Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine hali ni mbaya hata akikatiza mwewe watu wanakimbia wanajua ni Kamikaze imekuja kugawa dozi yan ni kama vile watu wamechanganyikiwa

Wameambiwa na wakazi wa Donbass kwamba Zelensky na genge lake wasubiri HIMARS ziwaletee umeme, mafuta,gesi na maji!! Si walikuwa wanajifanya kumtunia misuri Putin na kumzodoa sasa watakula jeuri yao, na bado makubwa yanakuja.
 
Yaan hawa nato propaganda ya silaha zao ni kama ushuzi kwenye upepo. Mara umesikia harufu kali then harufu imetoweka ghafla

Ni shirika la watu wenye magreen tu 24X7, sasa Dunia imekwisha anza kuwazoea - no body takes them seriously anymore - vitendo vyao na maazimio lukuki vinaonyesha kwamba ni ma-paper tigers kazi kuonea military weak banana Republics basi.
 
Mkuu kila sehemu tutachukua lililozuri, kama no baya tutawaachia.
Usitupangie wapi tuegemee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aisee,hii Helicopter ilidunguliwa mwezi February,acheni kuleta habari za zamani. Hili jukwaa sasa limejaa wahuni
Hii chopper ina gundu balaa maana mara nyingi inapigwa yenyewe tu halafu inaonekana huwa ikipigwa inaangukia palepale. Inabidi rubani abadilishe route mwisho watakufa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
As reported by Hohols

Our source in the Office of the President said that the Office of the President has created a unit that operates on the black market for weapons in order to acquire any air defense systems / systems. At Bankova, they want to use the capabilities of Ukrainian smugglers, who have been selling weapons around the world for many years.

[emoji2772] Mh kwani zile walizotuma Collective west zimenda wapi!
 
Mbona mzee mugabe aliwadindishia hao mashoga promoters. Us sio mungu they can bleed too
 
Kuna vikwazo gani vya kumwekea iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…