Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??Kwann hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.
Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Nmesema una kosa?Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??
Amelazimisha lini mbona umewehuka?bakini na uovu wenu msiwalazimishe watu.Uyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Tangu siku nyingi wanasheria za kupinga ushoga.bakini na ushetani wenu msiwalazimishe watu wasiotaka uovu wenu.Kwann hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.
Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Thats not my point...nyie ndio watu ambao ni rahisi kuwa manipulated, kuchotwa na kuaminishwa chochote mtu anachokitaka.Tangu siku nyingi wanasheria za kupinga ushoga.bakini na ushetani wenu msiwalazimishe watu wasiotaka uovu wenu.
US NA RUSSIA “Neo Colonialist” hasa ni nani?..Thats not my point...nyie ndio watu ambao ni rahisi kuwa manipulated, kuchotwa na kuaminishwa chochote mtu anachokitaka.
Inshort ya'll gullible.
US NA RUSSIA “Neo Colonialist” hasa ni nani?..
Nani Manipulator mkubwa.
Mzee Pro West mnapenda kushawishiwa kuliwa?
Kati ya Ushoga na Ujamaa unachagua nini?Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Ulichokizungumza ni ukweli mtu, great thinkers watakuelewaThat is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.
I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
Kamlazimisha nan kuwa mjamaa?Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Kawalazimisha wapi? Ni lin russia ilifanya mikataba na nchi zngine ikishinikiza zfuate sera za ujamaa? Ni wamagharibi tu wenye tabia ya kushinikiza mataifa yautetee ushoga na usagaji..acha chukiHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Dalili ya mvua hiiHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Duh, kwa kweli !.. hapo bati zinavujaDalili ya mvua hii
Akijibu niite nitangaze niaKati ya Ushoga na Ujamaa unachagua nini?