Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Usilijadili hili jambo kibinafsi!!Endelea kuota na kulikumbatia hilo taifa feki
Mkuu nashukuru kwa uchambuzi wako mzuri nadhan pro nato wanaweza kujifunza mambo mawili 3 toka kwakoMkuu samahani ila kwa kawaida Bwana Yoda anajielimisha kabla ya kujibu. Hivyo angeweza kukujibu
1) kuhusu Bwana Gadafi kulikuwa na azimio la Baraza la Usalama (ambako Urusi na China wana uwezo kuzuia kila azimio) kuzuia ndege zote za jeshi la anga la Gaddafi kwa sababu aliua raia wake hovyo, na katika utekelezaji wa azimio hili nchi mbalimbali zilianza kudhibiti anga juu ya Libia na kukandamiza majaribio yote ya jeshi la GAddafi kushambulia ndegevita zao na pia kuendelea kuua wananchi. Sababu kwa uhakika haikuwa udikteta wake maana aliuwa dikteta pia kabla ya azimio la Baraza la Usalama la UM.
2) Kuhusu Afghanistan atakujibu kwamba swali halikuwa uhuru. Jambo lilikuwa mahambulio dhidi New York na Washingtona yaliyoua watu zaidi ya 3000 yaliongozwa kutoka ardhi ya Afghanistan ilhali serikali ya Afghanistan ilikataa kukabishi watendaji hivyo kujiunga na shambulio hilo. Shambulio hilo kutoka Afghanistan lilisababisha mara ya kwanza katika historia hatua ya NATO kutangaza hali ya kusaidia mwanachama aliyeshambuliwa.
Swali haliuwa uhuru bali shambulio la 11 Septemba.
Bora wanajisemea wenyewe"I think we are now at a historic moment for many reasons. Definitely, the tectonic plates in the world are in motion," she said.
"There is a struggle for influence, because Russia and China are in contact with countries in Africa, Asia, Latin America, and we need to show ourselves, we need to make contact, that's why we need to be involved [in dialogue with them]."
According to Joly, she is not a supporter of the "strategy of the opponent's refusal to participate in the debate."
Hizo minor damages zimetokana na nini?[emoji779]️British Specialists Aided Kiev's Drone Attack on Sevastopol - involving nine UAVs & seven autonomous maritime (unmanned) vehicles
The Russian Defence Ministry says four naval drones were destroyed by the Black Sea Fleet, three more were destroyed closer to the coastline.
Minor damage was sustained to a nautical minesweeper and a barrier along the bay.
Follow @RT_India_official
Cha ajabu nini hapo??Bora wanajisemea wenyewe
Tukisema sie twaitwa chawa wa PUT IN
Nikushukuru tu ulivyoniquote mkuu hukunikulupukia kwa jazba yoyote lakin cha kukushauri jifunze sana kusoma na kufanya research kuhusu taifa hili la sasa la israeli, hii dunia yetu inasiri nyingi sana napia ni zaidi ya mie na wew tuijuavyo sababu hata huu mfumo wetu wa maisha tunayoishi leo hii ni mfumo feki ambao Mwenyezi MUNGU akutupangia tuishi, na matatizo mengi na migogoro mbalimbali inayotokea duniani kama hii vita ya Ukraine/nato/marekani dhidi ya urusi sio kwa bahati mbaya hata kidogo bali hili jambo lilikua ubaoni kwa wakubwa wa dunia, hivyo usiniulize wakubwa wa dunia ni kina nani, wala taifa original la israeli lipo wapi wala mfumo original wa maisha aliotupangia Mwenyezi MUNGU ili sie wanadamu tuishi ni upi! Hiyo ni juu yako na maamuzi yako mwenyewe ukitaka kujua utajua ila usiongozwe tu na hisia yoyote kingine cha mwisho jifunze kusoma na utapona.Usilijadili hili jambo kibinafsi!!
Ishu kwanza No fly zone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!
Sababu za Iraq na Libya kuvamiwa zinajulikana. Sasa Kati ya NATO na Russia ni nani ambae kila siku anatishia Nuclear?!
Inawezekana wewe ni mpenzi wa nadharia Njama (Conspirancy Theories) nyingi sana zilizojaa kwenye mitandao ya kijamii.Hiyo ni juu yako na maamuzi yako mwenyewe ukitaka kujua utajua ila usiongozwe tu na hisia yoyote kingine cha mwisho jifunze kusoma na utapona.
Mkuu sijui hoja lako unajenga vipi ukisema "yes may be gadafi aliua raia wake so what"??Mkuu nashukuru kwa uchambuzi wako mzuri nadhan pro nato wanaweza kujifunza mambo mawili 3 toka kwako
Shida kubwa kwa hawa west ni kuwa wana "very complicated relationship with truth" kiasi kwamba taarifa zao nyingi haziaminiki. Ni hawahawa waliotuambia iraq ana weapons of mass destruction kusudi tu wapate kisingizio cha kwenda kuivamia iraq kwa force flag ya war on terror. Hawa hawa ndio wamekuwa vinara wa kupindua serikali nyingi sana za nchi zingine kwa kisingizio cha kupeleka demokrasia ili hali wao nchi nyingi zipo chini ya falme huku wakiunga mkono nchi kama saudi arabia inayoongozwa na familia. So hawa watu wanachokihubiri na wanachokifanya haviendani
Libya ilikuwa nchi nzuri sana kabla ya hawa nation destroyer hawajaanza ku intervene kwenye internal affairs za libya, yes may be gadafi aliua raia wake so what. Nchi ni kama family affairs kugombana huwa inatokea somtime hata inafikia hatua wanandugu wanauwana ila hiyo haitoi kibali kwa outsiders kuingilia huo mgogoro kwa kuua more family members women and chldren included kwa kisingizio cha kusema baba yao aliua baadhi ya watoto. Leo hii libya imekuwa failed state kwa ajili yao
How about iraq? Under sadam watu walifanya shughuri zao na maisha yaliendelea tu, watu walilea familia zao ila baada ya usa na washirika wake kuuangusha utawala wa sadam iraq nayo ikawa failed state. Wamefanya huo mchezo na syria kwa kisingizio kuwa assad anaua raia wake kwa sumu....really? The same bullcrap. Tuseme labda ni kweli gadafi, sadaam na assad walikuwa wakiua raia wao but huwezi kufananisha na mauji waliyoyafanya hao west ulimwenguni kote. To this day marekani, uk, france, german, Portugal, Belgium n.k wamemwaga damu nyingi sizizo na hatia kuliko the rest of the world compined kwa kisingizio cha eti they are civilizing us.
These people(west) are notorious liars nothing they say can be trusted
Endelea kuwa gizani cku ukipata mwanga utajua niny namaanisha.Inawezekana wewe ni mpenzi wa nadharia Njama (Conspirancy Theories) nyingi sana zilizojaa kwenye mitandao ya kijamii.
Soma mambo toka kwenye vyanzo vya kuaminika, ili "maarifa" yako yawe yana manufaa kwako na kwa wengin
Mkuu bwana utamu unahasira sanaIshu kwanza No fly zone
Kama sababu ya GADAFI kuua watu wake kama mnavyo dai ikaekwa No fly zone mpaka akauliwa
Ila ya UKRAINE kuvamiwa munasema sio NATO member basi poleni sana maana hata YUGOSLAVIA haikua NATO na ikachapwa
Nyuklia RUSSIA kutishia binafsi ananiudhi bunafsi yangu nataka atumie kabisa
Kwani NYUKLIA imetengenezwa sababu gani au ikitumika kuna ubaya upi sinisilaha tu kama silaha nyengine!!?
RUSSIA akiongelea kuhusiana na NYUK bila kuitumia ananiudhi kabisaa
Mwangaza ni lazima uwe ni kitu halisi na siyo kuhisi tu kwamba huu ni Mwangaza, wakati mwingine inawezekana ni kitu kinachoakisi mwangaza na si mwangaza wenyewe. Ni kama kusema Mwezi unatoa mwanga wakati sayansi inatuonesha kwamba ni Jua ndiyo mwanga wake unaakisiwa na Mwezi.Endelea kuwa gizani cku ukipata mwanga utajua niny namaanisha.
Naona mumeamua sasa kua watabiri wa mambo ya mbeleniNapenda sana mijadala kwa Lugha ya Kiswahili, kama natumia Kiingereza ni kwa kuonesha tu hakuna mbadala wake kwenye kujenga uelewa.
Hoja kuhusu Asilimia ya Ardhi iko upande Gani nimesema kwa sasa si jambo la msingi kujadili. Ni kwa kuwa vita yenyewe inahama toka upande mmoja kwenda mwingine kila siku.
Vikwazo kwa kweli wanaumia wote, ila kwa nyakati tofauti. Kwa sasa ni ulaya ndiyo inaathirika, ila mbele ya safari (hasa kama mwendelezo wa mapingano utakuwa ndiyo huu) Russia ndiyo wataathirika.
Hii vita ni mapambano ya kulinda historia na kuumba historia mpya. Russia inataka kurudi kule kwa USSSR wakati NATO na washirika wanataka Historia baada ya USSSR kusambaratika, ibakie kama ilivyo. Bahati mbaya hii vita inavuta marafiki, maadui na wanafiki wa pande hizo mbili.
Israel haina bifu na Russia lakini jee inavoona Iran inawasaidia Russia dhidi ya ukraine, Israel itasimama wapi? kwa ivo ni vita tata lakini mwisho wa siku ni Russia ndiyo wanatakiwa akili yao iwakae sawa ili ulimwengu uwe salama kiuchumi na kijeshi,
Bado upo gizani mkuu hata maelezo yako yananipa picha kamili jinsi uelewa wako ulivyo.Mwangaza ni lazima uwe ni kitu halisi na siyo kuhisi tu kwamba huu ni Mwangaza, wakati mwingine inawezekana ni kitu kinachoakisi mwangaza na si mwangaza wenyewe. Ni kama kusema Mwezi unatoa mwanga wakati sayansi inatuonesha kwamba ni Jua ndiyo mwanga wake unaakisiwa na Mwezi.
Tafuta mwanga halisi.
Ukifumba macho na kuona giza, si kwamba na wengine nao wanaona giza, bali ni wewe uliyefumba macho ndiyo upo gizani. Ukifumbua macho utakuta mwanga bado unaangaza na wenzako walikuwa hawaoni giza ulilokuwa unaliona wewe wakati umefumba macho.Bado upo gizani mkuu hata maelezo yako yananipa picha kamili jinsi uelewa wako ulivyo.
Russia anatishia nuclear ila nato wametumia nuclear(depleted uranium) na silaha za sumu like agent orange. Cowards!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!
Sababu za Iraq na Libya kuvamiwa zinajulikana. Sasa Kati ya NATO na Russia ni nani ambae kila siku anatishia Nuclear?!
Hence balfore declarationKazi kwelikweli unapoongelea taifa feki lenye Wayahudi feki wakizungu ambao hapo sio sehemu yao halali bali waliwekwa kwa mkakati maalumu baada ya kupikwa kwa vita vya pili vya dunia.
Mambo yasiwe mengi, maana hii thread niya vita vya urusi na Ukraine. Hivyo kila mtu abaki na kile anachoamini lakin nishukuru tu kujua nikua nafanya conversation na mtu wa aina ipi!Ukifumba macho na kuona giza, si kwamba na wengine nao wanaona giza, bali ni wewe uliyefumba macho ndiyo upo gizani. Ukifumbua macho utakuta mwanga bado unaangaza na wenzako walikuwa hawaoni giza ulilokuwa unaliona wewe wakati umefumba macho.
Hisia hupofusha akili.
Meanwhile in Russia: several panelists threw some truth grenades at the stunned TV hosts, look how those angry propagandists pummeled the pundit who said that by destroying the infrastructure, Russia is waging a cruel, sadistic war against civilians. He won't be invited back.
Ni kujikosea kama kwenye maelezo yangu yale uliona niliposema "mbele ya safari" nilimaanisha ni miaka mia ijayo. Utakuwa ulikuwa unasoma bandiko langu huku ukiwaza nimeandika ulichodhani nitaandika.Naona mumeamua sasa kua watabiri wa mambo ya mbeleni
RUSSIA itaumia huko mbeleni ya lini maana hio mbeleni unayoiongelea bila kusema nilini haina mwisho
Sababu hata baada ya miaka mia ama zaidi bado itakua mbeleni