Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo fashsti Putin ataongea yote lakini kichapo Kiko palepale..,hakuna hambaye anajali hata akitafta huruma

Anadhani akiwataja wafu basi majeshi ya Ukraine yatakoma kumpelekea moto,sio?
[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cont...

[emoji635][emoji779]Putin: We do not need a nuclear strike on Ukraine, there is no point - neither political nor military.

[emoji635][emoji779]Putin: "It was I who ordered Shoigu to call all his colleagues and warn [about the "dirty bomb"]"

[emoji635][emoji779]Putin: The collapse of the USSR destroyed the world balance and became the reason for the strength of the West

"The period of undivided dominance of the West in world affairs is ending".
 
Dunia inaenda patamu? Una akili kwelii wewe..hapo umeunga kabando Kako ka buku ndio unaropoka hivyo...umeshiba ugali wa baba na mama wewe..ndio maana unafuka hivyo..kijana wa hovyo kabisaa
Tuna vijana wa hovyo sana hapa jamvini..,ndio maana wanashangilia uvamizi dhidi ya nchi huru hambayo haikuwai kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya nchi nyingine [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Who founded Ukraine? Duh!

[emoji779]️After World War II, Stalin transferred a number of Polish, Hungarian and Romanian territories to Ukraine — Putin

The President noted that the real guarantor of Ukrainian statehood, Ukrainian sovereignty and territorial integrity could only be Russia, which created today's Ukraine.
 
Sometimes they show us kua wapo over everything and nobody should question their actions duh, so kama nayo ni democracy wanayo ihubiri let's hope for the worst!


Italian senator says Ukraine's future should be decided by the international community, not just by Kyiv

“Of course, we should respect the will of Ukrainians, but it would be better to say the international community will decide in the interest of Ukraine”, said Lega (ID) senator Massimiliano Romeo.

Earlier, the new Prime Minister Giorgia Meloni had said that Ukrainians should be the ones to decide how the war is handled.

“Together with France and Germany, we are among the founding countries and also those who, in the face of an incessant conflict, risk the most”, Romeo responded to this.
 
Menwhile how our "dictator" dealing with others conflict is awesome!

[emoji116]

[emoji779]️We support the peaceful resolution of the Karabakh conflict — Putin

The Russian President said it was up to the Armenian people to decide which option to choose. "Whatever option is chosen, if it leads to peace, we are only for it," Putin said.

"Armenia is our strategic partner and ally," he added.
 
While west wakitoa vitisho, others wanaheshim sovereignty za wenzao.

Chinese foreign ministry on OPEC decision to cut Oil production!

[emoji116]

We highly appreciate Saudi Arabia's independent energy policy and its efforts to maintain the stability of the international energy market - Chinese Foreign Ministry.
 

What a brilliant,intelligent and wise homo sapein sapien - God bless Tzar Putin.
 
Those who keep saying Russia ni Taifa teule, to some point naungana na nyie!

[emoji635] [emoji635] The Duma of the Russian Federation adopted a bill to ban LGBT propaganda and gender reassignment in Russia, including in the media, books, the Internet, advertising and cinema.
 
[emoji1255][emoji1258]Huyu fashsti atulie dawa imuingie vizuri.. maneno ya kutafta huruma hayatamsaidia..,ameshayavulia nguo shart ayaoge

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaonaje? Nisipokosei BWANA Putin alifaulu
1) Kuimarisha jeshi ka Ukraine (ambayo wote wa West walitabiri litaporomoka baada ya siku chache) iliyopata silaha nyingi a) kutoka Jeshi la Urusi ("zawadi" walipokimbia), b) silaha mpya kama vile Himars, Panzerhaubitze 2000 kutoka nchi mbalimbali pamoja na mafunzo . . .

2) Kikosi cha Azov aliweza kushinda baada ya miezi mingi huko Mariupol na mamia wa wafungwa wao alirudisha juzi Ukraine akibadilishana wafungwa - je hawakuwa muhimu vile (au kifashisti vile...) jinsi alivyosema awali???

3) kuhusu Waukraine wa kusini mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi je unamaanisha hao wanaotetea Ukraine kama wanajeshi dhidi ya vita ya Kirusi? (tunajua kutoka kundi hili wako pia walio upande wa putin - hadi sasa inaonekana waliowengi wanajisikia ni Waukraine wenye lugha ya mama tofauti kidogo)

4) Hatimaye kuhusu Mahakama ya Kimatifa kwa war crimes - je tuko pamoja Putin anastahili kushtakiwa pamoja na Bush? Asante sana, tuko pamoja !!!!!
 
Common sense inasema Putin aliagiza mlipuko!
a) hataki kutuma tena gesi Ulaya
b) anajua mkataba wake na kwamba akiacha hivi hivi bila maelezo ya "Force majeure" (matukio ambayo hakuweza kutegemea, bahati mbaya) atabaki na madeni ya faini kubwa sana kwa kuvunja mkataba katika miaka ya baadaye.
c) hivyo ni kweli ujanja mkuu akiharibu bomba mwenyewe na kukosesha force majeure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…