Afanye kwa vitendo, asimege mege ardhi za nchi nyingine na nchi nyingine ziheshimu mipaka yake. Huo utakua mwanzo mzuri.Mzee kaanza kulainika...
Russia did not consider the West to be an enemy of Russia despite the current phase of confrontation, he added. Moscow “had one message” for the “leading countries of the West and NATO: let’s stop being enemies, let’s live together”.
Wewe una matatizo makubwa ya akili , kucha kutwa uko kulalamikia watu wasioupa umuhimu uchambuzi wako uchwara unaofanya hapa, umejaza nyuzi za anti West halafu unazungumzia independent analysis.
Tofauti yako wewe na Mathanzua ni kwamba yeye ana copy na ku paste tu kwa Kingereza takataka zote za conspiracy kutoka mtandaoni, wewe unajitahidi kuzielezea kwa Kiswahili na kuzichambua.
Ndio akili yako ilipoishia hapo?Kwahiyo wewe ume mind Putin kuwakandia nyie wa rainbow
Aah wafuasi wa mugaymad msharipoti na vidumu?Ngoja wafuasi wa paulo waje wazee wa upinde wa mvua waje.
Mkuu kwani na wewe unapindwa mbona makasiriko sasaHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Unadhani air defenses zinatolewa tu kama maandazi,lazima watu wapewe mafunzo jinsi ya kutumia,jinsi ya kurepair,nkSi tuliambiwa air defenses zilizotolewa na Marekani + NATO zinalinda anga la Ukraine?
Sasa mbona Zelensky analialia kuwa majeshi ya Urusi jana usiku yamechoma grid ya taifa ya Ukraine[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji56]
View attachment 2400029View attachment 2400031
Mfuasi wa upinde wa mvua unateseka kutoka wapi? Umaskini utakumaliza!!😂😂😂Aah wafuasi wa mugaymad msharipoti na vidumu?
Hii vita/ operation haiwezi kuisha Leo au kesho
Not at the expense of others' security..Same as Ukraine they do have that rights to choose what society they want to build we mzee.
Sijawahi kuona mkataba huo. Lakini Gazprom imesema kwamba sababu ya kutoleta gesi tena ni "force majeur". Ona https://www.cnbc.com/2022/07/18/rus...e-majeure-on-some-gas-supplies-to-europe.htmlHuo mkataba wa Nord Stream wa Gas supply umeshawahi kuuona?
Je, Kama umeshawahi kuuona, ni conditions zipi zina constitute hiyo Force Majeure..?
Rais Vlad Putin amesema kuwa nchi za ki Magharibi wanaweza kuishi wanavyotaka na mila zao za LGBT lakin hawapaswi kulazimisha , kushawishi ama kushinikiza wengine kuwafuata.
Amesema nchi zingine zinaona mambo hayo kama fedheha ama kinyaa katika tamaduni zao.
Zaidi soma para ya mwisho:
All cultures in the world should be respected, including those that other nations may find weird, like the gender-obsessed culture seen in the West, Russian President Vladimir Putin has said.
“Respecting the peculiarities of peoples and civilizations is in everyone’s interest. Actually, it is in the interest of the West too. As it loses superiority, it is quickly becoming a minority” culture-wise, the Russian president assessed during a speech on Thursday.
That said, Western culture should be respected just like any other, Putin said.
But the West has no right to impose their cultural preferences on other nations and societies, he said, adding that Russia does not lecture others on how they should live, and does not want to be lectured either.
Putin declared that his country has chosen to maintain “traditional values,”and went on to explain what he means by the term – not a universal set of rules, but many creeds that different societies created for themselves.
“Their difference from the so-called neoliberal values is that in every case they are unique, because they stem from the traditions of a particular society, its culture, and historic experience,” the president stated.
The approach, Putin believes, is shared by most of humanity, unlike what the Western nations promote.
The remarks were part of a keynote speech that Putin delivered at the Valdai Discussion Club, an international event hosted by Russia, where senior Russian officials voice ideas about global issues for other nations to discuss.
G
In his address, Putin warned that the US and its allies are hurting themselves by trying to force other nations to be more like themselves. Political and cultural diversity is key in solving problems that humanity faces as a whole, he argued.
Je kuna sababu maalum kuangalia kilio cha mwanasiasa aliyewahi kupuuza utaratibu wa kimataifa (si ya Western) kwa kushambulia nchi jirani: Georgia, kunvunja amani iliyokuwepo Chechniya, sasa Ukraine?