Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kama ni kweli kwamba makombora machache ndo yamefanikiwa kupita mbona uharibifu ni mkubwa tena nchi nzima?unaweza kufafanua?Makombora yaliyorushwa Leo ni zaidi ya makombora 50 huku 44 yakitunguliwa[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2402998
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha mbanga Famba wewe hayo hapoHuku wenzio wanalia huko wewe unasema yametunguliwa sawa View attachment 2402899
Ndo maana biden kawaka sana baada ya njia kufungwa
Kama ni kweli makombora mengi yametunguliwa Kwanini uharibifu ni mkubwa alafu ni nchi nzima hiyo habari ni uongo.Acha mbanga Famba wewe hayo hapoView attachment 2403001
Du! Mbona kama wamewapa adhabu kubwa sanaALL MISSILES WERE INTERCEPTED-GOSPEL ACCORDING TO PRO-THEM
The result of the missile strike by the Russian Army, 11:00 a.m. on 10/31/2022
The following regions and cities are affected:
- Kiev
- Dnepropetrovsk
- Vinnitsa
- Zaporozhye
- Poltava
- Kharkiv
- Kirovograd
- Lviv
Attacks on important facilities:
- CHPP-5 (Kiev)
- CHPP-6 (Kiev)
- Lviv CHP (Lviv)
- TE Kremenchug
- DniproGes
- Novodniester TPP
Stopped metro in Kiev and Kharkiv. There is no electricity.
In many cities of Ukraine there are problems with water supply and electricity. In Kiev, an energy facility that supplies 350,000 apartments was damaged.
Ataweza kweli Kumdestroy Russia ?????View attachment 2402972
US Congressman Ruskin said that Russia must be destroyed at any cost because it is an Orthodox country with traditional values
“Russia is an Orthodox country professing traditional values. That is why it must be destroyed, no matter what price the US pays for it.”
Lete ushahidi wa huo uharibifu sio maneno tuKama ni kweli makombora mengi yametunguliwa Kwanini uharibifu ni mkubwa alafu ni nchi nzima hiyo habari ni uongo.
Kafuatilie Kwa waukraine wenzio wametoa sasa hivi Tu Hamna umeme na maji huko Kiev bado maeneo mengine mengi.Lete ushahidi wa huo uharibifu sio maneno tu
Habari hiyoLete ushahidi wa huo uharibifu sio maneno tu
Mwambie mpaka BBC wamekiri japo kinyonge shughuli ilikua pevuKama ni kweli kwamba makombora machache ndo yamefanikiwa kupita mbona uharibifu ni mkubwa tena nchi nzima?unaweza kufafanua?
Biibiisii hawana akiliMwambie mpaka BBC wamekiri japo kinyonge shughuli ilikua pevuView attachment 2403017
Meli za akivita za urusi ndizo zilikuwa zikilinda Corridor na ndivyo iliuwa imekubaliwa. Putin ametumia platform hii kufanya ujasusi na kushambulia ukraiineGrain corridor kuna meli za urusi za kivita!
Zilikuwa zinafanyaje kuko sasa....
Hizo Meli zilikua ni legitimate targets maana zilikua zikishambulia Ukraine kwa kurusha long range missiles,Ukraine ina haki zote ya kuzishambulia. Kumbuka tangu wiki mbili zilizopita Urusi ilisema itajitoa kwenye makubaliano ya usafirishaji wa nafaka hivyo hili lilitarajiwa na wala sio kitu kipya sema Russia anatafuta sababu tu kwamba wamejitoa kisa Ukraine imewashambulia. Wao mbona walikua wanarusha Makombora toka Zaporizhzhia nuclear power plant?! Sasa Kati yake na Ukraine Nani anafanya ugaidi?!
Halafu Russia inatafuta tu kusave face baada ya Meli zake kushambuliwa,inasema imeshambulia kambi ya SAS huko Ukraine ina maana siku zote hizo walikua hawaioni hiyo base waliacha SAS itoe mafunzo wakisubiri washambuliwe meli zao ndo waipige Makombora?!,fix nyingine bhana. Uingereza ina haja gani ya kuweka kambi Ukraine wakati wana program ya kuwafundisha wanajeshi wa Ukraine nchini mwao,kila baada miezi mitatu inafunza wanajeshi 10,000. Tatizo lako kila anachosema Urusi unakibeba kama kilivyo na kutuletea hapa bila hata kuchekesha akili kidogo lakini West wakisema hapohapo bila hata kufikiria unasema Propaganda,za kuambiwa changanya na zako.
Urusi apunguze propaganda bhana.[emoji23]
Typical lgbt statement. Ndio nawaambiaga humu hii vita moja ya LENGO kuu ni kulinda ushoga.View attachment 2402972
US Congressman Ruskin said that Russia must be destroyed at any cost because it is an Orthodox country with traditional values
“Russia is an Orthodox country professing traditional values. That is why it must be destroyed, no matter what price the US pays for it.”
Hao si wakuwajibuAcha mbanga Famba wewe hayo hapoView attachment 2403001