D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ukiachana naye unapungukiwa nini kiongozi???Please revisit my comments kuna mambo nime-rectify - hakuna cha "eti "- I am a propely trained scientists, take it or leave it up2U and I don't care - lakini kumbuka kuna baadhi ya members watafaidika nufahika na baadhi ya ufafanuzi wangu kwa masuala fulani kama ninavyo faidika na mchango wa members wenzangu kwenye masuala ambayo siyaelewi vizuri.
Alianza na unazi mamboleo, sasa hivi ushoga.
Na wewe je?Siku zake zinahesabika
Pro Russia wengi wanapambania kupinga Unipolar Western Dominance. Hawataki pia Eastwrn Dominance. Wengi wanataka Multipolar ili kuwe na balanceHahahahaha
Mkuu sasa unadhani dunia itaendelea kuwa salama kwa hawa washabiki wa vita wanavyopambanisha team zao?
Mtangazaji wa kipindi anauliza swali, anasema; "ni kitu gani cha thamani ambacho nchi za magharibi zimekifanya kwa dunia?"
Ukitazama studio anayotumia mtangazaji, mezani pake kuna iPad na kipaza sauti kutoka kampuni ya kimagharibi.,,,,,,,
[emoji15][emoji15]Meli 2 za chakula zimeenda Afrika,baada ya katibu UN kumwomba Putin afungulie chakula,zaidi ya sabini zimeenda Ulaya,ona njaa walokua nayo kelele tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mweleweni basi Putin,maeneo muhimu ya chakula Cha kulisha Ulaya kayatia kwapani Uikrane,tega sikio kifuatacho.
How is it?.Wa kale walisema Nyani halioni kundule, wewe unasema watu kwamba wanaandika mengi as if wewe una andika machache - hama kweli binadamu tuko wired tofauti kabisa!Maneno mengi yasiyokua na mantiki ushabiki tuu na tenzi za mahaba
Ni ukweli kuwa Russia inaweza fanya lolote kwenye anga la ukraine kwa sasa ? Jiulize ndege ngapi na helcopter ngap zimedondoshwa had sasa.
Jiulize ni makombora mangap ya Russia yamedunguliwa hadi sasa?
Drone ngap zimedunguliwa had sasa?
Kulingana na data kutoka Global Firepower, VKS - jeshi la anga la Urusi - ni la tatu kwa ukubwa ulimwenguni, likizidiwa tu na zile za Amerika na Uchina.
Mwanzoni mwa mzozo, Moscow ilikuwa na ndege za kivita 1,391 (ikilinganishwa na 132 za Ukraine) na helikopta 948 (Waukraine walikuwa na 55 tu).
Lakini jeshi la ukraine na uchache huo wameweza kulinda anga lao kwa zaid ya asilimia70.
Twende kwenye point kumiliki anga tafsiri yake ni kuweza kurusha ndege na helcopter bila kuwa na upinzani wowote wenye madhara.Leo hii Russia hawez peleka ndege yake ukrainne au helkopter kadhaa zikarud salama , ila wewe kimahaba unadai umemiliki anga,
Ukraine anarusha ndege zake na helkopter ,kimahaba unadai unamiliki anga.
Rada zenu na mifumo yenu ya kisasa ya kuzuia makombora inalipuliwa kirahisi kimahaba unatuambia unamiliki anga.
Mkuu mahaba weka chini acha maneno mengi hii vita siyo rahisi kwa russia kama unavyorahisisha .
Hii vita imemgharimu puttin sana na kumvua nguo .
Nikwambie wazi tuu US kamwe hatokubali kushindwa hii vita ,US wa vietnam siyo huyu aliyejiimarisha duniani kote kijeshi,kiuchumi na kisiasa.
Lakini Waziri wake wa ulinzi anaongea na Waziri wa ulinzi wa Russia??? Bila maelekezo ya Serikali si ndio!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#HABARI Rais wa Marekani Joe Biden anesena hana mpango wa kufanya mazungumzo na Urusi ikiwa ni siku chache kabla ya mkutano wa kilele wa G20 uliopangwa kufanyika mwezi wa Novemba nchini Indonesia
#EastAfricaTV
Kwa kweli Urusi anapigika.....kinyamaaaaa🤣🤣🤣Kipigo kimekuwa kikali sana aisee
View attachment 2400235
Kwan nani hataki kuwa kiranja wa dunia ?Marekani analindq ukiranja wake tatizo nn?Mkuu, ni suala la muda tu Viongozi wote wa Ulaya watafunga safari mmoja mmoja kwenda kumsihi Putin kwamba yaishe wafungue ukurasa mpya wa ushirikiano na kuachana na American foreign policy tata zinazo liingiza bara la Ulaya kwenye mkenge wa kiuchumi, upatikanaji wa nishati nafuu nk. Siku ya kuiheowshimu tena Urusi hiyo inakija
Always inventing lame excuses! eti " US wa VietNam siyo huyu wa sasa" what a laughable comment!!! Hivi unajua kwamba kijeshi spreading too thin ni hatari sana linapokuja suala la logistics - are you aware of that, Amigo? Kusema eti "Amerika ni zaidi kwa kuwa wana military bases chungu nzima Duniani kote" pakifumuka vita ya kweli kweli baina ya US na maadui wake, basi ni wazi US itapata wakati mgumu kusambaza mahitaki muhimu kwenye kambi zote za kijeshi au wewe hulioni hilo - kisa? as far as you are concern Amerika ni zaidi in other words USA ndio kila kitu hapa Duniani!! How I wish you knew.
Linapo kuja suala la kiuchumi na kisiasa actually we are now witnessing the beginning of the end of USA karibu kwa kila nyanja ndio maana wanaonekana waki-panic wazi wazi na wapo tayari hata kuanzisha WW3 ili mradi waendelee kubaki kwenye virtual chati ambayo siyo real hata kidogo - Dunia ina ambiwa wasinunue bidhaa kutoka Uchina, waitenge Uchina na viongozi wao, Dunia hisielewane na Urusi, Iran na Korea Kaskazini yaani US analenga mataifa yote ambayo anayaona yanamu-subject kwenye ushindani mkubwa kiuchumi,kijeshi na ushawishi wa kisiasa basi anataka ayawekee kizingiti ili yasimzidi kete - ndio walivyo very selfish na roho ya kutu ya kwa nini - na hulka hiyo ndio itamumaliza mapema zaidi than you think - the writting is already on the wall but these crooks par excellence never saw it coming, wapo wapo tu na majivuno na kujusikia kwa kijinga.
Watakuambia hakubaliki kwa wananchi wakeMbona US na wahuni wenzake walivamia Syria na kutaka kumpindua President Al Assad..
Hii ramani inanichanganya sana. Kwa mujibu wa taarifa zainazoletwa humu zinasanifu Ukraine kurudisha ardhi yake kwa kasi na karibia wanairudisha yote. Ila Hii Ramani inaonyesha kitu tofautiNEW: #Russian forces are not making significant progress around Bakhmut, Donetsk Oblast or anywhere else along the front lines in #Ukraine.
isw.pub/UkrWar102822
Hivi kwa akili yako kabisa uchumi na ushawishi wa mataifa kama Iran na North Korea ndo unaziongelea kweli kabisa? Ebu mahaba yasizidi kiasi hicho aisee.How is it?.Wa kale walisema Nyani halioni kundule, wewe unasema watu kwamba wanaandika mengi as if wewe una andika machache - hama kweli binadamu tuko wired tofauti kabisa!
Now fast forward to the main point - shall we?? Maelezo yako naona unarudia makosa yaleyale ie always inventing lame excuses linapokuja suala hasa linalo husu Merikani!! eti " US wa VietNam siyo huyu wa sasa" what a laughable comment!!! Hivi unajua kwamba kijeshi spreading too thin ni hatari sana linapokuja suala la logistics - are you aware of that, Amigo? Kusema eti "Amerika ni zaidi kwa kuwa wana military bases chungu nzima Duniani kote" pakifumuka vita ya kweli kweli baina ya US na maadui wake, basi ni wazi US itapata wakati mgumu kusambaza mahitaki muhimu kwenye kambi zote za kijeshi au wewe hulioni hilo - kisa? as far as you are concern Amerika ni zaidi in other words USA ndio kila kitu hapa Duniani!! How I wish you knew.
Linapo kuja suala la kiuchumi na kisiasa actually we are now witnessing the beginning of the end of USA karibu kwa kila nyanja ndio maana wanaonekana waki-panic wazi wazi na wapo tayari hata kuanzisha WW3 ili mradi waendelee kubaki kwenye virtual chati ambayo siyo real hata kidogo - Dunia ina ambiwa wasinunue bidhaa kutoka Uchina, waitenge Uchina na viongozi wao, Dunia hisielewane na Urusi, Iran na Korea Kaskazini yaani US analenga mataifa yote ambayo anayaona yanamu-subject kwenye ushindani mkubwa kiuchumi,kijeshi na ushawishi wa kisiasa basi anataka ayawekee kizingiti ili yasimzidi kete - ndio walivyo very selfish na roho ya kutu ya kwa nini - na hulka hiyo ndio itamumaliza mapema zaidi than you think - the writting is already on the wall but these crooks par excellence never saw it coming, wapo wapo tu na majivuno na kujusikia kwa kijinga.