mtaa wanaanzisha sungusungu, je maana yake ni hakuna nyumba yoyote isiyoweza kujitetea hata peke yao wakitaka? Lakini wanajua wakiungana hatari ya kijeruhiwa inapungua maana kama wote wanashikamana, watashinda hakika na haraka zaidi.Sina falsafa zozote MKUU ila nakueleza suala lililo wazi
1.ukiona mnataka kuungana kumshinda mtu bas mujue huyo mtu kawazidi san nandio maana munaungana kumkabili
2.kupeleka ombi NATO hilo sio kwamba hao mabwana wamejiunga na NATO subiri wajiunge maana mpaka sasa bado sio NATO
3.kutokujiunga kwa NATO hao FINI na SWED ishu haikua RUSSIA ishu ilikua niwao wameamua wenyewe kua hvyo wala sio RUSSIA alioamua kabla wao kua hvyo walivyo
4.Kutumia silaha za NYUKLIA sio ukichaa nakama niukichaa basi kichaa MKUU ni US maana sidhanii kama kuna taifa liliwahi fanya huo ujuha zaidi ya kichaa US
Mwisho:-NYUKLIA ni silaha kama nyengine ikibidi kutumiwa zina ama zitatumiwa tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme ukikosekana hujui hasara yake?Mawasiliano yakikatika hujui hasara yake?Mii sijaona faida ya kijeshi jinsi Warusi wanavyotumia droni hizo. Je wewe umeona faida? Gani? Ukilinganisha idadi kubwa ya droni na matokeo?
Daah Huo mfano wako nimebaki nacheka tu!Jamani njooni na mifano hai!Kuhusu kuungana: kama mtaa unatishiwa na kundi la wezi tuseme 3-4 halafu watu wa mtaa wanaanzisha sungusungu, je maana yake ni hakuna nyumba yoyote isiyoweza kujitetea hata peke yao wakitaka? Lakini wanajua wakiungana hatari ya kijeruhiwa inapungua maana kama wote wanashikamana, watashinda hakika na haraka zaidi.
Kuhusu silaha za nyuklia - nashukuru huna na huna mamlaka juu ya silaha hizo, angalau Putin anaelewa tabia zao anajua si silaha za kawaida.
Drone za mashambulizi ya siku tatu ndio yanakupa hitimisho la vita ni ufinyu wa mawazo, kaa kwa kutulia mtanange ufike mwisho kisha njoo jukwaani hapa .
Yaani wao wanaotumia wazionr halaf wewe usizioneMii sijaona faida ya kijeshi jinsi Warusi wanavyotumia droni hizo. Je wewe umeona faida? Gani? Ukilinganisha idadi kubwa ya droni na matokeo?
Mkuu tafadhali angalia habari zenyewe na unionyeshe wapi mashambulio ya droni hizo zimeleta mabadaliko kwenye mapigano. Menginevyo naona taarifa umeme ulikatwa mahali pengi lakini umesharudi karibu robo tatu.Umeme ukikosekana hujui hasara yake?Mawasiliano yakikatika hujui hasara yake?
Huoni kuwa supply chain ya silaha itakuwa imetikiswa?Vp kuhusu karakana za kurepair mashine zinazotumika na wanajeshi?Zinaweza kufanya kazi bila umeme?
Mambo yanaendelea kunoga, tunawaombea afya njema tuSouth Africa Confirms Saudi Arabia Will Join BRICS Alliance with China and Russia and Move Away from US with Explosive Consequences
Published October 17, 2022
Saudi Arabia, the largest U.S. export market in the Middle East, has invited Chinese President Xi to visit Riyadh in March next year as relations with the U.S. have faltered since Joe Biden was elected, The Wall Street Journal has reported.
According to a report from CNN, U.S. intelligence agencies have assessed that Saudi Arabia is now actively manufacturing its own ballistic missiles with the help of China, a relationship that could lead to domino effects across Middle East countries.
Advertisement - story continues below
The US leader who suffers from severe dementia is openly mocked on the international stage. U.S. allies are now aligning with China.
Saudi Arabia announced in March this year that it was considering accepting the Chinese yuan instead of the US dollar in future transactions.
This is the move Steve Bannon and the War Room have been warning about for the past year.
This will end US dollar supremacy,and it was facilitated by Joe Biden, Democrats, and the Uniparty members.
Joe Biden and his handlers are destroying the United States.
In July Saudi Arabia was invited to join the Shanghai Cooperation Organization (SCO) and BRICS.
And this weekend, the South African leader confirmed the likelihood that Saudi Arabia would be joining the BRICS Alliance.
Ukraine Hana maneno mengi sana, yeye anamfukuza mwizi kimyakimya tuSisi tuko fild msitusumbue kupigapiga transfoma huko mijin
Ukrainian Air Force shoots down Russian Su-25 jet, 4 Kalibrs, 6 drones and Kh-missile in Kherson Oblast
Ukrainska Pravda
Tue, October 18, 2022, 9:55 AM·1 min read
VALENTYNA ROMANENKO — TUESDAY, 18 OCTOBER 2022, 09:55
Ukrainian defenders shot down a Russian Su-25 attack jet in Kherson Oblast on the morning of 18 October.
Source: Yurii Ihnat, Spokesperson for Air Force Command of the Armed Forces of Ukraine, on air during the national joint 24/7 newscast on 18 October
Ambacho huelewi hapo ni Nini?Hivi mawasiliano yakiharibiwa,wanajeshi watawasiliana vipi na Kiev Ili kujua wanahitaji Nini na Kwa wakati gani?starlink ilivyokuwa jammed na Russia na kuacha kufanya kazi vyema,hukusikia wanajeshi wa Ukraine walivyokuwa wanalalamika?Mkuu tafadhali angalia habari zenyewe na unionyeshe wapi mashambulio ya droni hizo zimeleta mabadaliko kwenye mapigano. Menginevyo naona taarifa umeme ulikatwa mahali pengi lakini umesharudi karibu robo tatu.
Naona wanajaribu kufikia yale unayotaja lakini wasipoweza kuzuia umeme kwa wiki mfululizo sioni kwamba watakwamisha uchumi wote.
Droni hizi zinaleta hasara bila shaka, lakini zaidi ni kutisha watu raia. Matokeo ya kijeshi yako wapi?
😂😂😂,Ukiona Ukraine Yuko kimya basi ujue huko field anachapika!Kila siku humu mlikuwa mnaleta video,nyingine za mchongo kuonesha Ukraine anashinda vita!Ukraine Hana maneno mengi sana, yeye anamfukuza mwizi kimyakimya tu
Ni mwendo wa kichapo japo kimya kimya [emoji12][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app