Ndegemakwava
Member
- Jun 23, 2022
- 55
- 119
Nadhani ni mkopo siyo msaada na ndiyo maana hii vita ni ngumu kuisha, maana EU na US hawatakubali kirahisi Urusi ashinde. Mikoa yenye mali nyingi kaibeba, hapo wanawaza hela zao zitarudi VP.Mie nataka kuuliza ama kujua moja tu US silaha kule UKRAINE anauza ama anatoa msaada(mkopo)
Kama sirikali ya KIEV inasema wazi kama haiwezi jiendesha endapo watakosa misaada tokea huko EU
Unahisi US na wenzie hapo KIEV wanauza ama !!!??
Nimecheka sana aisee duuhh! Watu hawataki neutrality. Na ukionesha neutrality, tayari unapewa wewe ni pro Putin.Ni kawaida, Kuna binadamu hawapendi ujitengenezee option C wakati mezani zipo option A na B. Wanataka uchague kati ya A au B na ukichagua C isiyokuwepo mezani hawakuelewi.
Hata humu, ukisema Putin hajafanya sawa kuivamia Ukraine unakuwa pro Nato msapoti mashoga na huna akili na ukisema Urusi ipo sahihi kukataa kuuza nishati yake kwa dola unakuwa Pro putin mvaa kobasi, mpenda madikteta
Vichwa vya baadhi ya watu havitaki kukubali kuwa unaweza kuikosoa NATO huku ukiwa hukubaliani na Putin. Option hiyo haieleweki na haipo. Option zilizopo ni mbili tu, kuisapoti NATO na Ukraine au kumsapoti Urusi.
We baba umeshaambiwa na USA Military Strategist.... HAWAWAZI KUVAMIWANchi ambayo inawaza kuvamiwa ndio huweka defensive lines. Hutokaa usikie Marekani imefanya hivyo maana haijawahi waza kama itavamiwa kwenye ardhi yake. Na sidhani kama kuna nchi dunia hii inawaza kuivamia Marekani kwake. Urusi ina landmass kubwa na ina mipaka ya ardhi mingi. Marekani inahitaji kuelewana na Canada na Mexico kuzuia adui, Urusi inahitaji nchi jirani kibao.
Kwamba Marekani haiwazi kuvamiwa,aisee kwa kweli hii ndio naisikia Sasa hivi.Ila hapa umetupiga changa la macho.
Jibu ni kwamba,Marekani inawaza sana kuvamiwa na Urusi,china,na Korea Kaskazini.
Sidhani kama Kuna nchi duniani inawaza kuivamia Marekani,aisee hauko siriasi kwa kweli.
Urusi iliwahi Hadi kutoa ramani ya maeneo ya kupiga hapo Marekani.
Nchi nyingine zinazowaza kuivamia Marekani ni China na Korea Kaskazini.
Bila kusahau mgogoro wa Cuba.
Kuna baadhi ya watu wapo hivyo mkuu. Hawajui kuwa kuna watu siku zote tunapinga au kusapoti tukio na si wafuasi wa wafanya matukio.Nimecheka sana aisee duuhh! Watu hawataki neutrality. Na ukionesha neutrality, tayari unapewa wewe ni pro Putin.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mt
Mtu yeyote mwenye uelewa akisoma ulichoandika atajua akuweke level gani. Korea Kaskazini inavamia Marekani kwa kutumia mitumbwi au nini?
Hiyo North Korea mnaitumikisha kwa lipi hasa, yani North Korea iivamie Marekani ili iweje? Yani mnaona wamekosa kazi kwa hiyo wataamua siku moja waivamie Marekani. Na wakitaka watatumia nini.
Eti "Urusi iliwahi toa ramani ya maeneo ya kupiga hapo Marekani". Sasa nikae hapa nibishane na mtu asiyejua tofauti ya kuvamia (invasion) na kupiga/kushambulia (strike). Hata jeshi la Burundi linaweza shambulia Marekani, ila haliwezi vamia. Nenda ujifunze kutofautisha kufanya shambulizi na kuvamia nchi kisha ulete ubishi.
Sijui kama data zako ni kweli (nina mashaka..). Lakini kama ni kweli: Si ajabu kwamba watu wa Ukraine wanajitolea vile hadi kufa wakati Warusi wanatafuta kila njia ya kutoroka jinsi tulivyoona foleni mpakani walipotangaza mobilization?OSINT investigators shocked the world by naming the real losses of Ukraine.
The losses of the Armed Forces of Ukraine on October 20 amounted to 402,000 people, of which 387,000 were killed.
Losses among mercenaries and volunteers from Poland, the Baltic States, Romania amounted to 54,000 of them killed 31,240 people.
@wearegruz
kongoleWacha we, any way sio mbaya... Ushaweka utangulizi elekezi kwamba wewe unaona!
Mjitahidi muwe mnazungumza kwa data sio mihemko. Extra-EU crude oil imports came from Russia (29%), huku United States ikiwa (9%), Norway (8%), Saudi Arabia and the United Kingdom (both 7%) as well as Kazakhstan and Nigeria (both 6%). Uanzie hapo kutueleza hizo 95% of 29% ya Russia imekua replaced na nini.
Vile vile A similar analysis shows that over three quarters of the EU's imports of natural gas came from Russia ambayo ni (43%), Norway (21%), Algeria (8%) and Qatar (5%), pia while more than half of solid fossil fuel (mostly coal) imports originated from Russia (54%), followed by the United States (16%) and Australia (14%). Again tena hapo utueleze hizo 95% of 43% ya Natural gas and 95% of 54% ya coal imekua replaced na nini.
Na imekuwa mara kwa mara ikiripotiwa kua Russia's Gazprom imepata faida kubwa "record profit" kila mwezi kutoka EU. Sasa kama ni mauzo ya korosho utufahamishe mjuba kwani kwa mujibu wako 95% ya Oil and Gas trade ya Russia and EU imekufa.
Damn!
Em tueleze anayenunua hizo silaha ni nani? Is it Kiev or ye mwenyewe United Shit State? Do US military complexes make huge profits kutoka kwenye hela za akina nani? Ukrainians au walipa kodi wa US? Coz till now as far as we know "Greatest" sponsor wa Kiyv ni US akiwa ashagharamika billions of Dollars zikiteketezwa na jeshi la Russia.
Sasa kama US kununua silaha US ni kupiga faida hii nayo ni logic ya aina yake!
Ukifungua Hotel, ukaingia gharama kupika kisha ukaita wateja ukawa unawalipia msosi wako kuwachangisha wana familia yako ili wao wateja wapate kula hio nayo ni akili special ya biashara mahsusi kutoka kwa Ulimi wa Upanga.
Another nonsense!
Unajua lengo au dhumuni la kufungulia reserves? Lel me tell you ni ku'lower ongezeko la bei ya mafuta nchini hapo. Ila sio kureplace gap la Russia. Try first kuelewa "Demand and supply" principles kabla ya kuandikia hiki ulicho andika. Na jitahidi sana kufanya analysis kwa number ili uwe na uelewa mpana wa utakachojaribu kuzungumza.
Usichoelewa tukusaidie kukuelewesha ni kua, Russia alikuwa akipeleka Oil around 800k barrer per day huko US. Russia alikuwa ana account about 3% ya Crude Oil Imports anayofanya US so kuzuia imports kutoka Russia ndio kuliko mfanya kufungulia reserves around 1 Million barrels per day kuziingiza sokoni tena hapo hapo kwao (Domestic market) ili ku'calm ongezeko la bei baada ya ku'disrupt supply.
Sasa kama 1Mil inaweza replace 9Mil me sina ubishi huenda ni how your brain works! No objection kuhusu hilo.
We always spend our "reserves" when we have nothing to spend! Utaitumia akiba yako unapokua huna cha kutumia. Umeishiwa pesa mfukoni unaenda kuchota kiji akiba ulichokitunza zamani za kale. Je vipi na akiba ikiisha? Ushawahi waza kuhusu hilo?
Tegemezi how? So at least tumepata mmoja wapo wa Pro West aliyekiri kua Russia sio mchokozi bali anachokozwa kwa Fujo za Uncle Sam kwa Interest zake za kuikamatia Europe iwe upande wake. So ana'create chuki baina ili yeye aendelee kunufaika. As usual divide and rule!
So kupitia kwako we already know anayejifanya kutangaza amani ndio mvunjifu mkubwa wa amani kwa maslahi yake ya kijakudye!
Vile vile umethibitisha kua hana rafiki na yuko tayari kuwakaanga "allies" wake kwa maslahi yake binafsi.
Like this, They know Embargo on Russian Energy by EU ni Catastrophe. Itapelekea ku'collapse kwa EU economy lakini since hizo Industries na other companies operating in EU wataelekea kwake Washington. They don't give a f**k na wanazidi kulihimiza hilo kulinda hegemony yao... Why? The weak EU is suitable ama favourable for the existence of "Strong US".
Eti bila pingamizi 😂
Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?
Hizi line unamaanisha sio vikosi vya ASKARI na vifaa vita ni physical infrastructure pekee? Hapo sijaekewa mi nilidhani line ya kujilinda ni hizo structure pamoja na ASKARI katika mpangilio wa kivitaKursk ni oblast muhimu kwenye ulinzi wa Urusi. Hata kwenye WW2 kulitokea Battle of Kursk na ndio ilikuwa decisive kufanya Ujerumani ibadilishe vita kutoka kuwa offensive na kuwa defensive. Vifo vingi sana vilitokea na silaha za kutosha zilitumika.
Ni kama 150km kutoka mpaka wa Ukraine, kama wanaweka third line of defense sio mbaya maana eneo linazungukwa na mito kadhaa ambayo si rahisi kuvuka riverbanks bila maandalizi yatakayoonekana kwa adui. Kwahiyo labda kwa sura ya nchi ya Urusi, maofisa wa jeshi wanaona ili ufanye sweeping movement sehemu isiyo na vikwazo vya kijiografia kupita ni Kursk. Hizo lines za mwanzo tufanye zishaanguka.
Ukitoka Kursk unakuwa na urahisi wa kufanya pincer movement kuelekea Moscow kama Wajerumani walivyofanya na direction moja ikaelekea Stalingrad. Hapo unaona kama Kurks itaanguka unamkaribisha adui deep within Russia.
Defensive lines hata hivyo zinakwepeka kwa kutumia maamuzi magumu na ya gharama. France ilijenga Maginot Line kwa gharama kubwa kulinda mpaka wake dhidi ya Ujerumani ila Ujerumani ikaivamia Poland ikapita uko kuingia France na pia ikapita misitu ambayo France haikutarajia kabisa. Hata Israel ilivamiwa na Egypt kirahisi baada ya Wamisri kujaza mainjinia wa kijeshi kubomoa defence line hasa ya mchanga pale kwenye bank ya Suez, Wayahudi waliita Bar Lev Line.
Hata hivyo defensive lines hazizuii adui ila zinamchelewesha wakati mnajipanga kukusanya reinforcements na kujiandaa kisaikolojia. Na wakati huo zinamchosha adui, na kama hana assault breachers na mainjinia wa kutosha. Adui akija haraka inavunja sana moyo walinzi.
Nchi ambayo inawaza kuvamiwa ndio huweka defensive lines. Hutokaa usikie Marekani imefanya hivyo maana haijawahi waza kama itavamiwa kwenye ardhi yake. Na sidhani kama kuna nchi dunia hii inawaza kuivamia Marekani kwake. Urusi ina landmass kubwa na ina mipaka ya ardhi mingi. Marekani inahitaji kuelewana na Canada na Mexico kuzuia adui, Urusi inahitaji nchi jirani kibao.
atapataj misaad kwa kujifungia kiev ? Au Putin kwenda Iran ni kuikimbia Moscow ?Ndio maana kuna tetesi kuwa Zelesky kasepa yupo Poland hahahaha....
View attachment 2396633
kwamb Baridi lilipigana vita ?Baridi haijawahi kuwaacha watu salama,wamuulize Hitler.
Kwamb vita inapigana Urusi ? hoja nyingine ni vichaa ndo wataamini , Ukraine na Urusi wanafanana karibu kila kitu na uzuri vita inapiganwa Ukraine sehem ambapo wenyej wanaish kila siku na wamepazoeaHapa lazima zele aombe poo
hawana akili hao eti mweny nchi asumbuliwe na hali ya hewa hlf mgen anufaike nayoFatilia vita ya russia na finland nyakat za baridi uone finland alivyomtandka urusi, unadhan ukraine hawaujui huo ukanda wao yan kwmb urusi kwny huo ukanda ndiye mtaalam wa kupgana kwny mabarafu na barid kali au siyo?