Ha ha nimependa ulivyo bandua hiyo minofu "between the lines" [emoji1][emoji1]...FIXED
Someone tag a pro-NATO
Akina kipanya kp, vunjo, fuso, mtarimbo na wenzao humu inawahusu hii....FIXED
Someone tag a pro-NATO
[emoji1130][emoji298]️President of Iran Ibrahim Raisi said that the construction of a multipolar world cannot be stopped.Protesters in Haiti wakiwa na bendera za Urusi. Hawa waandamanaji wanapinga "Intervention" ya US na jopo lake nchini mwao.
View attachment 2398199View attachment 2398200
Earlier, US na kundi wame'propose intervention in Hait kuendeleza "democracy" yao pendwa ya mtutu na wizi [emoji1787].
Same old "cheap shit" trick... Weka kibaraka wako in power then toa order kwa kibaraka kuomba hiki na kile.
Kwa wale wote wanao sota na huu mfumo uliopo ndio wenye mapenzi makubwa kwa Taifa la Urusi.
View attachment 2398203
We stand with Russia... [emoji635]
We stand with Haiti... [emoji1122]
We stand with all Oppressed Nations and Races whole over the world.
TheTruthIsWithUs [emoji2772]
naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.Sijui uelewa wako wa masuala ya vita ni wa kiwango gani - sina uhakika hata kama ulisha wahi hata kupitia jeshini, sikusemi vibaya lakini reading between the lines hilo linaonekana wazi wazi.
Hivi inaingia akilini kwamba jiji lenye wakazi zaidi ya 4mln (million nne) linaweza kutekwa na kukaliwa na wanajeshi 1,200 wa Urusi? Come on. Wajuzi wa mambo ya kijeshi Dunia nzima including US military top brass wanasema wazi wazi, kwamba kikosi cha jeshi Urusi kilicho pelekwa huko Kyiv/Kiev lengo lake lilikuwa ni kuchota akili jeshi la Zelensky ili lihamishe idadi kubwa ya wanajeshi wake kutoka kusini mashariki mwa Ukraine ie majimbo ya Donbass na Luhansk kwa kuyaleta Kiev kuimarisha ulizi wa jiji la Kiev, hence wakajikuta wanadhoofisha ulinzi wa kusini mashariki mwa Ukraine bila ya kushituka kwamba huo ulikuwa ni mtego wa kuwapunguza makali baada ya kuwekewa DECOY jijini Kiev, jeshi la Zelensky na washauri wake wakaingia kichwa kichwa kwenyev mtego - naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.
Lengo kuu la Putin lilikuwa ni kuwakomboa Waukraine wenye asili ya Urusi wanao ishi kusini mashariki mwa Ukraine na ndio majimbo yanayo taka kujiunga na Urusi baada ya kuchoshwa mauuji, mateso na unyanyasaji na ubaguzi wa Utawala wa Zelensky kwenye majimbo hayo -raia zaidi ya 14,000 wamekwisha poteza maisha kutokana na kushambuliwa na majeshi katiri ya Zelensky, ndio maana wakazi wa kusini wamehamua wapige kura ya kutaka majimbo yao yawe sehemu ya Taifa la Urusi ili kujihakikishia usalama na amani ya kudumu - who can blame Putin kwa kutaka kuwalinda Warusi wenzake wanao teswa na kubaguliwa na regime ya Kiev - NANI??
Msiwe mna mlahumu lahumu Putin/Russia bila ya kufanya bila ya kutafuta historia ya kweli inayo eleza kiundani kiini cha mgogoro huu wa Ukraine, je, ni nani anachochea/instigate and funding kuendelea kutokuwepo maelewano na amani kati ya Ukraine na Urusi, ni third party gani inanufahika kutokana na mgogoro huo wa ndugu kugombana/kutokuelewana maana Ukraine na Urusi ni kama ndugu tu.
Tubonyeze ngapi tafadhari kupata hiki kichekesho [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2]naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.
Leo hapa muda huu DW wanasema kwakuwanukuu viongozi wa UKRAINE kwamba huenda majeshi ya UKRAINE yakawa yanazungukwa na majeshi ya RUSSIA huko KHERSON
MAURIOPOL mpya ileeee.....
Wamlaumu aliwatuma kulipua darajaMgao wa umeme huko Ukraine ndio kete mliyo Baki nayo[emoji16][emoji16]
Uzuri ni kwamba vijana wa zelensiky Wala hawasikii kelele za chura,ni mwendo wa kichapo tu [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jeshi la Ukraine linawaweka mateka askari wa super pawer wa mchongo [emoji12][emoji2]
Naona wao hawana muda wa kumlaumu.., maana ndo kwanza wanazidi kutembeza kichapo kikali kwa super pawer wa mchongo..., ukraine anazidi kusonga mbele maeneo yoteWamlaumu aliwatuma kulipua daraja
Ngojea wale wapinga uvamizi tuwasikilize watasemaje wakina Yoda na wale wasioegemea upande wakina TshProtesters in Haiti wakiwa na bendera za Urusi. Hawa waandamanaji wanapinga "Intervention" ya US na jopo lake nchini mwao.
View attachment 2398199View attachment 2398200
Earlier, US na kundi wame'propose intervention in Hait kuendeleza "democracy" yao pendwa ya mtutu na wizi [emoji1787].
Same old "cheap shit" trick... Weka kibaraka wako in power then toa order kwa kibaraka kuomba hiki na kile.
Kwa wale wote wanao sota na huu mfumo uliopo ndio wenye mapenzi makubwa kwa Taifa la Urusi.
View attachment 2398203
We stand with Russia... [emoji635]
We stand with Haiti... [emoji1122]
We stand with all Oppressed Nations and Races whole over the world.
TheTruthIsWithUs [emoji2772]
PUT IN aliishasema haiwezekani kuitenga RUSSIANetherlands has exempted 91 companies from anti-Russian sanctions.
Govt refused to make public the names of companies and sectors that were granted exemptions, saying this was confidential information.