Kumuweza ama kutomuweza siyo msaada sana.Hawamuwezi Putin ndo mana taarifa zao nyingi za kutunga
😂😂, we kweli white skunkAfrocentric view ameharibu uzi, uzi ulikuwa mzuri ameujaza nyama ya kunguru. 😭😭
Mazungumzo yangependeza zaidi. Bora kuzungumza halafu mkashindwa kuafikiana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#HABARI Rais wa Marekani Joe Biden anesena hana mpango wa kufanya mazungumzo na Urusi ikiwa ni siku chache kabla ya mkutano wa kilele wa G20 uliopangwa kufanyika mwezi wa Novemba nchini Indonesia
#EastAfricaTV
Culture yetu ni ipi?Hivi vitu havifanani kabisa...Ujamaa ni system ya utawala, ushoga sio system ya utawala ila ni kipengele tu kwenye sheria.
Sasa mimi kama mimi ni anti ushoga na pia ni anti ujamaa.
Lakini najua Ujamaa ukiingia, tunabadili kila kitu, mtindo wa maisha wote unabadilika.
Tunasombwa kwenye vijiji vya ujamaa, hakuna kumiliki biashara, tunaanza kupanga foleni madukani
Hakuna kuchagua viongozi, raisi anakuwa mungu etc.
Inshort ujamaa unabadili katiba yote.
ila ushoga ni kipengele tu kwenye sheria moja ambayo haitaathiri maisha yangu ya kawaida.
By theway hapa bongo mbona ushoga ni kama umeshahalalishwa? Umeenda Zanzibar?umeenda club za Arusha?unamfahamu Juma lokole?
Kilichokosekana tu labda ni ndoa kutambulika, ila vingine vyote hapa bongo vipo na havijaniathiri kivyovyote.
Kutamatisha: Sio lazima tuchague upande, sisi ni watanzania na wala siasa za marekani na Urusi hazituhusu.
Sio lazima kuchagua kimoja hapo, tunaweza kuvikataa vyote.
Kataa ushoga, kataa ujamaa.
Kama kuna mazuri kwa USA tusifie na tuige, mabaya yake tupondee na tuyakatae vivohivyo kwa Urusi.
Kubali ubepari na demokrasia ya USA ila kataa ushoga, kubali misimamo ya Urusi kuhusiana na ushoga ila kataa ujamaa na udikteta.
We are Africans, sisi sio wao na wala hatupaswi kuwaiga. we have our own culture.
Anaongelea Impact za ujamaa kwenye nchi zilizojaza wala rushwaUnaujua UJAMAA VIZURI WEWE??
Au unadhani UJAMAA ni ule mliodanganywa na Juliasi ??
China kuna Vijiji vya Ujamaa??
Kasome philosophy ya Jumaa kutoka kwa Mao na Marx kwanza ndo uuongelee
Naona amekukera sana kukosoa Ushoga wenuHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Walioanz uchokoz wanaona aibu kusitisha vitaKumuweza ama kutomuweza siyo msaada sana.
Kusitisha vita ndiyo msingi mkuu
Pole sana kama amegusa hisia zakoKwanini hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.
Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Wote wawili hawataki kujishusha sio Putin wala Biden.Mazungumzo yangependeza zaidi. Bora kuzungumza halafu mkashindwa kuafikiana.
Ni lini Putin alilazimisha wengine kuwa wajamaa? Si bure kwa povu hili bila shaka ni mhanga wa LGBTHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
We jamaa unapatika mitaa ipi nikutafute nikufumue mshono?.Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Ni aibu Russia inayojitaja kama superpower kusaidiwa na Iran.Mimi nilitegemea wangemaliza vita toka mwezi wa 2 na kupata ushindiSlava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Ukrainian shelling kills 23 Chechen troops in the Kherson area, according to the Kremlin-backed leader of the region
It's an unusual public admission of losses by Russian officials
Latest updates: bit.ly/3FoG19p
😂😂😂Tafuta hela kijana wacha masiriko ya kishamba endelee kusapot uchoko ndo mchezo wako wa kujipatia kipato... Tafuta hela utakuja kuliwa😂😐..Wewe ndo Haukumalizi?Au ndo ushatafuta jimama shangingi lishugamamy la kukulea kama Muhamad alivyodanga kwa Hadija?
Kimatendo upo sahihi kabisa. Hawaonyeshi kutaka kumaliza hili suala kwa mazungumzo sasa hivi.Wote wawili hawataki kujishusha sio Putin wala Biden.
Huu uzi umevamiwa na mashoga!! Wanahasira na Putin kuwa anawazibia!!Mashoga watapinga vikali.