Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji779]️Israel Will Not Supply Weapons To Ukraine

Defense Minister Benny Gantz said Israel will not supply weapons to Ukraine, despite Kiev raising the issue.

“I am the Defense Minister and I am responsible for Israeli weapon exports. I want to make it clear that we will not be selling weapons to Ukraine,” Gantz told a local radio station.

The official’s comments follow intense scrutiny from Moscow in response to Kiev pleading for Israel’s weapons. Deputy Security Council Head and Former President Dmitry Medvedev said it could potentially ruin the country’s relations with Russia.

Subscribe to RT
 
Hivi vi drone wameshavipatia havivuki sasa hivi vinakaangwa tuView attachment 2391959
Mkuu hizi drone Russia hua anazirusha mtindo wa swarming, yaani anarusha drone nyingiii hata 50 (kama alivyofanya juzi) kwa wakati mmoja hivyo si rahisi kwa Ukraine ambayo haina air defenses za kutosha kuzitungua zote lazima nyingine zitapenya.
 
Mkuu je unashangaa ukiona wale wa West wakisubiri tu kila nafasi kuthibitisha Iran inasema uwongo na kuongeza vikwazo? (maana walisema hatumi silaha...) . Kuhusu machozi nyuma ya pazia sina maarifa.

Kuhusu ubora wa droni ya Iran: Ukipenda kuamini hazianguki hovyo - basi amini tu. Mimi naona habari kuwa Iran ni hodari kutumia chipsi za kawaida na kuzitumia kwa droni ambazo si makini sana lakini zinaweza kulengwa kiasi. Maana Iran imejenga uwezo wa kutumia njia za panya kiuchumi na kitekinolojia hivyo wameunda uwezo wa kutengeneza droni hizo, uwezo ambao Warusi hawafikia bado.

Ukiamini bado droni hizo za Iran ni hightech labda utumie mantikiy a wastani: kama zingekuwa vile, droni 30 zingetosha kuzima umeme kote Ukraine. Sasa Warusi wamerusha mamia, na wamegonga 30% (bila kuharibu yote...). Naelewa urusi inazitumia kwa sababu wamezipata kwa bei nafuu na roketi makini za Urusi zimepungua sana ilhali hadi sasa walitegemea tekinolojia ya Marekani na Ulaya ambayo hawapati tena..
 
Ukrainian Official Slates Bayraktar Drones in Prank Call

Sergey Pashinsky admitted that Turkish-made Bayraktar drones, hailed by Western media as a game changer, have no combat effectiveness due to their extreme vulnerability to air defense systems in a mock interview with Russian pranksters Vovan and Lexus.

Believing he was speaking to former US ambassador to Russia Michael McFaul, the Ukrainian official claimed “there is more PR and corruption in Bayraktar than combat use,” adding that all such drones Kiev had when the conflict began were “shot down within a week.”

Pashinsky also confessed in the prank interview, which was apparently recorded a few weeks ago, that Ukraine coordinates its military operations with Washington, suggesting that the US approved the Crimean Bridge attack.

Subscribe to RT
 
Wanadai zile air defense za marekani hazioni juu kwa hiyo kombola likitokea juu haioni kabisaa yenyewe sijui inazuia yanayotokea chini kuja juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mara waseme inaozuia ya mbele tu ila ila makombola yanayozunguka kwa nyuma haina labda ndio maana wao hata mambo ya kupalamiana migongoni sawa tu[emoji17][emoji17][emoji17]
 
The Ukraine at night.

Thank God they shoot down all the missiles and drones. Imagine what it would look like if they didn't.

Some Comments from the post
[emoji188][emoji188] Like a Da Vinci painting [emoji38] did you know Da Vinci was Ukrainian? [emoji1782] "Lyonyd Da Vynchynko"

[emoji188][emoji188] They must be wondering now if attacking that bridge was really worth the troubles after.

[emoji188][emoji188] Did you know Adam and Eve were Ukrainian? Their first words were Slava ukrainiiiiiii [emoji38]

[emoji188][emoji188] I asked some satellite image of Ukraine after the shelling. And now, my wish granted. Hahaha. Eternal darkness.
 
Ameamua kuwaondoa eneo Hilo,watakaozikwa ni wanamgambo wa Ukraine!Ila this time hamtawafukua Maana hamtapata fursa hiyo!
Hahahaha sasa hivi mnashangilia Raia kuzikwa wengi kwenye kaburi moja zile shangwe za referendum zimeisha[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Putin si alisema atakaeshambulia maeneo yaliyojiunga na Urusi atakua ni sawa kashambulia RF,na atatoa jibu Kali ikiwemo nyuklia [emoji23]...Imekuaje tena?!
 
Na huyu mjamaa mwenzenu mnamzungumziaje
 
Wanashangilia mass grave huku wakilaani udhalim unaofanywa na NATO..,Hawa jamaa wengi wao Wana mtindio wa ubongo [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO ndo wanapigana na Russia, hii inaweza fanya Russia atumiye nguvu zaidi na uharibifu mkubwa wa miundombinu na maisha ya binadamu.
 

Attachments

  • Screenshot_20221019-181603.png
    120.2 KB · Views: 16
Printing money ya Federal reserve sio sawa na ya Russia au BOT, huelewi bado go educate yourself
 
Give the meaning of "the so called Ukraine"... Litakuwa swali la Paper la UE in Diplomasia mnamo 2050.


So unamaanisha anamnanhiii mtoto wa Raisi 😂.


Bro we hautaki msaada mmmh? Hautaki matundu ya vyoo mjengewe kijijini kule ha ha ha.
Hii Vita ikiisha basi Iran,China na Korea kaskazini watakuwa wamepata tech nyingi Sana za silaha za ulaya Kwa ujumla wake, ndiyo maana Israel imewaonya ulaya kuwa hizo silaha wanazopeleka Ukraine zitakuja kuwapiga siku moja
 
Matokeo ya uharibifu wa mitambo ya Umeme hauwezi kuona kwa sasa lakini kadiri siku zinavyo songa ndio utaanza kujua Urusi ilikuwa inamanisha nn.

Kuhusu kherson Urusi imetoa maelezo yanayo eleweka lakini kwa sababu ya ushabiki wako unaupotosha makusudi.

Urusi imepata taarifa za kijasusi kuwa Ukraine imeandaa jeshi kubwa sana kwa ajili ya kuivamia kherson iwapo hizo taarifa ni za kweli itakuwa ni maafa makubwa sana kwa raia ndio maana wanaamishwa.

Faida nyingine za hizo drone zinatumika kuidhoofisha mifumo ya ulinzi ya Ukraine, mifumo ya ulinzi inaendeshwa kwa gharama kubwa sana kombora moja la mfumo wa ulinzi linanunuliwa 200,000$ wakati hizo drone gharama yake 20,000$ kwa hiyo kitendo kuitungua drone ya moja ni hasara kwa Ukraine na ni faida kwa Urusi.
 
Ukweli ni kuwa wewe ndiye unayejiaibisha....mimi nimesema hapa kuwa huyo Jeneral alisema hivyo ---sasa sijui wewe unabisha nini...Halafu just use your common sense....Unadhani askari wa NATO hawapo Ukraine???!!! For your information NATO wapo pale Ukraine lakini kama mercenaries kwa maana hawajavaa uniform za NATO...mipango yote ya Ukraine inaratibiwa na maafisa wa NATO...askari wa Poland ndio waliojaa huko Ukraine wakijifanya kuwa wamekuja wenyewe bila serikali yao kujua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…