Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapo
 
Inabid ukapimwe akili si bure nyie ndio kina doctor shika mnaongea habari za kusadikika eti mwanasayansi

Please revisit my comments kuna mambo nime-rectify - hakuna cha "eti "- I am a propely trained scientists, take it or leave it up2U and I don't care - lakini kumbuka kuna baadhi ya members watafaidika nufahika na baadhi ya ufafanuzi wangu kwa masuala fulani kama ninavyo faidika na mchango wa members wenzangu kwenye masuala ambayo siyaelewi vizuri.
 
ww chanzo chako ni kipi mzee baba maana naona ww ndio walewale
Wale wale kwenye lip? Mbona hakuna nililochangia.

Kifupi ni bora usikilize Rt au hata Cnn au uje JF upate habari kuliko kusikiliza BBC( hawa wanapropanga nyingi na za uongo) VOA( hawa hata habari za vita hawasemi kabisa labda biden akitak toa msaada), radio france [emoji1] nooh labda fuatilia mwenyewe mitandaon mfano huko twitter kuna thread za moja kwa moja nk
 
Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapo

Tatizo kubwa la baadhi ya members linatokana na elimu na upeo wao mdogo wa masuala ya sayansi lakini cha ajabu ni wabishi kama nini??
 
bro pumzika sasa
 
Kweli,hivi mara hii umekwisha sahau mwanasayansi Elon Musk katadhalisha nini kuhusu masuala ya uwezo wa Urusi kwenye masuala ya thermonuclear weapons na matumizi yake, kumbuka Elon ni Mmerikani mwenzao, sasa sisi ni nani kumbishia mwana sayansi aliye bobea kwenye masuala ya sayansi ikiwemo nuclear science na delivery systems za thermonuclear payloads - onyo la Elon Musk si la kupuuzia hata kidogo, anajua vizuri alisemalo.
 
Kaka haya maarifa ulitakuwa ulipwe ndio uyatoe, sasa humu utaambulia kejeli kutoka kwa wajinga na wapumbavu ambao hawajui lolote zaidi ya movies za Hollywood
 
Nimeona hapa BBC Ukraine wanasingizia Hali ya hewa inawazuia wasifanye lolote Kherson wanasingizia pia kwamba warusi wanaongeza wanajeshi Kherson alafu pia kuna mji unaitw sijui bakhmut warusi wanaenda kuuchukua.
Mzee Mrusi anapokea kichapo kitakatifu kule Bakhmut na Avdiivka muda huu.
 
Tunataka mtupatie majibu, hivi bado ni military operations huko Ukraine ama tayari ni War tayari ?
Kwanini unataka majibu?!?! This is ridiculous....wewe ni nani hasa unayewalazimisha watu wakupe majibu?!?!Who are you?! Hili jukwaa kwa kweli limepoteza maana ya kuwa na watu wa aina hii.

You people you are behaving as if hii ni tribunal of some sort na nyie ndio prosecutors au members of the tribunal
 
Tunasubiri kwa hamu kujua nini unataka kusema ? kukubali yeishe haijawahi kuwa dhambi kwa mwanadamu.

Putin set to give annual speech​

Vladimir Putin is set to deliver his annual address to a Moscow-based think-tank as the war in Ukraine escalates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…