Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha tabia ya kutetea watukanaji!Nimeona hili mara nyingi,lazima uje na hiyo excuse ya "mbona"!
Unapoona lugha isiyofaa,kemea!
 
Kwa gharama ya damu?
 
Sikiliza wewe , Umeongelea suala la cost ya logistics ya kuvukisha hayo mafuta na gesi cheaply hapo Europe Hilo suala linawezekana na nadhani miezi mitatu iliyopita Rais WA France alikuwa Algeria ,na kuna makubaliano ya ujenzi WA TransSaharan gas pipeline ukihusisha Algeria ,Niger na Nigeria na kama hujui ni kwamba France na hizo nchi wameingia na kusign Memorandum of understand ili huo ujenzi kuanza Kwa kushirikiana hayo matatu mara moja .



Na kama hujui Algeria ni third large supplier WA gesi pale Europe ukitoa Russia na Norway.
So in the long run kuongeza supply Kwa customer wake southern Europe hasa spain,Portugal ,Italy , France ,Greece NK itamuwezesha kulishika soko .

Puzzle hapa ni cost ndio Maana nikaongea toka mwanzo ni Kwa nchi hizi za KiAfrica kuangalia jinsi ya kulower production cost na cost ya kuvukisha mzigo pale Europe Kwa gharama ndogo kuliko competitors wao ,
EU si wapuuz wanaweza piga ban mazima gas ya mrusi na wala hawashindwi Kwanza kashawachafua nyongo .
Kama Europe wameionyesha Nia ya kutafta partner mwingine WA kudumu kwanini nchi za kiAfrica wasitake hiyo opportunity kuproduce more na kucover hiyo demand ?

Fvck OPEC , Kila mtu anaangalia maslahi yake , Algeria ,Niger na Nigeria hiyo ni route kabisa to Europe na nchi hizo in combination zina reserve kubwa Tu ya mafuta na gesi ambayo haijawa utilized ili kuziwezesha hizo nchi kujiinua zaidi kiuchumi na kubenefit kama peers wao pale OPEC mfano Russia na Saudia ambavyo wamekuwa wanavyobenefit Kwa miaka mingi . We unafikiri Saudia / Russia wanafanya vile ili kuzifaidisha nchi nyingine ? , Hao Saudia na Russia hata wakipunguza uzalishaji bado output na mauzo Yao Kwa siku ni kubwa na faida wanapata zaidi wao .Au we unafikiri OPEC ni charity Ile ?

Concern yangu ni kwamba Ni muda muafaka sasa ukianzia Nigeria , Niger na Algeria hizo nchi ziangalie maslahi yake kwanza Kabla ya interests za OPEC ambayo mrusi ameipoliticize kufullfill matakwa yake binafsi , akili za kiduwanzi za kusema sijui flani ndio awe anadetermine turnover ya production ni ufala ,kila mtu apambane na customers wake na azalishaje awezavyo , wao mbona Saudia walimgomea Russia mwanzoni mwa mwaka huu kwamba hawatashusha uzalishaji Kabla Putin hajawaconvice hao wasaudi kushusha uzalishaji ili kufullfill political ambitions zake , ni unafiki na unazidumaza hizo nchi zenye resources yet bado ni masikini na hazijaweza kubenefit kama ipasavyo na resources waliyonayo ya fossil fuels.

Sielewi ulichokuwa unapinga ni nini , suala liko pale pale ni Kwa hizo nchi kujenga facilities kama mabomba na refineries na kuongeza production capacity ili kuweza kucompete na washindani kwenye global market ambao Wana migogoro ya kisera na moja ya wanunuzi wakubwa WA nishati hiyo ambayo ni EU .

 
Hizi takataka mnazidi kujaza server za jamiiforum kwa uchafu tu..ndo umeandika ugoro gani Sasa
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jibu la hovyo Kwa hoja zenye mashiko!Sio lazima kujibu,ukiona hoja zimekuzidi uwezo pita tu kama Hujaona!
We subiri kushambulia video za Frontline,huku kwenye hoja waachie wengine😆!
 
Kujiita pro nato au pro Russia sio sababu ikiwa maneno yako yanajionesha upo kwenye bloc ipi.

Mtu katukana ila kakosea wewe umeona umsahihishe ili tusi lake lifike vizuri. Anyway ikiwa unaona umefanya poa fresh tu matusi hayatoboi
Mimi huyuhuyu ninayempinga Putin kuivamia Ukraine ndo huyu huyu ninayemsapoti kwenye suala lake la price ceiling huwezi niita Pro sababu wakati wowote nampinga huyo unayenipachika u Pro.

Matusi yapo humu imeshakuwa sehemu ya uzi. Watu wanatukanana sana na tunayasoma matusi.
 
Kwamba CIA, MOSAD NK. Walim outsmart?
 
Ukija kumuona huyo fashsti Putin akiwa kizimbani nafikiri hapo ndipo utazinduka na kuyakana haya mashudu uliyoandika [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2392681

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ICC ni kwa ajili yetu sisi nchi maskini na hasa za Afrika. Nchi zote kubwa ikiwemo Marekani na Urusi siyo wanachama wa mahakama ya ICC. Hivyo, viongozi wa nchi hizo hashitakiki huko.
 
Huyo jamaa hajakomaa,ni kupiga ignore button tu!
Wakati wewe ukiwasihi wenzako wakemee matusi.., naona unawashangilia watukanaji kwa nguvu zote [emoji16]

Jamiiforum Ina vituko..ndio maana nikiwa na mambo yamenichanganya nazama jamiiforum Ili nipate tuvituko kama Hutu [emoji28][emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…