kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1255][emoji123]Tunasema Ukraine watashinda hivi vita full stop. Putin atajutia kuanzisha hivi vita. Mnaoshabikia Urusi mnajisumbua tu. Putin ameamua kutoa watu wake kafara kwa kisingizio we are fighting for our mother land. Motherland unaenda kupigana na bwana mdogo. Bwana mdogo atapewa nguvu na Mungu wa Mbinguni. Soon Putin will go down like other dictators.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier awasili mjini Kyiv anakutana na Zelensky kwa MazungumzoKaka habari ya hapo Moscow? Mikate imeisha kwenye shelves za supermarket? Finland na Sweden tayari wapo Nato?
Bila shaka ni yule mpiga kunyeto😆Daaaaaah Ila comments za humu ukizisoma unabaki hoiiii
Kuna mwamba humu anajinasibu ana data zote za majeshi duniani
Kuanzia idadii ya askari mpaka zana za kivita na ubora wake...
Hahahahahaha yaani mwamba anaijua Korea kaskazini in and out
Hahahahahaha hatariii saaana aiseee
Wabongo mfuniko kwa chaii
Badili Kwanza pempas ulivyovaa ndio uje ku commentWakina abdala wamefunzwa vibaya sana kwamba binadamu ni mwarabu tu. na ndio maana akifa mzungu kwa ni sherehe.
Tena iliyokolezwa sukari first class..... [emoji1787]Daaaaaah Ila comments za humu ukizisoma unabaki hoiiii
Kuna mwamba humu anajinasibu ana data zote za majeshi duniani
Kuanzia idadii ya askari mpaka zana za kivita na ubora wake...
Hahahahahaha yaani mwamba anaijua Korea kaskazini in and out
Hahahahahaha hatariii saaana aiseee
Wabongo mfuniko kwa chaii
Mkuu kama na wewe umeiamini hii basi nato ndani ya nato kuna shidaWakuu hapa taarifa ya Hindustan Times. Waliangalia video zilizotumwa na askari Warusi waliotumwa pori bila vifaa. Nikisikia habari nyingine kuhusu jeshi la Urusi, sishangai!
hindustantimes.com
Russian soldiers 'living in holes they dug with bare hands' in Ukraine: Report
Mallika Soni Published on Oct 23, 2022 02:10 PM IST
Russia-Ukraine War: In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".
Newly mobilised Russian soldiers say they have been "thrown out like dogs" in Ukraine with no information, orders or equipment in video circulating on social media, a report said.
In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".
They said that that did not even know where they were, Telegraph reported.
Explaining the horror of their living situation, the mean said that have to live in holes dug out with their bare hands as temperatures drop to zero at night time.
Two people are so sick they need to be hospitalised, the men said.
"There is no information, no command. We sit like on [tenterhooks], because we do not know where are our own [and] where are the enemy. No radio, no cartridges, no s***," one says in the video.
"No shovel, nothing with us... We live just in the field... They bring some food, literally two times a day. We burn fires, chop trees, dig," another one says in the video.
The video comes at a time when it has been widely reported that Russian men in Ukraine following Putin's mobilisation call have been sent without any training.
Nahisi umemuelewa.Kuna haja nianzishe darasa la kufundisha watu kuandika humu, mfano neno bihashara sio sahihi ila wew umelirudia mara nyingi sana na ukiandika vilevile hata hushtuki, usahihi wake ni biashara na sio bihashara, mpo wengi sana humu wa type kama yako
Ficha upumbavu wakoBadili Kwanza pempas ulivyovaa ndio uje ku comment View attachment 2397218
Stop dreaming?yaani Mungu awape ushindi wasapoti ushoga?wauaji?Tunasema Ukraine watashinda hivi vita full stop. Putin atajutia kuanzisha hivi vita. Mnaoshabikia Urusi mnajisumbua tu. Putin ameamua kutoa watu wake kafara kwa kisingizio we are fighting for our mother land.
Motherland unaenda kupigana na bwana mdogo. Bwana mdogo atapewa nguvu na Mungu wa Mbinguni. Soon Putin will go down like other dictators.
Wameishiwa chakula wakaja kuomba kwako?Kwan uongooo
hapo ndipo mashoga wamefikaStop dreaming?yaani Mungu awape ushindi wasapoti ushoga?wauaji?
Wamechoka had askar wanajinunulia vifaa aibu kwelWameishiwa chakula wakaja kuomba kwako?
We ndiye akili azijakaa sawa wewe ile mikoa rasilimali zilizopo unalinganisha na hayo majengo,hayo majengo yatalisha ukraine embu acha kutumia fuvuDah!
Nilikua na mashaka na akili za Zelensky,Sasa nimeamini kweli huenda huyu jamaa hayuko sawa kichwani.
Hivi haoni nchi yake jinsi inavyoharibika?
Nchi watu wamekimbia,
Miundombinu inaharibiwa,
Majengo yanaharibiwa,
Uchumi unaharibika,
Nchi inajua na madeni,
Nchi imemegwa na Kila aina ya uharibifu.
Yeye bado anafanya propaganda kua anaharibi jeshi la Urusi.
"...State funded TV"hapo ndipo mashoga wamefika
View attachment 2397232
The slow decline of civilization continued last week as Britain’s Channel 4 broadcast an avant-garde transgender musical number that ended with full frontal nudity, direct insults at the almighty, and a piano in desperate need of a clean.