Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kufa wanakufa wote, urusi mpk sasa washakufa elf 65
Kwa mujibu wa Ukraine na Wala hizo namba haziwezi kuwa verified!Ila Russia na yeye katoa idadi ya waliokufa ambayo inatofautiana sana na hiyo?Nani wa kumuamini?
Sasa Russia anachokifanya ni kuacha Ukraine sensa wajifanyie wenyewe,,yeye anatandika tu!Na hiyo Miji aliyoikalia alisema atoke,mtakuta makaburi ya watu buku buku!
 
Wanajua nini kitakachofatia wakimpa silaha Uikrane,wenzake Ulaya wanashikishwa adabu.Kinachvutia hasimu wao Israel anazile KAMIKAZE zinazozurura popote[emoji1787]
Mwewe yaani anakua anazurura mtaani akiona windo lake anavyolishukia kama mshale "shaaaa" mnaona vumbi tu.
 
US taifa lahovyo sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
USA Wana wivu wa shetani.
Nchi mbalimbali zinapojaribu kufanya urafiki,ama mahusiano ama biashara ama kushirikiana na Urusi katika nyanja yoyote Ile hasa kwa kipindi hiki,utasikia USA inazionya nchi hizo zisishirikiane na Urusi.

Mfano hata nchi zenye umoja na Urusi katika masuala Fulani kama nchi za BRICS USA inazionya zisishirikiane na Urusi.

Nchi za Afrika kutaka kununua mafuta ya Bei Chee kwa Urusi USA kazionya .

Uturuki ulitaka kutumia Mir ya Urusi USA kaiamrisha iache.
Kwa uchache.

Sasa tazama,Urusi ikizitaka nchi zilizo katikati ya Urusi na west ziwe neutral TU,yaani kwa sababu ya kiusalama TU wa Urusi zisiegemee upande wowote kati ya NATO au Urusi,UTASIKIA USA anaiambia Urusi.

"Urusi acha kuzichagulia marafiki nchi zilizokua umoja wa Kisovieti,ziache zijichavulie upande na marafiki zinazotaka kushirikiana nazo"

Marekani hiihii inazishawishi nchi za Kisovieti za zamani na zisizo za Kisovieti ili mradi zilizo karibu na urusi zijiunge na upande wake wa NATO

Marekani hiihii moja, Huku inazionya nchi zisishirikiane na Urusi,
Huku inaionya Urusi isifanye kile inakiita kuchagulia marafiki,wakati Urusi inaomba TU nchi hizo zisijiunge na NATO wala zisiwe upande wa Urusi,ziwe katikati.yeye bwana mkubwa anataka ziwe upande wa NATO.

Katika Hali ya kawaida na kwa utamaduni wa Magharibi kuchagua upande kwa hiari ni demokrasia,lakini linapoakuja suala la akina Saudi Arabia kujihusisha na Urusi hapo USA hawataki,
Linapoakuja suala la kupiga kura huko UN kwa kuegemea upande wa Urusi hapo tayari umetangaza uadui na USA .
Sasa hapa USA hua anahuibiri dokrasia Gani,Tena ambayo kwa nchi nyingine, huipeleka kwa mitutu.
utasikia hata Pro USA wanakwambia,"aah wee muache TU huyo mfalme wa Saudia,ataliwa kichwa Sasa hivi,hawajui CIA huyu",
Amuulize mwenzie waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani".
Hapa wanamaanisha kua ukienda kinyume na matkwa ya USA,USA watakuua.
Hii maana yake zaidi ni kwamba hata ukienda kinyume na USA kwa maslahi Yako wewe Tena kidemokrasia kwa kuchagua upande unaoupenda wewe kutoka moyoni mwako bila kulazimishwa na mtu yoyote,USA hawako tayari kwa hilo,wao watafanya Kila njia ama kukutoa ama kuleta machafuko nchini kwako ili kiongozi huyo atolewe.

Hii ndio tabia ya USA.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanaujua fika mziki wa Russia[emoji4]
 
Kuvaa civilians clothes kunakufanya usiwe askari?Tumeona Hadi wanaume wakivaa kama wanawake Ili wakimbie vita,sembuse kuvaa kiraia?
Most of people kwenye hizo mass grave ni askari ila akipatikana hata mtoto mmoja basi kelele ni nyingi mno!Vita Haina macho so collateral damage is inevitable!
 
Ukinijibu shit na multiply shit 1000times over so be warned all of you brainless assholes around here , don't mess with me
 
Sikiliza we pimbi ,nimeanza kutumia jf Kabla hujajua kusoma wala kuandika tuliza kalio Chini punguza kiherehere .
Wewe mtoto wa juzi,hata kauli zako Unaonekana hata 35 years huna,pia Kwa hizi porojo zako hata familia huna!
Siku ukikua,utaikana ID Yako Kwa huu upumbav unaoandika!Tumewaona wengi wakikimbia ID zao za zamani,ukikua utanielewa namaanisha Nini!
Kwa Sasa huwezi kuelewa hivyo nakusamehe bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…