passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Iran kuna vikwazo gani kwake ni vigeni?Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
Aaah usiinguke sana mkuu sema tu West wanaona zoezi litakuwa gumu mno mno endapo Ruusia atapata Siraha za ziada iwe kwa kununua au kupewa, Wao huwa wanashirikiana kweli pale wanapotaka jambo lao litimie, ikibidi ata kuua.Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
Huu ufala tumeuchoka sasa Ukraine na urusi mbwa nyie hamna habari nyingine? Zaidi hu ufala?mashambulizi makali ya mabomu mapema mwezi huu.
Rais Zelensky alisema kuwa roketi 36 zilirushwa siku ya Jumamosi, na nyingi kati yao zilitunguliwa.
Baadaye, katika hotuba yake, alisema maafisa walifanikiwa kurejesha umeme katika mikoa mingi ya nchi ambapo ulikuwa umekatika kutokana na shambulizi hilo.
Kumekucha
"South Africa ,a white man's country" - habari za asubuhi je umelala fofofo miaka 30 iliyopita?South Africa ,a white man's country huyo Rais ni stooge ,anaropoka asivyovijua .Kwanza South Africa hamtakiwi hata kuicount kuwa African state let alone kumdindia US ,Hana ubavu huo hata siku moja and never will be , hayo mengine ni kuropoka tu kama waropokaji wengine Turkey , China NK walivyo but never will they ever try to mess with Uncle Sam
Yaani hawa makabulu ndio wakumdindia USA , hivi huwa mnawazimu wa wapi kwenye vichwa vyenu .
Hivi unajua Foreign Direct investment ya south Africa inatoka wapi ? , Aisee grow up kids
Maskini Warusi ....USHIRIKIANO WA IRAN NA RUSSIA [emoji91] [emoji91]
[emoji635][emoji1666][emoji1130]Iran to supply 40 gas turbines to Russia
Tehran will supply 40 gas turbines to Russia under the relevant agreement, Managing Director of the Iranian Gas Engineering and Development Company (IGEDC) Reza Noshadi said.
"85% of the equipment and facilities necessary for the functioning of the gas industry are produced on the territory of Iran, for this reason we [Iran] have concluded an agreement with Russia on the supply of 40 Iranian-made gas turbines," Tasnim news agency quoted him as saying.
On October 9, Iranian Oil Minister Javad Oudji said that Russia and Iran had concluded deals in the oil and gas industry worth $44 billion,and his deputy informed that the Russian Federation was going to start developing six oil and two gas fields located on the territory of Iran
These are Iranian gas turbines that will be used for In Russian gas pipes,instead of previous used German ones...
IRAN maskini sana, yes yes
Je tumeingia kwenye msashindano ya matusi machafu? Sawa ota ndoto zako za kubusu (au kubuswa) unapopendelea...Nyie watu wa West Continues nitaibeba hii DUNIA na kuondoka nayo kusiko julikana....
Mlitulisha sana maneno ya uongo shuleni na kutufanya tuwaone kama Miungu mafala ninyi.....
Acheni mambo ya kiwaki...
Eti mambo ya Bernini Conference/What's the Map.....O level tulipata tabu sana ya haya mambo.......
Kumbe RUSSIA anatuchora tu enzi zile na kutuambia majibu mtayapata ifikapo 2022....kwanini isiitwe US peke yake na wakaamua kuongeza A yaani United States of America...... (USA) kiss ma Di..k
Mkuu najua wako watu hapa wanaopenda kudai upuuzi mwingi wakiamini wanaweza kujenga hoja. Sijui wewe u mmoja wao? Je una ushuhuda gani BBC na DW kutangaza Xi alipinduliwa na jeshi? Wapi, tarehe gani, linkl? Ushuhuda tafadhali!Huyu si alipinduliwa na jeshi.
BBC na DW walituambia
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app