kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Bila shaka jamaa ataendelea na zile ngonjera zake kwamba US wanakwamisha mazungumzo ya kumaliza vita..,Hana jipya huyo,Tunasubiri kwa hamu kujua nini unataka kusema ? kukubali yeishe haijawahi kuwa dhambi kwa mwanadamu.
View attachment 2399521
Putin set to give annual speech
Vladimir Putin is set to deliver his annual address to a Moscow-based think-tank as the war in Ukraine escalates.
Yes, Mzee Putin kwa siku za hivi karibuni amegeuka kuwa mzee wa kulia lia wakati mambo aliyataka mwenyewe.Bila shaka jamaa ataendelea na zile ngonjera zake kwamba US wanakwamisha Ymazungumzo ya kumaliza vita..,Hana jipya huyo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
To your disappointment the opposite is the truthMzee Mrusi anapokea kichapo kitakatifu kule Bakhmut na Avdiivka muda huu.
Losi kubwa wakati Marekani alipoteza zaidi ya ndege 5000.Loss kubwa kuliko aliyoipata USA kwa miaka 17 aliyokaa Vietnam
Bakhmut gani iyo unayosema kuwa Urusi anachezea kichapo.kule wapo (Wagner group) na wanazidi kusonga mbeleMzee Mrusi anapokea kichapo kitakatifu kule Bakhmut na Avdiivka muda huu.
Sijajua wanazungumzia loss gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Losi kubwa wakati Marekani alipoteza zaidi ya ndege 5000.
Tena umewapunguzia hapo.walipoteza zaidi ya ndege 8000Losi kubwa wakati Marekani alipoteza zaidi ya ndege 5000.
Ni kweli Urusi kaachwa mbali lkn hao unaowaabudu wanamuogopa na hata Wewe unaringa hapo ulipo kwa ulinzi wa silaha za urusi zilizojaa kwenye nchi yako unakula,kunywa na kunya bila shida na 9 desemba unawahi siti ya mbele kuangalia silaha za Urusi na ndege zake huku ukikenua na kumwambia mwanao asome aje aendeshe Mig 21 inayokuungurumisha mpaka mapafu.Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali
Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hap
Sasa kwan hilQNina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapo
Za bei cheeNi kweli Urusi kaachwa mbali lkn hao unaowaabudu wanamuogopa na hata Wewe unaringa hapo ulipo kwa ulinzi wa silaha za urusi zilizojaa kwenye nchi yako unakula,kunywa na kunya bila shida na 9 desemba unawahi siti ya mbele kuangalia silaha za Urusi na ndege zake huku ukikenua na kumwambia mwanao asome aje aendeshe Mig 21 inayokuungurumisha mpaka mapafu.
Mtanena kwa lugha zoteLosi kubwa wakati Marekani alipoteza zaidi ya ndege 5000.
Mtanena kwa lugha zoteLosi kubwa wakati Marekani alipoteza zaidi ya ndege 5000.
Duh Sergey Haidai ni gavana pro Ukraine. Yupo jimboni tokA siku ya kwanza ya mgogoro huu .Inapendeza sana ,Tena gavana mwenyewe aliyewekwa na Russia huko luhansik ndiye kathibitisha kipigo hiki[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nikwambie kitu,kwenye JF members walijiunga kwa ajili ya kubadirishana mawazo na kujifunza vitu ambavyo walikuwa ni vigeni kwao hata mimi nimejifunza mengi kutoka kwa individual members ambao ni level headed and knowledgeable hawazodoi watu,kutumia lugha za vijiweni au kuwatukana members wenzao wanapo tofautiana kwenye maoni, hawana hata manners za ku-agree to disagree without offending anyone - shida tupu waswahili ill mannered.
Kuna mambo mengine huwa hatutaki kusayema sema - mfano: Mimi ni mwana sayansi ninesomea vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi ambayo nyinyi ambayo baadhi yenu mnayachukulia kana kwamba ni Miungu wadogo wa hapa Duniani na mgetegemea labda mimi ndiye ningukuwa shabeki na muhusudu mataifa ya magharibi kama kulipa fadhila, lakini kwa bahati mbaya au nzuri mimi siko hivyo, sifuati upepo kama bendera au kufuata mkumbo kutokana na propaganda za MSM designed ku-brain wash watu,na wamefanikiwa sana katika crusade yao ya kuwachota watu akili, kuna mambo mengine watu wanazungumza mpaka mtu unabaki unaduwaa unashindwa to see any logic behid ya ufafanuzi wa muhusika.
Wana sayansi ethics zao ni ku-stick kwenye masuala ya facts na figures sio mambo ya kubuni buni tu, kama nilivyo sema tangu mwanzo ukiwasikiliza baadhi ya members welewa wa mambo utajifunza mengi - mfano nilikuuliza kwamba,je, umewahi kusikia neno la black hole kuhusu baadhi ya submarine za Urusi - nikaongezea kwamba jina hilo lilibuniwa na Wamerika wenyewe baada ya kugundua kwamba kuna baadhi ya Russian Subs ambazo ni ngumu kuzi detect zukiwa under water - sisi ni nani kuwabishia wana marine scientists wa Kimerikani, nilitegemea ungejaribu walao kupitia clue yangu hiyo ili ijifunze kitu lakini wapi bwana umekuja na ubishi wako kwa mara nyingine tena kwamba haiwezekani Amerika haishindwi kitu hakuna submarine yoyote inaweza kukatisha American territorial waters bila ya kujulikana yaani kuwa detected na sonars za Kimerikani - just imagine!!
Je, tungewambieni kwamba Kamikaze Drones za Iran haziwezi kuwa detected/tracked na the most sophisticated RADAR hapa Duniani including za Merikani - tunge raise suala hilo kwa kuwa tunajua tunacho kisema wangejitokeza members hapa wangebishi usiku kucha kwamba Wairan hawana uwezo wewote kisayansi na kiteknolojia kuliko Merikani - mko hivyo, imani ndio unawasumbua - wakati mwingine mnaleta ubishi husio na mantiki hata kidogo-mkikosa hoja zenye mshiko mnaishia kuzodoa watu bila sababu za msingi - mimi mwanzo nilifikiri JF ni jukwaa la kubadirishana mawazo na kujifunza mambo mapya na kikubwa zaidi kukubaliana kuto kubaliana bila ya kumkashifu mtu au kumzodoa mtu - finally nimekuja kugundua kwamba my perception kuhusu JF were totally wrong - dead wrong!!