passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Yaa, itakuwa wakati mm naedit ww tayri ushaona weakness na tayari ushareply kwa kubonyeza kitufe cha reply.Sikuona edit itakua ilinipita
Huo ni mtazamo wangu tu hutaki acha, ila kikweli vita nyingi ukiziangalia hazina msingi tunasababisha tu vifo na uharibifu. Binafsi navyoona watu wanakufa na nchi zinaharibika kisa kugombea mipaka ya nchi huwa nasikitika sana.Hivi unaakili kweli watu wanapigania nchi Yao isimegwe kihuni unasema ni ujinga,
hivi unajua vita dhidi ya Uganda 1977 Tanzania ingesema ifuate ushauri wako Leo hii kagera ingekua sehemu ya uganda
Atakua kapoteza.Ili Russia awe ameshinda, nn kinatakiwa kitokee? Mfano Russia akiachia majimbo yote kama msingi wa kuonyesha nia ya kumaliza vita kisha akasema ushindi wangu ni kuhakikisha Ukraine haijoin NATO kama mwanzo ilivyokuwa halafu Ukraine ikaamua isijiunge NATO, Russia atakuwa kapoteza au kashinda?
US walieka pandikizi gani pale IRAQ bila umwagaji wa damu !!?Yaani ndugu umeongea bonge la point ambalo naliwaza daily na nashindwa kumwelewa Puttin, mwenzio katumia mbinu zisizo za gharama wala kumwaga damu kuweka pandikizi kwanini yeye na majasusi wake tena wako karibu na Ukrein washindwe kutumia mbinu ile ile kuweka mtu wao? Amenifanya niamini kuwa mtu akikaa sana madarakani na busara zinamkimbia.
NATO haina askari huko Ukraine... hivi vyanzo vyenu vya habari ni vya nchi gani?..Sasa hivi Zelensky analindwa na vikosi vya ulinzi vya NATO...
Basi ni mtazamo wa kijinga yaani uache nchi yako ichukuliwe huku unaangalia huo ni uzoba wa kiwango Cha u-professorHuo ni mtazamo wangu tu hutaki acha, ila kikweli vita nyingi ukiziangalia hazina msingi tunasababisha tu vifo na uharibifu. Binafsi navyoona watu wanakufa na nchi zinaharibika kisa kugombea mipaka ya nchi huwa nasikitika sana.
Ndio hao wanavamiwa na panya road wanaishia kulialia badala ya kuvivhinjaBasi ni mtazamo wa kijinga yaani uache nchi yako ichukuliwe huku unaangalia huo ni uzoba wa kiwango Cha u-professor
Exactly ndo tatizo la Tanzania tuna vijana hopeless sanaNdio hao wanavamiwa na panya road wanaishia kulialia badala ya kuvivhinja
duh,NATO haina askari huko Ukraine... hivi vyanzo vyenu vya habari ni vya nchi gani?
Unaona ameongea pointi Kwa sababu kuna kitu hukijuiYaani ndugu umeongea bonge la point ambalo naliwaza daily na nashindwa kumwelewa Puttin, mwenzio katumia mbinu zisizo za gharama wala kumwaga damu kuweka pandikizi kwanini yeye na majasusi wake tena wako karibu na Ukrein washindwe kutumia mbinu ile ile kuweka mtu wao? Amenifanya niamini kuwa mtu akikaa sana madarakani na busara zinamkimbia.
Lakini Russia ilikua ikitumia Meli hizohizo kushambulia Ukraine Kwa Makombora,hilo zinafanya hizo Meli kua target halali kabisa kijeshi.
Milele wakati maeneo yanakombolewa karibu kila wiki[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo Donbas anayosema ya kwake hajaikamata yote,Nusu inashikiliwa na Ukraine.Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
Bhas na Kaliningrad irudi Ujerumani. Alaska irudi Urusi.Kwa sababu ya historia ya hayo maeneo yalikuwa ni suala la muda Tu kurudi Russia.kuna makala kama unahitaji kuwa na maarifa unatakiwa kuyasoma.kuna haya makala yapo Rt TV inabidi kasome hayo maamuzi watu hawajakurupuka kila siku nakuambia pia nakuambiaga wewe unahitaji maarifa zaidi kuhusu huu mgogoro.View attachment 2402561View attachment 2402562View attachment 2402564View attachment 2402565View attachment 2402567View attachment 2402563View attachment 2402568
Na bila katibu wa UN kubembeleza kwa Putin wasingesafirishaNdo maana biden kawaka sana baada ya njia kufungwa
Urusi anaendelea kuchukua Maeneo yote yaliyobaki hayo Maeneo hayatarudi milele Ukraine na Sasa hivi kila sehemu warusi wanaendelea kwenda mbele yaani ni uhakika asilimia 100 hayo maeneo hayatarudi milele nakupa kazi ya kufuatilia mambo Gani yanaendelea huko urusi anaendelea kusonga mbele.Milele wakati maeneo yanakombolewa karibu kila wiki[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo Donbas anayosema ya kwake hajaikamata yote,Nusu inashikiliwa na Ukraine.
Unasema hivyo kwa SababuBhas na Kaliningrad irudi Ujerumani. Alaska irudi Urusi.
Urusi bado ina mentality ya Zama za mawe
Na Sababu maalum ya Maeneo haya kurudi urusi yameandikwa kwenye hayo makala nakushauri kama unataka maarifa ili usiendelee kujiaibisha kasome Kwa nini yamerudishwa.Unasema Alaska Alaska iliuzwa kihalali.Bhas na Kaliningrad irudi Ujerumani. Alaska irudi Urusi.
Urusi bado ina mentality ya Zama za mawe
Inafikirisha na kuhuzunisha sana, yaani Marekani na washirika wake wote wameshindwa kutumia nguvu kuendesha mambo kwa jinsi wanavyotaka wao badala yake wanaomba hisani kwa taifa moja ambalo tayari walishalipunguzia uwezo kwa vikwazo visivyo na idadi.Wapuuzi sana hawa,kazi yao kuu ni kichonganisha watu wasielewane na kibaya zaidi kujipa/pachika mamlaka ambayo hawana kabisa juu ya mataifa mengine hapa Duniani - kujiingiza ingiza kwenye internal affairs za mataifa mengine, kero sana kwa ustawi wa Dunia pamoja na amani ya kudumu.