Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu hapa 😍
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe mwafrika anakujua nani kwenye hii Dunia,pambana na hali Yako kula mara tatu Kwa cku kumekushinda ila unaona Bora uanze kuwashabikia hao kenge
 
Jeshi la Urusi linapelekewa kichapo kikali huko Kherson mpaka wanaanza kuondoa majeshi ktk ukingo wa magharibi mwa mto Dnipro lakini mashabiki wa Urusi wanaleta propaganda kuwa hali yao ya kijeshi inaenda vizuri[emoji3][emoji3]
Hawanaga point kazi yao kutukana tu.
Na kujifariji utasikia Kherson ni Urusi haiwezi rudi.
 
Hizo nchi ulizotaja hapo zinaizidi Russia kiuchumi. Kwanini unachanganya economic superpowers na nchi yenye GDP level za Spain?

Iran ashukuliwe kumsaidia huyu superpower wa zamani
Kwa comment yako hii ndiyo maana mnashindwa kuelewa issues...pole Sana...sitaki hata kukuelewesha kwa namna maelezo yako yalivyo katika kiwango Cha chini Cha uelewa...
 
Hizo nchi ulizotaja hapo zinaizidi Russia kiuchumi. Kwanini unachanganya economic superpowers na nchi yenye GDP level za Spain?

Iran ashukuliwe kumsaidia huyu superpower wa zamani
Kwa comment yako hii ndiyo maana mnashindwa kuelewa issues...pole Sana...sitaki hata kukuelewesha kwa namna maelezo yako yalivyo katika kiwango Cha chini Cha uelewa...
 

Can you send me this clip mkuu?
 
Alisikika mganga wa kienyeji toka Katavi baada kuletewa matembele badala jogoo mwekundu
 
Kwanini moderator hawawafungii au kuwapiga ban watu wanaotumia lugha chafu au Matusi? Je ni ustaarabu kujibishana kwa matusi pasipo kuweka hoja?
Waafrika tujafeli wapi? Ukraine sio kwenu wala Urusi, mbona mnatoka povu kwa vitu sio vyenu?
Badala ya kutumia vita hii kama fursa tumebaki hatufaidiki na cbocbote
 
The situation in the Bakhmut direction - October 20, 2022 - @brussinf

The units of the Armed Forces of Ukraine continue to counterattack the positions of the PMC "Wagner" almost along the entire front line - from Disputed to Nikolaevka-2, but to no avail. "Musicians" not only successfully hold the defense, but also move forward.

▪️ PMC "Wagner" is advancing from Nikolaevka-2 to the south along the Bakhmut-Gorlovka highway, approaching two large strongholds of the Armed Forces of Ukraine. After they are eliminated, the section of the road from Otradovka to Mayorskaya station will come under the full control of Russian forces;

▪️At the same time, there is an advance from Otradovka and Zaitsevo to three more Ukrainian strongholds south of Opytny. Fierce battles are going on in the region of Opytnovo itself;

▪️on the eastern outskirts of Bakhmut, Wagner PMC continues to control the intersection on Patrice Lumumba Street and part of the territory of the gardening association;

▪️ To the west of the Soledar-Pokrovskoye highway, detachments of "musicians" liquidated two strongholds of the Armed Forces of Ukraine and advanced along the western outskirts of the settlement. Bakhmutskoye in the direction of the Bakhmut village council;

▪️Fighting continues in the area of Spornoye.

Map ⬇️⬇️⬇️
 
Ripoti ya kesho nadubiri hapa sebuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…