Kumbe na wewe unakubali kwamba amezungumzia huo ushoga, sasa kama ameuzungumzia huo ushoga si lazima nijibu yote aliyoyazungumzia, mimi nimechagua kusemea ushogaUmesoma alichosema, yaani yote hayo wewe umeona ushoga tu??
Na baadhi ya warusi wanakiri hili kwamba hata wakishambulia miundombinu yote ya Umeme ya Ukraine hawa watu hawatakubali ku-surrender wako radhi uwaue wote lakini hawajali wao ni kutetea nchi yao.Ukraine na Russia, Ukraine ni hafifu kijeshi ila wana moyo mkuu.
Hawa watu utaifa wao umo mioyoni mwao na ndiyo kitu pekee kinachowapa morali wa kuendelea kupambana. Kila tone la mtu wa Ukraine linalomwagika ni sadaka kwa ajili ya nchi yao.
Russia mpaka wanaahidiwa kulipwa ndiyo wanapigana, wakati watu wa Ukraine wanaacha kazi kwingine wanaamua kurudi kwao ili kupigania nchi yao.
Ukraine inapigwa, ila Russia inatumia nguvu kubwa sana kuipiga Ukraine.
Gallery Gerasmov amefufuka?Nimekuwa nasoma juu ya makamanda wa Urusi hivyo ninashare kitu baada ya Colonel General Alexandr Lapin wa Central Military District kuondolewa leoView attachment 2401371
Huyu alikuwa ni kama kamanda wa pili kwa umuhimu pale Ukraine. Ni baada ya lawama nyingi na kuangushiwa jumba bovu kwa performance ya vikosi vyake hasa retreat ya Lyman waliyotwambia ni 'tactical retreat' and the SMO was going according to plan. Lapin hakuwa anapendwa na Kadyrov wala Prigozyn wa Wagner PMC na milbloggers kadhaa ambao ni machawa wa wakubwa fulani kwenye jeshi.
Tukumbuke mwezi jana Lieutenant General Roman Berdnikov alishika nafasi ya commander wa Western Military District baada ya aliyekuwepo ColonelGeneral Alexander Zhuravlyov kuondolewa, huyo hakukaa sana wala.
Lapin alikuwa Chief of Staff wa huyu Sergey Surovikin (aliyechaguliwa kuwa overall commander wa hii SMO) kwenye operation ya Syria. Kule hakuna kamanda alionekana hajui, walipewa tuzo wengi. Binafsi Lapin naona anasingiziwa uzembe na kulaumiwa wakati ndio kamanda mkubwa aliyekuwa hatarini zaidi kuliko wengine. Alikuwa anakaa sana frontline na jana alionekana anakagua defensive lines.
Kuna clip mwezi jana niliona wanajeshi kama sikosei ni wa National Guards (Rosgvardiya) wakikamata bloggers walioshutumu uendeshaji wa operation. Hao waandishi wana link na Wagner chini ya Prigozyn na walimpondea Waziri Sergey Shoigu. Kwa haraka ukipanga makundi unakuta Shoigu ni neutral wanaogopa kumsumbua maana ni mwaminifu sana kwa Putin. Ila Prigozyn na Kadyrov wanampendelea Surovikin na hawampendi Lapin. Staff kwa ujumla haimpendi Kadyrov anaropoka na kuwakosoa. Haitaki wakujipendekeza waingilie kazi ya jeshi.
Army General Valery Gerasimov ana miaka 67, anaweza staafu hasa baada ya operation maana kakaa muda mrefuView attachment 2401368
Kazi anaiweza na alikuwa na rekodi nzuri hata alipochaguliwa wapinzani walikuwa na imani naye. Inaonekana kuna kupima nguvu kujua nani anajua ili shift of power ikitokea kila mtu akae mkao wake. So far hatuna tena Lapin kwenye mlinganyo.
Hivyo kwa summary ya ulichosema hapa ni kwamba Russia kaivamia Ukraine kwa sababu anataka kuirudisha/kuunda upya USSR iliyogawanyika 1991?Kwanza huu mgogoro siyo mpya wala si wa 2014 bali ni wa kutoka mwaka 1991 wakati Soviet inasambaratika. Wakati huo kulikuwa na makundi mawili yanayopingana kifalsafa na kimtazamo kuhusu hatima ya Soviet.
Kundi la kwanza ni la wakomunist waliokuwa wanaamini kunahitajika mabadiliko kidogo sana katika mifumo ya kuendesha nchi na kundi jingine lilikuwa linaamini kunahitajika mabadiliko makubwa sana kwenye mfumo wa siasa wa Soviet.
Mgogoro wa makundi haya mawili ukasababisha majimbo 12 kujitoa Soviet na kujitangazia Uhuru wao na kutaka kutambuliwa kimataifa. Nchi hizo 12, Ukraine ni mojawapo. Kwa ivo tangu wakati huo, Russia imekuwa ikiona ni wajibu wake kurudisha yale majimbo yaliyojitoa Soviet ile yawe sehemu ya Russsia.
Na nchi zile zilizojitoa toka Soviet zinaona ni salama zaidi kuegemea NATO na Ulaya kwa Usalama wao. Kwa ivo kila kijisababu kikipatikana kutakuwa na hizi vita na mapambano kila wakati. Hoja ni kurudi ama kutokurudi Russia.
Mimi binafsi najiuliza kwanini NATO wakiongozwa na Mmarekani waliivamia na kuipiga Libya, why they did the same evil to Syria, the same bloody and deadly destruction to Iraq....?Kuna watu chuki zao kwa Marekani ndiyo zimewafanya wachague kukaa upande wa Russia, lakini kinachowashangaza ni kuwa adui yao Mwingine, Israel anamsaidia Russia.
Hii vita ukiitazama kwa mtazamo huo mwisho wa siku unatoka kwenye uhalisia unabaki kwenye matamanio. Kwa mfano Ukraine ikipigwa, faida kwa Tanzania ni ipi. Jee Russia ikirudisha maeneo iliyoyateka kwa Ukraine ama ikibaki nayo, sisi kama nchi tunafaidika nini?
Urusi ilifanya kosa kuivamia Ukraine na kama tungekuwa taifa letu lina misimamo kama ile ya zamani, saa hizi tayari tungekuwa tumeshaishutumu Russia kwa uvamizi huo. Kitu pekee kwenye vita hii ni kuona kama ilikuwa ni halali Russia kuivamia Ukraine??
Hii ni Propaganda na chumvi nyingi ila msingi wa mgogoro wa Moscow na Kyiv sio huu!Kwanza huu mgogoro siyo mpya wala si wa 2014 bali ni wa kutoka mwaka 1991 wakati Soviet inasambaratika. Wakati huo kulikuwa na makundi mawili yanayopingana kifalsafa na kimtazamo kuhusu hatima ya Soviet.
Kundi la kwanza ni la wakomunist waliokuwa wanaamini kunahitajika mabadiliko kidogo sana katika mifumo ya kuendesha nchi na kundi jingine lilikuwa linaamini kunahitajika mabadiliko makubwa sana kwenye mfumo wa siasa wa Soviet.
Mgogoro wa makundi haya mawili ukasababisha majimbo 12 kujitoa Soviet na kujitangazia Uhuru wao na kutaka kutambuliwa kimataifa. Nchi hizo 12, Ukraine ni mojawapo. Kwa ivo tangu wakati huo, Russia imekuwa ikiona ni wajibu wake kurudisha yale majimbo yaliyojitoa Soviet ile yawe sehemu ya Russsia.
Na nchi zile zilizojitoa toka Soviet zinaona ni salama zaidi kuegemea NATO na Ulaya kwa Usalama wao. Kwa ivo kila kijisababu kikipatikana kutakuwa na hizi vita na mapambano kila wakati. Hoja ni kurudi ama kutokurudi Russia.
Tatizo wengi wana comment kimihemko uhalisia binafsi natamani marekani ifutike hata kwenye uso wa dunia maovu yote yeye ni kitovuMimi binafsi najiuliza kwanini NATO wakiongozwa na Mmarekani waliivamia na kuipiga Libya, why they did the same evil to Syria, the same bloody and deadly destruction to Iraq....?
Ina maana kama Russia angekuwa hana nguvu kama hao niliowataja juu ni uhakika Marekani angeshaingia na kwenda kuwavuruga vibaya mno....
Angalia watu wanavyoteseka huko kote nilikotaja....angalia hali ilivyo Libya it's a hell...Sasa kweli kwa akili ya kawaida kuona Leo hii kuna nchi inasimama na kujilinda juu ya udharimu wa NATO mtu unaweza kuipinga au kushangaa?
Na watu wengi wasichoelewa ni kuwa Marekani hana rafiki wala adui wa kudumu. Hata hiyo misaada anayotoa usifikiri anatoa bure..jamaa hana Cha bure. Huenda Ukraine ikaingia kwenye madeni ya kudumu na hapo totally wakawa chini ya Mmarekani.
Ndio maana inahitajika busara kwenye kuchagua viongozi. Mkichagua viongozi wa hovyo kama kina Zelensky ndio mwisho wa siku wanawaingiza kwenye matatizo tena kwa kununuliwa kwa ajili ya manufaa yao wenyewe.
Zelensky alitambua kabisa kuna mkataba walishaingia na Russia kwamba Moja ya conditions ni kwamba wasije wakajiunga na NATO lakini Leo anaingia madarakani na kuanza michakato ya kuingia NATO kwa hiyo alitegemea nini? Mwishowe kawaingiza wananchi kwenye matatizo yasiyo ya msingi...!
Labda vita ya kuzimuGallery Gerasmov amefufuka?
Alishafariki vitani huyu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Umemjibu Meya wa Kiev , mi nimehabarisha tu kk.Kabla ya umeme na gesi walikua wanaishije ulishawahi jiuliza hili swali ewe kijana mwenye upeo mdogo
Atulie apambane, kalianzisha mwenyewe..,Sasa analilia mazungumzo ya nini.., afanye shughuli iliyompeleka kwenye nchi ya watu au kama shughuli imemshinda afungashe vilago aondoke,Mandonga kila siku anaomba mapatano ila wazee wa kazi wamemchunia
Putin ready for negotiations with West on certain conditions
Ukrainska Pravda
Sun, October 30, 2022, 12:49 PM·2 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Sergey Lavrov
Russian politician and Foreign Minister
IRYNA BALACHUK – SUNDAY, 30 OCTOBER 2022, 11:49
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has reported that Vladimir Putin, the President of the Russian Federation, was still ready for negotiations regarding Ukraine.
Source: Kremlin-aligned news outlets RIA Novosti and RT
Quote from Lavrov: "[We are] ready to talk with the West about reducing tensions, but only if there are realistic proposals based on an equal approach."
Vijana wengi hawaelewi siasa za wakati wa vita. KILA taifa hujaribu kujiweka katika nafasi ya kukubalika kidiplomasia. Hii ya kusema TUPO tayari kwa mazungumzo ni kauli tu ya kuonesha sisi si wagomvi lakini hata ukienda kwenye mazungumzo huyo anayekuambia si mgomvi anaweza kuwa wa KWANZA KUWEKA masharti magumu kukwamisha hayo mazungumzoAtulie apambane, kalianzisha mwenyewe..,Sasa analilia mazungumzo ya nini.., afanye shughuli iliyompeleka kwenye nchi ya watu au kama shughuli imemshinda afungashe vilago aondoke,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwenye bandiko lako mwanzoni unaonesha kama vile huwaamini Wamarekani, hapo hapo unaweka "Link" kuonesha nini aliambiwa Barack Obama na wamarekani kuhusu kuhusika kwake kwenye kuchochea vita vya Ukraine. Unatakaje sasa, tuwaamini watu unaosema hawaaminiki?Hii ni Propaganda na chumvi nyingi ila msingi wa mgogoro wa Moscow na Kyiv sio huu!
Mandonga kila siku anaomba mapatano ila wazee wa kazi wamemchunia
Putin ready for negotiations with West on certain conditions
Ukrainska Pravda
Sun, October 30, 2022, 12:49 PM·2 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Sergey Lavrov
Russian politician and Foreign Minister
IRYNA BALACHUK – SUNDAY, 30 OCTOBER 2022, 11:49
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has reported that Vladimir Putin, the President of the Russian Federation, was still ready for negotiations regarding Ukraine.
Source: Kremlin-aligned news outlets RIA Novosti and RT
Quote from Lavrov: "[We are] ready to talk with the West about reducing tensions, but only if there are realistic proposals based on an equal approach."