Putin alishasema kuwa viongozi wengi wa ulaya wanaendeshwa na serikali ya USA kwa kupachikwa microchips zinazo waonesha chochote wanachokifanya ndani na nje ya ofisi zao, ndo maana unaona wanachokipigania siyo matakwa ya raia wao bali ni maagizo kutoka Washington na Pentagon.
Na kuhusu hili halihitaji kuwa na elimu kubwa kulidhibitisha. Ni simple tu, Kama kweli wanachokifanya western nations kingekuwa ndo matakwa ya wananchi basi hata haya maandamano na viongozi wao kujiuzuru hovyo visingekuwepo.
RAIA WANATAKA MAHUSIANO YAO NA URUS YAENDELEE, VIONGOZI WAO WANATAKA UADUI NA URUSI ILI KUTIMIZA MATAKWA YA BWANA WAO USA.
POOR EUROPEAN NATIONS.
Bush, Sarkozy, Blair ni SAINT CRIMINALS..... Safi sanaaaa.Nimerudi kwa nguvu mpya kuwanyoosha nyie mliokuwa mnabisha kuhusiana na war crimes za Putin na genge lake mpitie hapa , na hii full coverage documentary ya Frontline PBS imetoka leo .
Kuna siku hapa niliandika kuhusiana na war crimes alizofanya Putin mkawa mnabisha ,Putin is a war criminal .
Na uzuri hapa wamefafanua kila kilichoandikwa siku ile
Kuna kauli imenukuliwa hapo inasema: "the West has no constructive ideas and positive development, they simply have nothing to offer the world except the preservation of their dominance."
Kauli kama hiyo niliiona juzi katika kipindi kimoja maarufu cha runinga nchini Urusi.
Mtangazaji wa kipindi anauliza swali, anasema; "ni kitu gani cha thamani ambacho nchi za magharibi zimekifanya kwa dunia?"
Ukitazama studio anayotumia mtangazaji, mezani pake kuna iPad na kipaza sauti kutoka kampuni ya kimagharibi.
Jamaa anaitwa Vladimir Solovyov, by the way. Ni mtangazaji maarufu sana wa runinga na propagandist wa muda mrefu wa the Kremlin nchini Urusi.
Tukiachana na hilo, hilo suala la nne katika hotuba yake ni propaganda ya wazi kabisa. Eti, Russia does not seek domination? Really?!
Russia has been seeking domination since the Tsarist Russia (karne ya 16). Mpaka leo, Urusi inaendeleza ukoloni wa kizamani wakati mabeberu wenzake walishaachana nao zamani sana.
Putin bado ana kazi kubwa mno ya kutushawishi kuhusu hiyo "new world order" yake anayofikiria.
kumbuka kwamba alilenga nchi nzimaKumbuka sehemu aliyolenga kashaimega na akaongeza na blast mbili endeleeni tu
Si wanasema atakufa Muda Sio MREFU!?
Angalau anapinga ushoga huyu Jamaa! Namsapoti KWA hilo!!!
Je hao wanaosapoti America wanaunga mkono ushoga!!?
Russia 'running out of ballistic missiles' and no longer targeting Ukrainian bases
Grace Millimaci
Fri, October 28, 2022, 5:55 PM·19 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia- Sergei Shoigu
Russian political figure
Russia has exhausted its “core stocks” of Iskander ballistic missiles and is no longer attacking Ukrainian military bases, Ukraine’s air force has said.
Shortages of the devastating weapons mean Russia has had to change tactics and is now exclusively targeting critical infrastructure.
“The enemy is facing severe shortages of the Iskander missiles. They’ve already used up their core stocks of them,” said air force spokesman Yuriy Ihnat.
“We see that the enemy is no longer interested in military targets, in troops or other strategic sites,” he said.
To replenish its ballistic missiles stocks, Russia is turning to Iran and North Korea, he added.
More than seven metres long and capable of carrying nuclear warheads as well as a conventional explosive payload, the Iskander missiles were introduced in 2006 and reportedly cost about £2.5 million each.
Usijali tupo pamojaSamahani maana imekuwa ndefu mtanisamehe WAKUU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Sio bilion tena [emoji2][emoji2][emoji2] tutaongea lugha moja soon[emoji298]️The Pentagon will allocate a new package of military aid to Ukraine in the amount of 275 million dollars, – the spokeswoman of the US Ministry of Defense Sabrina Singh says.
The package will include:
- ammunition for HIMARS;
- 500 high-precision guided artillery shells;
- systems of remote anti-tank mining;
- HMMWV light transporters;
- small arms/ammunition.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Ndio maana anatumia dronesHii inakunzana na taarifa ya jana ya Rais wa Ukraine alipotaja kuwa jana pekee Russia iliishambulia Ukraine kwa drones za Kamikaze zaidi ya 30 na kuomba Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kuisaidia Ukraine ( BBC Swahili- Dira ya Dunia 28/10/2022)
Elewa lugha mkuu au umepitiwa wamesema new package thst means kuna old packageSio bilion tena [emoji2][emoji2][emoji2] tutaongea lugha moja soon
Unaweza kuniletea hata kamstari kamoja alikosema wanataka nchi yote.kumbuka kwamba alilenga nchi nzima