Mwanzoni mwa Vita Zelensky alitangaza kuachana na mpango wa kujiunga NATO na EU. Zelensky alifika hatuwa ya kuwaita wamagharibi cowads, lkn Urusi waliendelea kumshambulia. Malengo ya Urusi hayajulikani.Kama Ukraine akikubali kushindwa Leo hii,maana yake vita itaishia hapohapo.
Urusi haitaendelea kusonga mbele kijeshi.
Wala haitayaachia maeneo iliyoyashilikilia,na ndio kushindwa kwenyewe kwa Ukraine huko.
Ukraine itabidi ikubali kutojiunga na NATO,ndio kushindwa kwenyewe huko.
Ifahamike kuwa silaha za Ukraine kabla ya OP hii kuanza zote zulishaliwa na Urusi,hizi walizonazo Sasa hivi ni kutoka Kwa NATO.
Ikumbukwe kwamba NATO nao wanapunguza silaha zao kwa kiasi kikubwa mno,nao wanaishiwa silaha.
Kwa maana hiyo NATO wako vitani na Urusi kwa kuwatumia wapiganaji kutoka Ukraine.
Kama Zelensky akishupaza shingo askari wake wengi wataendelea kufa na silaha za NATO zitaendelea kuliwa.
Mwisho wa siku hata NATO wakiamua kuingia vitani na Urusi hawatakua na nguvu kama Ile ambayo wangekua nayo kabla ya kuanza kuiunga mkono Kijeshi Ukraine.
Urusi wanapunguza akiba Yao ya silaha na NATO pia wanapunguza.
Tumeshuhudia Canada,Poland,USA,UK na wengine wakilalamika kua akiba zao zimepungua,zimebaki kwa ajili ya ulinzi wa taifa lao TU.
Kadri wanavyoongeza kuipa silaha Ukraine ndivyo Urusi anavyoongeza ukali wa mashambulizi,toka makambi ya kijeshi Sasa ni miundombinu inayoiwezsha majeshi kupigana.
Huu ni uharibifu utakao ilazimisha Ukraine na NATO kuweka silaha chini na wakubali kuja mezani.
Kuna watu wanasema,silaha anazipewa Ukraine ni mkopo atalipa,lakini Ukraine sio wa kulipa Leo wala kesho,itaichukua Ukraine miaka mingi sana kuanza kulipa madeni hayo.
Dah hii DUNIA hiiView attachment 2393655
Finnish Prime Minister Marin, overjoyed by the invitation to NATO, decided to take a walk with the pride in Helsinki
Wanachukua picha zetu wanabandika kwaoLeo tena majesh ya ukraine yamepewa kichapo kikali kuliko hata jana kama kawaida tusubiri picha tu
Angekuja huku SOCHI tusaini mkataba sio maneno matupu ambayo hata kwenye mabango yanaandikwaMwanzoni mwa Vita Zelensky alitangaza kuachana na mpango wa kujiunga NATO na EU. Zelensky alifika hatuwa ya kuwaita wamagharibi cowads, lkn Urusi waliendelea kumshambulia. Malengo ya Urusi hayajulikani.
[emoji95] Explosions are reported in the Kiev regionDrone zimeisha
Tuwekee hapa ushahidiMwanzoni mwa Vita Zelensky alitangaza kuachana na mpango wa kujiunga NATO na EU. Zelensky alifika hatuwa ya kuwaita wamagharibi cowads, lkn Urusi waliendelea kumshambulia. Malengo ya Urusi hayajulikani.
Kwa hiyo wewe umo humu kwa uzushi??!!! Yaani wewe ndiye eti ujue Russia ameishiwa zana???!!! duh ...Yaani of all the people yaani wewe ndiye ujue quantities za zana za kivita za Russia??!!alinunua 2,400 zishaisha, sasa hakuna Taifa linathubutu kumpatia - Iran wameanza kuomba msamaha kwa EU na UN.
Mtu anakabiliwa na NATO yote amalize silaha kienyeji. Silaha zikikaribia kuisha zitapigwa zile za maamuziKwa hiyo wewe umo humu kwa uzushi??!!! Yaani wewe ndiye eti ujue Russia ameishiwa zana???!!! duh ...Yaani of all the people yaani wewe ndiye ujue quantities za zana za kivita za Russia??!!
Tunatamani afikie hatua hiyo upesi Ili awape sababu,wamchakaze mapema sana tusahau habari ya vita hivi maana imekuwa KERO masikioni mwetu[emoji848]Mtu anakabiliwa na NATO yote amalize silaha kienyeji. Silaha zikikaribia kuisha zitapigwa zile za maamuzi
Safi saanaRussia wanafahamu bomu la pale darajani Kerch lilitegwa na majasusi wa Ukraine, vikosi vya kigaidi vya Russia na vikosi vya kijasusi vya nchi za magharibi.
Hivyo kama wakumbuka Medvedev alisema Crimea ikishambuliwa basi hiyo siku itakuwa ni "judgmnet day".
Hii ya mashambulizi pale Kyiv ni Russia kuwaonyesha Ukraine kuwa wana uwezo wa kuishambulia na kuimaliza Ukraine wakati wowote.
Makombora yote yalopigwa jana Ukraine hayakuweza kutambuliwa na ADSs.
Yalikwenda kimyakimya kwenye sehemu lengwa.
Baada ya mashambulizi haya tegemea mashambulizi zaidi dhidi ya Ukraine na khasa sehemu ambazo mizigo ya silaha yapitia.
Kwa ujinga huu ndio maana amelazimishwa kujiuzuluAsemacho Liz trus ni kweli kabisa.., Putin hatakiwi kupewa nafasi yoyote ya mazungumzo maana kufanya hivyo ni kumpa nafasi ya kujipanga vizuri Ili aendeleze vita vyake.., hatakiwi kupewa nafasi ya kupumua,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kweliHahahah! Mkuu hebu shusha hiyo temper kwanza, yani kutukana utukane wewe halafu uniambie mimi ndo natukana..
Sijawahi kuandaka bandiko la matusi mimi kwenye huu uzi na siyo muumini wa matusi kama wewe, pengine kwenye huu uzi wewe ni mgeni ndo maana unaona ukiambiwa "mla viazi wa Namtumbo" unaona kama umetukanwa tusi la ukoo wakati watu tunaitwa Warusi wa buza na bado tunachukulia normal tu
Ok ngoja nikuache maana kila akili hutafasri mambo kulingana na ilipo, Akili iliyopo kichwani haiwezi kuelewa na kutafsiri mambo sawa na akili iliyopo kiunoni.
Pole sana mkuu kwa kujaa bila sababu, jikaze tu utazoea kadri siku zinavyoenda, hata sisi tulianza hivo hivo kwa viasira vya ajabu ajabu wakati tunaingia rasmi kwenye huu uzi ila kwasasa tushakomaa na matusi kwetu si kitu tena.
Turudi kwenye lengo mama la huu uzi, "yanayojiri kwenye mgogoro wa Ukraine na Urusi"
Atakuja mwingine na moto ule ule.., stay tuned!Kwa ujinga huu ndio maana amelazimishwa kujiuzulu
Huyu ni jasusi halisi,Tena wa CIA.View attachment 2393690
According to an American military intelligence officer, Ukrainian requests for heavy weapons mean the complete depletion of the NATO stockpile
this is what remains for Putin.Ukrainian insider telegram channel:
In order to divert the attention of the world media from the possible destruction by the Ukrainian Nazis of the dam of the Kakhovskaya hydroelectric power station, British experts from MI6 recommended Zelensky to carry out a distracting sabotage on the Togliatti-Odessa ammonia pipeline in the Nikolaev region.
The destruction of the ammonia pipeline is planned to be carried out in the Bereznegovatsky district, where more than 15 thousand people live.
The destruction of a part of the pipe is planned with the help of the S-300 air defense system. After that, the Western media will cover events to rescue the residents of nearby villages and traditionally accuse Russia of terrorism.
The preparations for a terrorist act on the ammonia pipeline are indicated by the actions of the State Service of Ukraine for Emergency Situations. In the administration of settlements of the Bereznegovatsky district, representatives of the State Emergency Service delivered memos on first aid in case of damage to hazardous chemicals.
It should also be noted that a large number of foreign journalists arrived in Nikolaev, who, according to some reports, should be involved in covering a certain emergency.
Such a strategy of action is not new. More than once, the West has been ready to sacrifice civilians to achieve its goals, especially if they are not citizens of Western countries.
The resumption of ammonia exports was part of the extension of the "grain deal". By the way, the American company Occidental Petroleum has already paid for the next supply of ammonia.
zile drones 2400 zimekauka, kakope tena.Huyu
Huyu ni jasusi halisi,Tena wa CIA.
Lkni utakuta kijitu hapa JF kinampinga.
Watakuambia Urusi inatolewa jasho na ka Ukraine,kumbe Urusi inazipiga nchi za NATO.
Wemechangishana vijisilaha wewe,Hadi wanahofu ya kuishiwa ak
Proved
Ni vema akamwalika mchambuzi huru