Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii helcopter kila siku mnaidungua?? Afu location ni hiihii acheni PROPAGANDA mara ya4 hii naona mnaipost tena.
Huo mfano tuu ili watu waelewe kilicholipuliwa kinafananaje ni mbinu za kiuandishi kwan hujawqh kuona mauaj yanaripotiwa ya kuchnjana alafu picha wanaweka panga kwani lile panga ndilo lilitumika ,kiuhalisia helkopta imelipuliwa hiyo ni mfano wa kitu halis
 
Hakuna SMO hapo ,
 
Hizi drone zimewatoa jasho ndio maana Nato wote wakiongozwa na marekani wanapiga mayowe
Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
 
Kama Kipro (Cypros) inajiunga na Urusi, itatisha sana!
 

Explosion at Russian Factory that makes Warhead Charges for Missiles​

WORLD NEWSDESK 23 OCTOBER 2022 HITS: 2506

There has been a large explosion at a Russian factory which makes charges for missile systems, and for Rocket engines, in the city of Perm, Russia, about 1500km northeast of Ukraine border.
The factory has been working 3 shifts, 24/7, to manufacture charges for GRAD and SMERCH rockets.

According to locals, the Perm Gunpowder Plant, which produces Grad and Smerch weaponry for Russian troops, reportedly went up in flames.

The building also makes engine charges for aircraft missiles, booster systems for cruise missiles and products for the A-135 missile defence system.
According to officials 4 people dead, 4 missing
 
Kwa kifupi US hawezi kufanya hicho unachotamani maana akifanya hivyo ushawishi na nguvu zake hazitokuwepo tena. Coz anatumia ushawishi na nguvu anazozipata kwa kusaidia wengine kupitisha ajenda zake kwenye masuala ya kimataifa pia inakuwarahisi kuwatisha wengine kuwakatia misaada na kuwawekea vikwazo. Unadhani ni kwann leo Tanzania haiwezi kuamka na kuzitishia nchi nyingine kuziwekea vikwazo. Ama unadhani kwanini korea kaskazini pamoja na kiburi chao chote haiziwekei nchi nyingine vikwazo
 
Nyie watu wa West Continues nitaibeba hii DUNIA na kuondoka nayo kusiko julikana....

Mlitulisha sana maneno ya uongo shuleni na kutufanya tuwaone kama Miungu mafala ninyi.....

Acheni mambo ya kiwaki...
Eti mambo ya Bernini Conference/What's the Map.....O level tulipata tabu sana ya haya mambo.......

Kumbe RUSSIA anatuchora tu enzi zile na kutuambia majibu mtayapata ifikapo 2022....kwanini isiitwe US peke yake na wakaamua kuongeza A yaani United States of America...... (USA) kiss ma Di..k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biden.exe not working
 
Designed to bring death, destruction and lamentation to rainbows and their accomplices[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Ila walisema kuna modern air defense system za nato saa hizi wanasingizia kuwa ni soviet era defense system
 
Toka kwenye kutaka kuiteka nchi nzima had majimbo 4 ,alafu bado mnaenyeshwa hamna uhakika wa umiliki ,kherson mda inabebwa we ndiye uko ndoton

Kawambieni nani kwamba jeshi la Urusi lilikuwa na mpango wa kuteka Ukraine nzima!!

Hivi operation ya ku-demilitarize na kuondoa/kuangamiza magenge ya kishetani ya KI-NAZI (Azov) ndio kunakuwa equated kama ulikuwa ni mpango wa kuteka/kalia nchi nzima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…