Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Bro hakuna mahali nimesema kwamba Ujerumani au Europe hawatakwenda kununua Gas Russia nilichosema ni kwamba hawataiamini tena Urusi kama Mshirika wao Mkuu kwenye nishati ndio maana sasa hivi wanafanya kila mbinu ikiwemo kuongeza LNG terminals,kuingia mikataba na baadhi ya nchi ili kupata nishati,kuendeleza project za Gas kama kule Algeria kuna bomba la Gas linaelekea Ulaya,Israel juzi hapa kawekeana mkataba na Lebanon ili waanze kuvuna gas ambapo soko lake kuu itakua ni Europe. Hivyo usitegemee kama Europe watakua tena tegemezi Kwa Gas ya Russia kama ilivyokua kabla ya Vita,kabla ya Vita Biashara ya Nishati (mafuta,Gas,Coal,nk)Kati ya Russia na Europe ilikua na thamani zaidi ya Dola bilioni 300 Kwa mwaka ambapo Gas ilikua 155 bcm na sasa hicho kiwango kimeshashuka karibu robo tatu. Nchi kama Marekani Kwasasa imeongeza share kwenye soko la Gas Europe karibu mara tatu ya ilivyokua awali na mpaka kufikia 2025 inatarajiwa kuongezeka zaidi.Mnacho sahau ni kwamba Viwanda vya Ujerumani vinategemea sana sana gesi ya bei nafuu inayo toka Urusi hasikudanganye mtu, hapa wanasiasa wa Ujerumani wanajifanya kuwa bega kwa bega na siasa za nje za Merikani ambazo mwisho wa siku zinakuja kuizirotesha kiuchumi Ujerumani, wanajuzi wa mambo wanasema Amerika inacho fanya nyuma ya pazia ni kutaka kuhamisha viwanda vya Ulaya kinyemela kwenda Merikani, si maanishi kufungua mashine na kuzihamishia Amerika nina maana viwanda vingi huko Ulaya vitafungwa kutokana na nishati ya kiendesha kuwa ghali mno kuvifanya viwanda vijiendeshe kwa hasara - hivyo mataifa ya Ulaya yatalazimika kununua majitaji yao muhimu kutoka Merikani, huku Merikani ikiuzia nchi za Ulaya gesi mara tano ya bei ya soko kwa ajili ya matumizi ya nyumbani heating/cooking.
Huo ndio ukweli, haya mambo ya msemaji wa Serikali ya Ujerumani kwamba hata siku moja hawatakwenda kununua gesi kutoka Urusi, hiyo ni danganya toto tu lakini mwisho wa siku wamiliki wa viwanda nchini Ujerumani ndio wanatoa ajila kwa vijana na kukuza Uchumi hawatakubali viwanda vyao vifungwe kwa ajili ya kufurahisha Serikali ya Kimerikani na chuki zake dhidi ya Urusi, Wajerumani watakimbilia barabarani kuaandamana kwa kumshinikiza Kansela wa Ujerumani kujiuzuru na kishinikiza kwamba Ujerumani hijiondoe kwenye ushirika wa NATO - na nchi nyingi za Ulaya zitafuata mkumbo ya Ujerumani wa kutaka kurudosha uhusiano mzuri na Russia after all Russia ni sehemu ya bara la Ulaya unlike the USA. Hicho ndicho nakiona mimi, sio lazima niwe sahihi.
We we unacanganyikiwa hivi unajua jua hats jiji LA kupyansky huko Kharkov limesharudiwa na urusi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi chai hua unatoa wapi. Ukraine ilishakomboa 98% ya Kharkiv imebaki kama 2% ndo wanakopigana mpaka sasa na Russia anakong'otwa kama paka aliyeiba mboga
#Ukraine: A Russian PTS-2 tracked amphibious transport and a KamAZ-5350 with EOV-3523 excavator were captured by the Ukrainian army in #Kharkiv Oblast.
According to the Ukrainian media, the delivery (flight) of the Ukrainian radiological bomb was planned from the border of Belarus. Its destruction is planned over the Chernobyl zone in order to minimize the negative consequences. Zelensky will blame Russia and Belarus for its use
Nuremberg charter laws will be unleashed against all perpetrators of war crimes in Ukraine ,no matter where they hide and burry themselves into .
So that means wako behind those protesters, na yale madai kua hao protesters wanalipwa ni kweli?White House press secretary Karine Jean-Pierre threw in a new temnik: the US is concerned that Russia is now helping Tehran to cope with the protests that have gripped Iran after the death of Mahsa Ameni,
"We are concerned that Moscow may (sic!) advise Tehran on best practices [of dealing with protests]"
Wabaki humo humo kheson wote tuwakaange,Kama mbwai mbwai tu.View attachment 2398934
Karibu sana mkuu tuendeleze marumbano ya hoja[emoji106][emoji106][emoji123][emoji123]Nimerudi kwa nguvu mpya kuwanyoosha nyie waseng€ warusi wa Kwa mpalange ,nyie ngedere mliokuwa mnabisha kuhusiana na war crimes za Putin na genge lake mpitie hapa , na hii full coverage documentary ya Frontline PBS imetoka leo .
Kuna siku hapa niliandika kuhusiana na war crimes alizofanya Putin mkawa mnabisha ,Putin is a war criminal .
Na uzuri hapa wamefafanua kila kilichoandikwa siku ile
Kama chanzo chako cha habari ni BBC na unakiri kuwa inajitahid kutoa taarifa vema, bhasi juw ya kwamba unasafari ndefu saana kuielewa hii vita.Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia