Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
.Super power mandonga anafundishwa kutumia drone
View attachment 2399070
safi sana kaka, wengi humu hawajui kwamba US ni balaa kwa mara 100 ya Mrusi - ana vinu vya nyuklia karibu kila pahala Duniani.Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali
Wewe si juzi hapa ulileta habari toka DW ukawa unasema Ukraine anazungukwa huko Kherson kwamba itakua Mariupol 2,tena uliileta Kwa bashasha zote. Kwahiyo habari ikikufurahisha toka kwenye hivyo vyombo vya west unavyoviita vya uongo sio propaganda lakini isipokufurahisha inageuka propaganda,si ndio?!MKUU hata usiende RT au RIA NOVOSTI nk nk
Ila kama unapata habari toka biibiisii unadanganywa haswaa kuhusiana na hii SMO inayoendelea
Yaani ukweli 5% uliobakia huo wooote unakua uongo
Biibiisii hawa waliosema kama RUSSIA imeishiwa na silaha tokea mwezi march biibiisii hawa walosema RUSSIA imeishiwa chakula tokea FEB
Biibiisii hawa walosema kama RUSSIA wamatumia vifaa vya oven cjui washing mashine
Biibiisii sio wakuwaamini MKUU bora uniamini mie naweza kukupa habari zaukweli nauhakikaaa
Mark you, Russia possses one of the best and sophisticated Air force in World,ground breaking artillary,lightening fast missiles with devasteting effects, thermo baric MRL and what have you!!
Bottom line is: msiwe mnazungumza mambo kimzaa mzaa au kufikiria Urusi ni some Banana Republics, kumbukeni kwamba Putin haja amuha tu kukunjua makucha yake in full - siku akisema enough is enough basi atachukua hatua zaidi naku Annex Ukraine nzima nzima na kuirudisha kuwa himaya ya Urusi kama zamani atalazimika kuchukua hatua hiyo ili kuondoa mzizi wa fitina i.e solving USA instigated Ukraine endemic problems once and for all -who can blame PUTIN?? Na wala sioni kama NATO/US watakuwa na ubavu wa kuifanya lolote Urusi/Putin zaidi ya kuiitisha vikao vya dhalula katika umoja wa mataifa kama kawaida ya USA, wataendeleza vile vile makongamano yao lukuki na maazimio ya kumulahumu Putin 24X7, basi.
Marekani hana haja ya kutumia base zake kuishambulia Urusi maana ana Makombora mazuri tu ya kuishambulia Urusi na kuifuta kabisa Kwenye uso wa Dunia na Urusi analifahamu hili pamoja na uchizi wake wote.safi sana kaka, wengi humu hawajui kwamba US ni balaa kwa mara 100 ya Mrusi - ana vinu vya nyuklia karibu kila pahala Duniani.
US ana mililtary base karibia 800 duniani kote - hapa ndipo unatakiwa kujua US si wa kubezea Putin anaijua hiyo !!
Despite recently closing hundreds of bases in Iraq and Afghanistan, the United States still maintains nearly 800 military bases in more than 70 countries and territories abroad—from giant “Little Americas” to small radar facilities. Britain, France and Russia, by contrast, have about 30 foreign bases combined.
Super power mandonga anafundishwa kutumia drone
Putin ana vita vya ki longi time sana, eti unaharibu miundo mbinu ili watu wahangaike na baridi, hapo ndipo Dunia inamshangaa huyu dingi kwa kukosa busara.[emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia anawanyoosha kwa baridi kali bila gas Latvia wananchi wameanza kupita na bench zote vituoni vya abiria kwa ajili ya Kuni
A shocking crime occurred in Latvia.
Criminals ruined 15 benches at bus stops.
69 wooden slats were simply cut down for firewood (!), the locals are sure.
Preliminary damage — 1157 euros.
Law enforcement officers have launched an investigation and search for a strategic energy reserve.
View attachment 2399094View attachment 2399095View attachment 2399096
Safari hii wazungu wamekuwa wajinga sana. Dunia ina viongozi dhaifu na wabinafsi. Biden anawajibu wa kufanyaMiili ya wanajeshi wa Ukraine ikirudishwa baada ya kushindwa counteroffensive View attachment 2398853
Duu Summy mpakani na Russia naona wanai nia ya kuichapa Kharkiv kisawasawaDrone za iran leo zilipiga mji wa sumy huko kiev leo
Biden ni war mongerSafari hii wazungu wamekuwa wajinga sana. Dunia ina viongozi dhaifu na wabinafsi. Biden anawajibu wa kufanya
Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji12][emoji2][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Ardhi inarudi tu sijui zile mbwembwe za Referendums zimeishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#BREAKING: Nevske in the Luhansk region has been liberated by the Ukrainian Army.
#Ukraine
#ukrainecounteroffensive #UkraineRussianWar #UkraineInvasion #UkrainianArmy #Internationalleaks #Russia #RussiaUkraineWar #Russian
Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali