Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiki kipigo kimemfanya mvuta bangi anayejiita kodolovyu kuweuka kabisa [emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sawa wengi humu wanasema swala la kuupinga ushoga. Putin kaanza hivi karibuni baada ya kuona anashindwa Vita dhidi ya Ukraine

Lakini mbona sheria yao ipo kitambo tu au sisi ndio hatukua tunajua.

Tena sheria ni tangu 1995 imepitishwa

Au hatulioni hili

Current status
Since Dec 29, 1995

Not legal

The federal laws of Russia do not allow for same sex unions of any kind, and the Russian constitution defines marriage as being between a man and a woman.


Tunakumbushana tena pia bwana mwafrika mmarekani. Baraka Obama nae ali mlaumu Putin eti kwa sababu tu anauchukia ushoga

Au pia ilikuwa ni kipindi cha vita na Ukraine

Tueni sirias basi. Katika mambo ya msingi

Na kama hutaki kuungana na putin je kakulazimisha ue upande wake.

Asanteni
 

Ukraine to receive NASAMS air defense systems by end of November​


Fri, October 28, 2022, 1:31 AM·1 min read

NASAMS air defense system
“Right now, what (Ukrainians) need more than anything else is air defense capabilities,” Austin said.
Read also: New US defense strategy brands Russia as “acute threat”
He also noted that “we have been pressing hard to get them a NASAMS capability, and we expect that early next month we’ll be able to get them the capability.”
 
Israel anamuweza Iran, hataki apumue hapo Damascus
 
3:21 pm
Air Force: Russia runs out of missiles, stops attacking Ukraine's military bases.
Due to a shortage of high-precision weapons, Russia has changed its tactics in Ukraine, attacking only critical infrastructure sites – not military bases, according to Air Force spokesman Yurii Ihnat. As Russia's stock of Iskander ballistic missiles has run out, the Kremlin started trying to buy missiles from Iran and North Korea, Ihnat said.
 
Kuna watu kazi yao kushinda telegram kuangalia coordinates za video zinazotumwa afu himars inafanya yake
 

Sisi hata asipotunga hiyo sheria tupo nyuma yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…