Mkuu nakubali kabisa- Nimekuta hapa mara kadhaa michango kuhusu droni nikauliza mara kwa mara kuhusu facts jinsi gani droni hizi zinavyoathiri mwendo wa mapigano - mbali na kutisha watu raia. Sijaona jibu. Ila wengine wanaeleza "ni lazima" droni zitaathiri mengi... Nisipokosei wale wanaosema hivi wana imani kubwa, ila hakuna aliyeleta facts nilizotafuta: uharibifu wa muda kwatika vituo vya umeme, uharibifu katika nyumba za watu, kuua raia wachache unabadilisha nini katika mwendo wa mapigano???Ndugu masuala ya vita..sio maswala ya kiimani..kwamba unaamini au huamini...sio masuala ya kiroho haya..ni maswala ya facts...cha msingi ni kutoa facts kujustify msimamo wako...
Spring ni mwezi April hadi June.Mkuu.. hivi unajua Spring Ni wakati gani na ni muda gani kuanzia Sasa...?
Inategema. Kwenye kaskazini ya Dunia kuanzia 21 Machi hadi 29 Juni, kwenye kusini ya Dunia 21 Septemba hadi 20 Desemba. Hali halisi inategema eneo liko karibu na ncha kiasi gani.
Tunakoelekea Urusi anaweza ongeza majimbo mengine ndani ya Federation.Ha ha haa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1666]
Walitegemea kuweka vikwazo vya Kila aina,vikwazo ambavyo havijawahi kabisa kuwekwa kwa nchi yoyote duniani,vikwazo vya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,ingemchosha Urusi.
Walitegemea kupeleka silaha za mabilioni ya fedha,silaha za Kila aina,silaha kutoka Kila nchi ya NATO na isiyo ya NATO, ingerefusha vita.
Walitegemea haya yote Urusi ingependekeza vita iishe kwa njia ya kidiplomasia,lkini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi ndo kwanza inawaambia wako level ya pili ya operation.kukata mawasiliano na kuharibu miundombinu.
Kiuchumi ndo kwanza vikwazo vinawafilisi wao wenyewe,
Kisiasa ndo kwanza luundo la nchi zinagombea kujiunga kwenye umoja ulioanzishwa na Urusi BRICS ama umoja alimo CSTO..
Iko hivi,USA ni adui mkubwa wa Urusi,lakini Urusi Hana chuki na USA.
Kila alipo USA hapa duniani,Urusi ana jicho lake.
Baada ya kuona USA ana interst sana na former Soviet states especially Ukraine,Urusi walielekeza macho Yao yote hapo,kwa hiyo Kila walichokua wakifanya USA NATO hapo Urusi walikua makini kutazama kwa macho Yao "maalum".
Hivyo baada ya Urusi kunusa hatari nao wakaanza maandalizi ya kutibua mipango kabla haijafika kuleta madhara.walijiandaa kwa Kila kitu kutokana na tabia za USA (vikwazo,fitina,kutengwa,uongo,silaha,kukupa jina baya,na Kila aina ya ushenzi).
Ndio mnaona badala ya kutengwa,kuchukiwa,kuanguka kiuchumi,kuchoka kijeshi na Kila aina ya ushenzi ndo kwanza Russia inaungwa mkono,pesa yake imepata umaarufu,uchumi haujatetereka kama ilivyotarajiwa,inapata marafiki wapya,inaongeza mashambulizi kuliko mwanzo.
Haya yote yalifanyiwa upembuzi yakinifu na chanjo iliandaliwa.
Msione hivyo mkadhani Urusi wamebahatisha,ni kazi za Great thinkers.
Unaweza kudhani hawakuipigia mahesabu NATO,no,walijua kabisa NATO watasaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ndipo Russia wakaanza na diplomasia kuhusu kuheshimu makubaliano ya Minsk,luziomba NATO zisiiingize Ukraine kwa NATO, na Kila aina ya diplomasia,lkn wakamdharau.
Baada ya kuona Wana kiburi kaingiza jeshi, na nakuhakikishia kua,Russia hii vita, hatarudi nyuma.
Baada ya kuona hayumbi Sasa wanaangalia namna ya kumrudisha mezani.
Kwa kuhitimisha,ni kwamba, akili ya Chess imetumika pakubwa kudili na west.
The United States has just announced that the ballistic missile submarine USS West Virginia (of the Ohio strategic nuclear submarine class) is present in the Arabian Sea, an unusual move that appears to be intended to send a warning signal to Russia-Iran.
You may read the entire article by clicking on the link below
Hii dunia kuna vitu vinachekesha mno
[emoji779]️The import of oil products by Ukraine in January-September of this year amounted to $6.14 billion, which is 72.1% more ($3.57 billion last year) than in the same period last year, the State Customs Service of the country reported.
The main importers are Belarus for $793.5 million, India for $688.3 million and Russia for $590.4 million.
[emoji188][emoji188]
Kwamba we hate you but we love your Oil products!
Cha msingi super pawer wa mchongo aendelee kupigishwa danadana tu.., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefuLAST KICK OF A DYING HORSE
Guys, kwanza sorry leo nilichafukwa na kushuka mazima mazima na watoto wapenda matusi, nilitaka kuwaonesha kua kila mtu anaweza kutukana, baada ya hapo nikawapiga kwenye ignore list, lakini kwa vile nilenda jando, naombeni msamaha kwa niliowakera. Turudi kwenye analysis sasa..
Baada ya kupeleka sana silaha ukraine, baada ya kuweka vikwazo vya kila aina, sasa west wamebaki wanatapa tapa kama farasi anayeelekea kufa, mara nyingi farasi anaelekea kufa hurusha miguu, na ogopa sana lile teke lake la mwisho, hutafuta mtu wa kufa naye.
West wameanza kutapatapa, sasa wanasema Iran ndio inatoa silaha kwa Russia, pamoja na silaha zote wapelekazo kiev, mji mkuu wa Ukraine unapigwa kwenye mshono maana miundombinu muhimu zote zimeguswa.
Kule frontline, hamasa imepungua silaha hazifiki kwa wakati na kiasi, na kwa maana hyo vita inaweza kwenda ukingoni... hili limewachanganya mpaka west wa buza huku cuba, wanaanza kukera na kutukana watu, ili mradi tu watafute wa kufa nao.
Narudia tena kauli yangu niliyowahi kuiandika hapa mwanzoni mwa SMO kua 'tunywe mtori nyama tutazikuta chini' uongo una mwisho na ukweli kamwe haufichiki, utauchelewesha tu.... uraaaaa!
Endeleeni kujifariji wakati super pawer wa mchongo anatembezewa mkong'oto hatari Huko front line [emoji2]Tunakoelekea Urusi anaweza ongeza majimbo mengine ndani ya Federation.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
West wanatubeba sana katika mambo mengi..,Hawa wanaobeza support ya west hasa Kwa mataifa ya Africa ni kwamba hawajitambui. ..,Wala hakuna lugha nyingine rais ya kuwaelezea zaidi ya hiyo,Hapa Tanzania US, EU na UK ndio wanaongoza kutoa misaada na mikopo ya kila aina kuanzia ujenzi wa miondombinu mikubwa, dawa za Ukimwi, Malaria, vituo vya afya vya mama zenu kuzalia mpaka vyoo na kutahiri magovi na wengine hadi chanjo za kifua kikuu na polio mlipata kwa hisani yao ila jambo la ajabu ni mashabiki lia lia na wafuasi wa kutupwa wa dikteta Putin!
Wiki Sasa wanaongea "President advisers"...[emoji1255][emoji777][emoji1134] — [emoji1255] Ukrainian President's Adviser: We are disappointed by Israel's decision not to transfer arms to Ukraine.
He also said that... The State of Israel chose to stand on the wrong side of history.
[emoji188][emoji188]
Yetu macho tu.
Do your homework first. Drones mbali na kubutua sebule za watu nini kingine kimebutuliwa? Do the assignment.Mkuu nakubali kabisa- Nimekuta hapa mara kadhaa michango kuhusu droni nikauliza mara kwa mara kuhusu facts jinsi gani droni hizi zinavyoathiri mwendo wa mapigano - mbali na kutisha watu raia. Sijaona jibu. Ila wengine wanaeleza "ni lazima" droni zitaathiri mengi... Nisipokosei wale wanaosema hivi wana imani kubwa, ila hakuna aliyeleta facts nilizotafuta: uharibifu wa muda kwatika vituo vya umeme, uharibifu katika nyumba za watu, kuua raia wachache unabadilisha nini katika mwendo wa mapigano???
40% ya national power is destroyed. Maji ya mgao kama Kimara siku hiziDo your homework first. Drones mbali na kubutua sebule za watu nini kingine kimebutuliwa? Do the assignment.
Hahahaha kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko NATO ambao wanafatilia nyendo za majeshi ya Urusi 24/7 Kwa surveillance planes zinazoruka black sea kila kukicha na satellite kibao!!!!? Kwani hata kule Kharkiv ilikuaje si mlikuja na visingizio eti mtego,mtego gani huo usioteguka[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo mbona itakuwa cha mtoto - funga kazi itakuwa mapigano yatakayo fumuka huko KHERSON hivi karibuni, hata sisimizi hawatasalimika - yatakuwa mara kumi ya mji wa Allepo, nilishangaa kuona majeshi ya Zelensky, baadhi ya wanajeshi wa NATO/US na mamuluki wanajipeleka wenyewe kichwa kichwa kwenye mtego wa jeshi la Urusi huko KHERSON - walivyo mazezeta hata hawashtuki kwa nini jeshi la Urusi linahamisha kwa wingi raia wenye asili ya Urusi wanao ishi huko KHERSON na viunga vyake kwenda Urusi kwenyewe - Zelensky na majenerali wake wala hilo hawalistukii kabisaa - hawana habari kwamba jeshi la Urusi lina watayarishia jehanamu ya hapa Duniani ili liwe fundisho tosha kwa majeshi ya NATO na kiranja wao MKUU - kwa wale watakao nusurulika kifo hawata sahau operation ya KHERSON for the rest of their LIVES. Nyie subirini ndio Dunia itatambua kiundani umahili wa Putin na jeshi lake.