Watapinga wenyewe
Mkuu ningekujibu lakini kwa vile umejibu kwa kejeli sitokujibu maana wengine hatujazoea matusii na dharau ambazo hazina faida wala maana! So endelea kuamini Moscow kanufaika na huu uvamizi na USA anapata hasara kwa kuisapo Kiev.Wacha we, any way sio mbaya... Ushaweka utangulizi elekezi kwamba wewe unaona!
Mjitahidi muwe mnazungumza kwa data sio mihemko. Extra-EU crude oil imports came from Russia (29%), huku United States ikiwa (9%), Norway (8%), Saudi Arabia and the United Kingdom (both 7%) as well as Kazakhstan and Nigeria (both 6%). Uanzie hapo kutueleza hizo 95% of 29% ya Russia imekua replaced na nini.
Vile vile A similar analysis shows that over three quarters of the EU's imports of natural gas came from Russia ambayo ni (43%), Norway (21%), Algeria (8%) and Qatar (5%), pia while more than half of solid fossil fuel (mostly coal) imports originated from Russia (54%), followed by the United States (16%) and Australia (14%). Again tena hapo utueleze hizo 95% of 43% ya Natural gas and 95% of 54% ya coal imekua replaced na nini.
Na imekuwa mara kwa mara ikiripotiwa kua Russia's Gazprom imepata faida kubwa "record profit" kila mwezi kutoka EU. Sasa kama ni mauzo ya korosho utufahamishe mjuba kwani kwa mujibu wako 95% ya Oil and Gas trade ya Russia and EU imekufa.
Damn!
So this is how ubongo wako unafanya kazi mmh? Em tueleze anayenunua hizo silaha ni nani? Is it Kiev or ye mwenyewe United Shit State? Do US military complexes make huge profits kutoka kwenye hela za akina nani? Ukrainians au walipa kodi wa US? Coz till now as far as we know "Greatest" sponsor wa Kiyv ni US akiwa ashagharamika billions of Dollars zikiteketezwa na jeshi la Russia.
Sasa kama US kununua silaha US ni kupiga faida hii nayo ni logic ya aina yake!
Ukifungua Hotel, ukaingia gharama kupika kisha ukaita wateja ukawa unawalipia msosi wako wapate kula hio nayo ni akili ya biashara mahsusi kutoka kwa Ulimi wa Upanga.
Another nonsense!
Unajua lengo au dhumuni la kufungulia reserves? Lel me tell you ni ku'lower ongezeko la bei ya mafuta nchini hapo. Ila sio kureplace gap la Russia. Try first kuelewa "Demand and supply" principles kabla ya kuandikia hiki ulicho andika. Na jitahidi sana kufanya analysis kwa number ili uwe na uelewa mpana wa utakachojaribu kuzungumza.
Usichoelewa tukusaidie kukuelewesha ni kua, Russia alikuwa akipeleka Oil around 800k barrer per day huko US. Russia alikuwa ana account about 3% ya Crude Oil Imports anayofanya US so kuzuia imports kutoka Russia ndio kuliko mfanya kufungulia reserves around 1 Million barrels per day kuziingiza sokoni tena hapo hapo kwao (Domestic market) ili ku'calm ongezeko la bei baada ya ku'disrupt supply.
Sasa kama 1Mil inaweza replace 9Mil me sina ubishi huenda ni how your brain works! No objection kuhusu hilo.
We always spend our "reserves" when we have nothing to spend! Utaitumia akiba yako unapokua huna cha kutumia. Umeishiwa pesa mfukoni unaenda kuchota kiji akiba ulichokitunza zamani za kale. Je vipi na akiba ikiisha? Ushawahi waza kuhusu hilo?
Tegemezi how? So at least tumepata mmoja wapo wa Pro West aliyekiri kua Russia sio mchokozi bali anachokozwa kwa Fujo za Uncle Sam kwa Interest zake za kuikamatia Europe iwe upande wake. So ana'create chuki baina ili yeye aendelee kunufaika. As usual divide and rule!
So kupitia kwako we already know anayejifanya kutangaza amani ndio mvunjifu mkubwa wa amani kwa maslahi yake ya kijakudye!
Vile vile umethibitisha kua hana rafiki na yuko tayarai kuwakaanga "allies" wake kwa maslahi yake binafsi.
Eti bila pingamizi [emoji23]
Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?
Hivi matusi haya ni kukosa hoja au ukosefu wa maadili na makuzi mabaya???
Hee! Makubwa haya.Mkuu ningekujibu lakini kwa vile umejibu kwa kejeli sitokujibu maana wengine hatujazoea matusii na dharau ambazo hazina faida wala maana! So endelea kuamini Moscow kanufaika na huu uvamizi na USA anapata hasara kwa kuisapo Kiev.
Uwasilishaji wa hoja unaweza sadifu yaliyojificha ikawa ngumu kupata mdahalo huru! Lakini yote heri maana tumeumbwa tofauti kuna watu wameumbwa kuwasilisha hoja kwa mihemuko au hisia kali bila kutambua kwamba humu jukwaani hututambuani kwa sura na wasifu. Nashukuru mkuu kwa kuwa muungwana kusema " Samahani" hakika hili nimelipenda umepunguza tempa na kuwa mtu wa mawazo huru.Hee! Makubwa haya.
Em nioneshe nilipoandika matusi kwenye maelezo yangu. Ama kusema uzungumze kwa data sio mihemko ni matusi? Ama kusema kua labda hivyo ndivyo your brain works nalo tusi?
Any way hukupost private, ulipost jukwaani si kila anayesoma atakubaliana na kile ulichoandika kua ni sahihi.
Kua criticized ni sehem ya mrejesho wa kile ulichokizungumza ukihisi ni sahihi.
After all kama umejihisi vibaya kwamba nimekutusi, ase sorry bro!
Wacha
Eti bila pingamizi 😂
Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?
👏👏👏👏🤝🤝🙏Wacha we, any way sio mbaya... Ushaweka utangulizi elekezi kwamba wewe unaona!
Mjitahidi muwe mnazungumza kwa data sio mihemko. Extra-EU crude oil imports came from Russia (29%), huku United States ikiwa (9%), Norway (8%), Saudi Arabia and the United Kingdom (both 7%) as well as Kazakhstan and Nigeria (both 6%). Uanzie hapo kutueleza hizo 95% of 29% ya Russia imekua replaced na nini.
Vile vile A similar analysis shows that over three quarters of the EU's imports of natural gas came from Russia ambayo ni (43%), Norway (21%), Algeria (8%) and Qatar (5%), pia while more than half of solid fossil fuel (mostly coal) imports originated from Russia (54%), followed by the United States (16%) and Australia (14%). Again tena hapo utueleze hizo 95% of 43% ya Natural gas and 95% of 54% ya coal imekua replaced na nini.
Na imekuwa mara kwa mara ikiripotiwa kua Russia's Gazprom imepata faida kubwa "record profit" kila mwezi kutoka EU. Sasa kama ni mauzo ya korosho utufahamishe mjuba kwani kwa mujibu wako 95% ya Oil and Gas trade ya Russia and EU imekufa.
Damn!
So this is how ubongo wako unafanya kazi mmh? Em tueleze anayenunua hizo silaha ni nani? Is it Kiev or ye mwenyewe United Shit State? Do US military complexes make huge profits kutoka kwenye hela za akina nani? Ukrainians au walipa kodi wa US? Coz till now as far as we know "Greatest" sponsor wa Kiyv ni US akiwa ashagharamika billions of Dollars zikiteketezwa na jeshi la Russia.
Sasa kama US kununua silaha US ni kupiga faida hii nayo ni logic ya aina yake!
Ukifungua Hotel, ukaingia gharama kupika kisha ukaita wateja ukawa unawalipia msosi wako wapate kula hio nayo ni akili ya biashara mahsusi kutoka kwa Ulimi wa Upanga.
Another nonsense!
Unajua lengo au dhumuni la kufungulia reserves? Lel me tell you ni ku'lower ongezeko la bei ya mafuta nchini hapo. Ila sio kureplace gap la Russia. Try first kuelewa "Demand and supply" principles kabla ya kuandikia hiki ulicho andika. Na jitahidi sana kufanya analysis kwa number ili uwe na uelewa mpana wa utakachojaribu kuzungumza.
Usichoelewa tukusaidie kukuelewesha ni kua, Russia alikuwa akipeleka Oil around 800k barrer per day huko US. Russia alikuwa ana account about 3% ya Crude Oil Imports anayofanya US so kuzuia imports kutoka Russia ndio kuliko mfanya kufungulia reserves around 1 Million barrels per day kuziingiza sokoni tena hapo hapo kwao (Domestic market) ili ku'calm ongezeko la bei baada ya ku'disrupt supply.
Sasa kama 1Mil inaweza replace 9Mil me sina ubishi huenda ni how your brain works! No objection kuhusu hilo.
We always spend our "reserves" when we have nothing to spend! Utaitumia akiba yako unapokua huna cha kutumia. Umeishiwa pesa mfukoni unaenda kuchota kiji akiba ulichokitunza zamani za kale. Je vipi na akiba ikiisha? Ushawahi waza kuhusu hilo?
Tegemezi how? So at least tumepata mmoja wapo wa Pro West aliyekiri kua Russia sio mchokozi bali anachokozwa kwa Fujo za Uncle Sam kwa Interest zake za kuikamatia Europe iwe upande wake. So ana'create chuki baina ili yeye aendelee kunufaika. As usual divide and rule!
So kupitia kwako we already know anayejifanya kutangaza amani ndio mvunjifu mkubwa wa amani kwa maslahi yake ya kijakudye!
Vile vile umethibitisha kua hana rafiki na yuko tayari kuwakaanga "allies" wake kwa maslahi yake binafsi.
Like this, They know Embargo on Russian Energy by EU ni Catastrophe. Itapelekea ku'collapse kwa EU economy lakini since hizo Industries na other companies operating in EU wataelekea kwake Washington. They don't give a f**k na wanazidi kulihimiza hilo kulinda hegemony yao... Why? The weak EU is suitable ama favourable for the existence of "Strong US".
Eti bila pingamizi 😂
Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?
Kikosi cha Ukraine kikiwa chini ya ulinzi kwenye mkoa wa Kherson baada ya kujisalimisha.Hawachoki TU?
Hii kherson imekua chinja chinja[emoji4]
Hii helicopter itakuwa inatabia ya kujfufua yenyewe na kupaa tena maana kila siku inatungulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mujibu wa pro Nato, helicopter nazo zitakuwa na mizimu. Hiki kinachoendelea kupigwa ni mzimu wa hii helicopter
I wanna represent for us😁😁 Watu wa small culture hao.
Yes bro! Wala hakukua, hakuna na hakutakuwa na uzito juu ya kusema hilo neno "samahani" maana halikuwa lengo langu vile ulivyo nitafsiri kwamba nakutusi ama kuku-kejeri.Nashukuru mkuu kwa kuwa muungwana kusema " Samahani" hakika hili nimelipenda umepunguza tempa na kuwa mtu wa mawazo huru.
Naam bro! 😊Qibsyl, sijui nikupongeze vipi mkuu, barakiwa sana sana kwa maelezo yako ya kisomi kabisa - tatizo la walio wengi wetu tunasahau kabisa kuiwekea maanani a saying of the wise, which goes "NO RESEARCH,NO COMMENT" in other words ethics za kwendana na facts and figures wakati member wa JF anapo taka kufafanua/analyse mambo hiyo kwao ni bidhaa adimu kabisa - badala yake wanakuwa overly driven na ushabeki tu, basi.
I hope ufafanuzi wako wa kina wa siku ya leo kuna kitu members watajifunza, hata wale ambao ni wabishi by default watakuelewa - please endelea kutuporomoshea nondo nzito - be blessed Amigo.
Pa1 bro! 🖐️😎👏👏👏👏🤝🤝🙏
Hujawahi kutuangusha sisi Pro Russia.
That's dope bruh.I wanna represent for us
New revolution was up and movin'
I'm in Argentina wiping my tears full of confusion
Water in between us, another peer's been executed
History repeats again
Make amends, then find a nigga with the same skin to do it
Buts that's the culture
Crack a bottle, hard to deal with the pain when you're sober
By tomorrow, we forget the remains, we start over
That's a problem
Our foundation was trained to accept whatever follows
Dehumanized, insensitive
Scrutinize the way we live for you and I
Enemies shook my hand, I can promise I'll meet you
In the land where no equal is your equal never say I ain't told ya
Nah! In the land where hurt people hurt more people f*ck callin' it culture
-Kendrick Lamar-
Wajuvi mtusaidie hii ishu hapa ina faida gani na hasara gani kwa RUSSOThe Russian military has built two lines of defense in the Kursk region.
This was announced by the governor of the region Roman Starovoit.
The third line is planned to be built before November 5.
"We are ready to repel any encroachments on our territory," he said.
Huyu ni King Kendrick LamarThat's dope bruh.
Kuna haja nianzishe darasa la kufundisha watu kuandika humu, mfano neno bihashara sio sahihi ila wew umelirudia mara nyingi sana na ukiandika vilevile hata hushtuki, usahihi wake ni biashara na sio bihashara, mpo wengi sana humu wa type kama yakoWakuu kwenye hii Vita mie naona mpaka sasa aliyenufaika zaidi ni Marekani kuliko Urusi, Ukrein na Ulaya. Ukiangalia ule mpango wa USA wa kuangusha bihashara ya Gesi kati ya Moscow na Ulaya mpaka sasa kafanikiwa kwa zaidi ya 95% na mbaya zaidi mpaka miundombinu ya hiyo bihashara ameiua. Hapa anapiga dolla kupitia LNG yake kwenda Ulaya kwa bei ya juu.
Pili: Bihashara ya Siraha, hapo mjomba anapiga hela kupitia makampuni ya kutengeneza Siraha zinazokwenda Kiev daily na anazidi kuzifanyia promo Kama ile HIMARS.
Tatu: Mjomba anapiga pesa kupitia mafuta anayotoa kwenye reserve yake kwenda kwenye mzunguko kufidia gap iliyoachwa na Moscow
Nne: Pesa yake imezidi kuwa imara Vs Euro na Pound ambazo ndo zilikuwa Currency shindani kwake.
Tano: Amezidi kuwaongezea Utegemezi Ulaya kwake maana kawafanya Wazidi kuwa maadui wa Moscow hivyo Ulaya/NATO kuanzia sasa wataongeza Utegemezi kwake ili wawe salama dhidi ya Moscow.
Sita: Kaongeza mwanya wa kumsogelea Russia kijeshi kuliko mwanzo, maana sasa anaweza kujenga kituo cha kijeshi nchini Ukrein bila pingamizi kwa kisingizio cha kuilinda Kiev kutoka kwa wavamizi.
Hili lakujenga kituo UKRAINE usijidanganye MKUUWakuu kwenye hii Vita mie naona mpaka sasa aliyenufaika zaidi ni Marekani kuliko Urusi, Ukrein na Ulaya. Ukiangalia ule mpango wa USA wa kuangusha bihashara ya Gesi kati ya Moscow na Ulaya mpaka sasa kafanikiwa kwa zaidi ya 95% na mbaya zaidi mpaka miundombinu ya hiyo bihashara ameiua. Hapa anapiga dolla kupitia LNG yake kwenda Ulaya kwa bei ya juu.
Pili: Bihashara ya Siraha, hapo mjomba anapiga hela kupitia makampuni ya kutengeneza Siraha zinazokwenda Kiev daily na anazidi kuzifanyia promo Kama ile HIMARS.
Tatu: Mjomba anapiga pesa kupitia mafuta anayotoa kwenye reserve yake kwenda kwenye mzunguko kufidia gap iliyoachwa na Moscow
Nne: Pesa yake imezidi kuwa imara Vs Euro na Pound ambazo ndo zilikuwa Currency shindani kwake.
Tano: Amezidi kuwaongezea Utegemezi Ulaya kwake maana kawafanya Wazidi kuwa maadui wa Moscow hivyo Ulaya/NATO kuanzia sasa wataongeza Utegemezi kwake ili wawe salama dhidi ya Moscow.
Sita: Kaongeza mwanya wa kumsogelea Russia kijeshi kuliko mwanzo, maana sasa anaweza kujenga kituo cha kijeshi nchini Ukrein bila pingamizi kwa kisingizio cha kuilinda Kiev kutoka kwa wavamizi.
Why the might Russian Army covertly invade the Ukrainian Institute for Nuclear Research and destroy this evil dirty bomb plan?The Russian defense Minister says Ukraine conflict is heading towards an uncontrolled escalation
23 OCTOBER 2022
Russian Defense Minister Sergei Shoigu told his French counterpart in a telephone call on Sunday that the situation in Ukraine was rapidly deteriorating and trending towards "uncontrolled escalation."
In a phone call with French Defense Minister Sebastien Lecornu published by the Russian side, Shoigu said Moscow had concerns Ukraine could use a "dirty bomb" in the conflict, without providing evidence to support the suggestion that Ukraine might use such a weapon.
"They discussed the situation in Ukraine which is rapidly deteriorating," the defense ministry said in a readout of the call. "It is trending towards further uncontrolled escalation."
Today's telephone call with the French Defense Minister comes immediately after similar calls with the US and Turkish Defense Ministers.
Russia is telling all the key parties that the situation is getting very much worse.
According to incoming information, the Kiev regime is preparing a false flag "provocation" on its territory related to the detonation of the so-called "dirty bomb" or low-yield nuclear weapon.
From various sources it became known that under the leadership of Western backers, Kiev has already begun the practical implementation of this plan. The leadership of the Eastern Mining and Processing Plant, located in the city of Zhovti Vody, Dnepropetrovsk region, as well as the Kiev Institute for Nuclear Research, was tasked with making the very "dirty bomb." Work on it is already reported to be at the final stage.
At the same time, on behalf of Volodymyr Zelensky, employees of the Office of the President of Ukraine from his close circle, are conducting covert contacts with representatives of the UK on the issue of a possible transfer of nuclear weapons components to the Kiev authorities.
The calculation of the organizers of the provocation is that if it is successfully implemented, most countries will react extremely harshly to the "nuclear incident" in Ukraine. As a result, Moscow will lose the support of many of its key partners, and the West will again try to raise the issue of depriving Russia of the status of a permanent member of the UN Security Council and increase anti-Russian rhetoric.
The idea itself, seems psychotic to most observers, but such seems to be the level of desperation in Kiev.
So, in the past 2 days, the Russian defense minister Shoigu has called his counterparts in the US, UK, France, and Turkey, and told them all the same message about the “dirty bomb”.
This is a very worrying development indeed.
Bro sina hakika kama hili lina maana nyingine iliyo jificha. Sana sana nitalielezea kimazoea so kama mwingine anaona kuna maana iliyo jificha kwa undani atasema.Wajuvi mtusaidie hii ishu hapa ina faida gani na hasara gani kwa RUSSO
Na imewekwa kwajili gani ama malengo yapi hasa !!?
T14 Armata
Qibsyl
Jesus Mlokozi
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengine woooote