Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Proputin ndio watu wenye midomo michafu zaidi hapa jukwaani, acha unafiki kijana.
Kijana jieshimu matusi yanini sasa?? Matusi ni dalili za kuishiwa hoja na inaonesha akili yako haipo sawa wahi mirembe.
 
⚡️The British Guardian writes that Russian drones are costing Ukraine too much.

The Ukrainian organization estimated that all the Iranian drones launched in a month, from September 13 to October 17, cost Russia no more than $18m. At the same time, Ukraine spent more, about $28 million, to shoot down some of the launched drones.
However, the rest flew and caused not millions but billions of dollars worth of damage.

And then Lizka Truss freaked out🤡
 
Proputin wamebobea katika unafiki na kuhamisha magoli, ni watu wa ajabu ajabu sana.
 
Mzee wetu Putin hajasahaulika tena kwenye statement ya Bibi wa siku 45 wakati anatangaza kujiuzulu. Kila failures zao its Putin to blame 😊.

Your browser is not able to display this video.

🇬🇧🔥📹 — Video: Moment when Prime-Minister Liz Truss resigned after ruling for 44 days, making her the shortest PM in history, amid the collapse of her government after waves of instability involving Truss Mini-Budget

Sie tunakumbuka maneno kutoka kwake tu 👇
 
Putin ni dhulumati mkubwa sana, amedhulumu uhai wa maelfu ya watu wazima na watoto wa Ukraine.
 
Hiyo ndio excuse wanayotoa Proputin wengine kwa uvamizi wa Urusi, kwamba mbona US walivamia Afghanistan, Libya na Syria !
Acha tabia ya kutetea watukanaji!Nimeona hili mara nyingi,lazima uje na hiyo excuse ya "mbona"!
Unapoona lugha isiyofaa,kemea!
 
Hata sisi wengine tunakereka sana na conspiracy na propaganda zako na Proputin wengine kama kina Mathanzua ila tunawavumilia tu kwa sababu mmechagua kuwa upande wa hovyo.
Kuwa na ngozi ngumu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…