Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super pawer wa mchongo kapokea kipigo Cha mbwa Koko..,Sasa kahamishia hasira zake kwenye miundombinu ya kiraia [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Drone zinawakaanga warusi frontline tazama video wanakuda kama wana mdondo

Pro Russia hapa jukwaani wajanja kweli.., Ukraine akitembeza kichapo huko front line wanakuwa kama hawaoni vile [emoji1787]

Hapo Wanakazana kuleta habari za uchumi.., diplomasia na mambo mengine..huko front line wanapasahau kabisa, maana panakuwa pa moto[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer wa mchongo anazidi kutembezewa kichapo.., shauri yako..., epereshen ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ni Shabiki tu Wa Ukraine na nimekufatilia sana , In short unachangamsha tu jukwaa , lakini kinachoendelea trust me hukifahamu , unachokishuhudia kwenye Social media Na Info sources ni kile ambacho kimeruhusiwa ukione with some fake evidence's.
Hii vita ni zaidi ya kurushiana Makombola na kuyapangua, kama unauwezo wa kuchanganua mambo utaelewa ninachomaanisha.

Simuungi mkono wa kile Putin anachokifanya na simkubali Zele pia ameiharibu ile nchi na haitokuja kurudi kwenye hali yake kwa miaka mingi hata ashinde vita , The good move kama angekuwa na akili ni kuhakikisha anaishi kwa akili sana na kujiepusha na Vita , yaani nikimaanisha alitakiwa kuwaweka Urusi na NATO kwenye Zone ya kunufaika pande zote pasipo kuonyesha mahaba upande mmoja.

Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaependa kuiingiza nchi katika vita hasa kwa karne hii , ukiona mtu kaanzisha vita jua kaguswa kwenye mshono na hana namna zaidi ku retaliate.

Moja ya kauli kutoka kwa Jasusi mbobezi Harold Wallace kabla ya kupigwa Shaba kauli yake ilisema hivi
"Then we promote both Sides of the issue as confusion Reigns,with their eyes fixed on the issues ,they fail to see who is behind every Scene" .
 
[emoji298]️Ukrainian foreign minister, US secretary of state discuss Russia’s nuclear blackmail.

Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba and U.S. Secretary of State Antony Blinken also talked about security assistance for Ukraine, deliveries of air defense systems, and ammunition.

“The secretary reaffirmed enduring U.S. support for Ukraine in the face of continued Russian aggression, atrocities, and rhetoric surrounding so-called 'dirty bombs' in Ukraine,” the U.S. Department of State wrote.
 
Ila kwa kichapo anachopewa Supapawa acheni tu atishie kutumia nyuklia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Last night the Armed Forces of Ukraine destroyed a base of the so-called ‘Kadyrov’s men’, who had evacuated to the left bank of the Dnieper in the Kherson region.

The relevant statement was made by Kherson Regional Council Member Serhii Khlan on Facebook, an Ukrinform correspondent reports.

“The Kadyrovites moved to the left bank and could not help but take selfies and post them. Last night their base was destroyed by the Armed Forces of Ukraine,” Khlan wrote.

In a commentary to Freedom TV channel, Khlan explained that the Kadyrovites had moved to the left bank of the Dnieper from Kherson, accommodated in one of buildings and started to take selfies and post them on the social media.

“Thanks to TikTok, they disclosed their location on their own. Our forces had only to engage a target,” Khlan added.

Reportedly, about 40 Kadyrovites were killed and 60 seriously injured.

A reminder that the Armed Forces of Ukraine have liberated more than 90 settlements from Russian invaders in the Kherson region. Stabilization measures are now underway within the de-occupied areas.
 
Wajanja wanazidi kujaza mzigo tu huku super pawer wa mchongo akizidi kuhema mithiri ya mbwa aliyeko mawindoni[emoji1787][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbinyo unaendelea[emoji23][emoji23][emoji23]

The Armed Forces of #Ukraine destroyed the #TiKTok headquarters of the Kadyrovites near #Kherson: 40 dead and about 60 wounded.1/2

They filmed their videos in the occupied #Kherson region, which leaked their location.

 
Hio Ni Front Cover ya magazine ya huko Germany,Huyo kibonzo ni Bwn. Zele akiwa amepanua mdomo akiomba Pesa, Makombora,Vifaru,Bunduki etc na hayo maneno hapo mbele Maana yake Ni ETERNAL APPETITE.



[emoji1]
 

Attachments

  • Screenshot_20221025-143303.jpg
    129.5 KB · Views: 22
Hii habari niliisoma kwenye ukurasa wao wa Facebook..,hapa pro Russia watapita kama hawaoni vile [emoji1787][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
AKILI INARUDI
A bold thought from the Prime Minister of Norway: “There is nothing good in isolating Russia. It is alarming that today we have so few contacts and direct communication with Russia.”
 
Video: Overnight Russian missile attack leaves Ukrainians in wreckage and uncertainty

Following two overnight Russian missile attacks in Mykolaiv, Ukraine, residents deal with the ensuing wreckage and uncertainty.

Sijui kama umeelewa content ya hiki ulichokipost..,hii lugha ya mfalme ni hatari

Nawashukuru wazazi wangu kwa kuzichangachanga japo kidogo na kuniwezesha nipate uwezo wa kuelewa mambo simple kama haya [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nilikuwa off net kwa simu mbili tatu hivi, any update? jamaa bado ana Kamikaze zake au ?
Kwa ufupi ni Kwamba warusi wa buza wamebaki kushangilia mgao wa umeme huko Ukraine huku vijana wakakamavu wa rais zelensiky wakizid kusonga mbele na kukomboa maeneo Yao.., angalia updates za front line hapahapa jukwaani,news zipo Jinsi vijana wa zelensiky wanavyotembeza kichapo kwa super pawer wa mchongo [emoji91][emoji1255][emoji123]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…