Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super pawer wa mchongo anahaha kama nyoka aliyemwagiwa mafta
[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo kiendelee[emoji16]
 
View attachment 2393781
View attachment 2393783
View attachment 2393786
Many French patisseries and bakeries began to close due to lack of gas. The inscription on the sign: "No gas, no bread"

Hizo ni mvua za rasha rasha - masika BADO - Viongozi wa Ulaya na uzezeta wao wa kuendeshwa puta na Merikani wanao shinikiza Europe and Europeans kuichukia Urusi bila sababu za msingi - ni wazi mwaka huu viongozi wengi wa Ulaya watakula jeuri yao - raia wengi wa Ulaya wataingia barabarani na kufanya maandamano makubwa barani Ulaya ambayo hayajawahi kutokea save maandamano ya October Revolution 1917 huko Moscow, Russia.

Ninacho kiona mimi raia wengi wa Ulaya watashinikiza Serikali zao kujiondoa kwenye ushirika wa NATO na ku-form shirika lingine la majeshi ya Ulaya bila ya kutegemea jeshi la Merikani, watashinikiza vile vile kwamba US Military bases zipunguzwe au kuondolewa kabisa barani Ulaya.

Mwisho Raia wa Ulaya watashinikiza vile vile Serikali zao kwamba mataifa yao yawe na mahusiano mazuri na Russia, after all Russian hipo barani Ulaya unlike USA ambayo hipo zaidi ya 2500 Km kutoka barani Ulaya, linapo kuja suala la upatikanaji wa nishati ya bei nafuu na kuaminika kwa ajili ya viwanda na makazi ya watu wote barani Ulaya Urusi ndio jawabu la kila kitu Ulaya hisikubali kuingizwa mkenge na USA kwa kujifanya they have ways and means za kukidhi mahitaji ya nishati kwa bei nafuu kwa bara lote la Ulaya, hizo ni ndoto za mchana na Merikani unajua sana ukweli huo.

Mambo yanavyo elekea ni wazi baada ya vita ya Ukraine bara lote la Ulaya na Dunia nzima haitakuwa the same AGAIN, ukoloni mambo leo utapungua sana na UN haitakuwa na ushawishi tena kutokana na US kuingilia mara kwa mara katika uendeshaji wa taasisi hiyo nyeti ya kimataifa. Hayo ni maoni yangu.
 
Wakuu, Erdogan akisema Putin amelainika...
# je ni tokeo la ushindi wake?
# je ni tokeo la mapigo jeshi lake linapokea?
# je ni ndoto au uwongo wa Erdogan?
# je ni jaribio la Putin kupata muda kuokoa jeshi lake Kherson?

Live updatesLive updates,

Russia-Ukraine live news: ‘Putin open to negotiations’ – Erdogan​

By Edna Mohamed
Published On 21 Oct 202221 Oct 2022

  • Turkish President Recep Tayyip Erdogan says Russia’s Putin appears to be “much softer and more open to negotiations” than in the past.
  • Ukrainian forces killed at least four people in a missile attack on evacuating civilians in occupied Kherson, says Moscow.
  • Chanzo: Turkey’s Erdogan says Putin ‘more open’ to negotiations
 
Ni ujinga mkubwa kufikiri Putin atashinda vita hii unless wa Ukraine wenyewe waseme sasa basi tume salender.
Vinginevyo ndugu kaa mbali na US, Canada na watu wa magharibi ni balaa. Hivi wewe unajua gharama ya vita kwa siku? Je Mrusi anaweza kupigana vita hii kwa miaka 5 hadi 10 ?

Wewe unafikiri kwa nini Korea kaskazini, India na China hawatoi support kwa Urusi.?

Kwa nini Iran kaanza kulia lia?
 
Amepiga mikwara yote mpaka imeisha uku wanaume wakiendelea kumdindishia, Sasa Hana budi kuwa mpole tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Mkuu unisamehe wewe unaishi sayari gani?
#raia wa Ulaya kuchukia Urusi bila sababu? Kwana hisia katika nchi ziko tofauti, ila nchi karibu na Urusi wana sababu nzuri za kihistoria kuwa na wasiwasi kubwa na Urusi. Maana Urusi ilivamia Lithuania, Latvia, Estonia, Poland, na Finland katika kipindi cha ukoloni na kuzifanya koloni zake. Hata baada ya mapinduzi ya 1917 na nchi hizi kupata uhuru ilivamia tena! Je hawana sababu ya kuwa na wasiwasi, hofu au labda hata chuki dhidi ya Urusi (nakubali chuki ni jambo baya...)

# nchi ningine zilivamiwa na Urusi baada 1945 zikalazimishwa kuwa nusu koloni za Urusi kama vile Chekoslovakia, Hungaria, Ujerumani Mashariki . . .

# ninachokiona mimi ni raia za Sweden na Finland walilazimisha serikali zao kubadilisha siasa ya miaka mingi na kujiunga na NATO

Unaonaje?
 
Kuna mwanaupinde mmoja alinibishia na kunifokea vikali kabisa
US ni hatari sana hili taifa haya mambo wanayapeleka haraka na kwa nguvu zao zote sijajua kuna siri gani US kusimama kidete kueneza upinde. Baada ya miaka 20 itakuwa hatari sana. Miongozo ya shule , vitabu vyao picha za kufundishia zinahimiza watoto wapinde. Na fursa nyingi za kisiasa na kiuchumi wanatazamwa hao waliopindishwa mgongo
 
Sehemu gani Russia Kherson inapokea kipigo?wewe mwenyewe umeweka Ramani Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…