Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una uhakika unacho kinena?
 
macho ndogo washafanya yao


China today successfully launched Mengtian, the laboratory module that makes up the third and final part of its new space station, joining the Tianhe core module launched in April 2021 and the Wentian laboratory module launched in July. The module was launched on the Long March-5B launch vehicle, which was launched from the Wancheng Cosmodrome on Hainan Island.
 

Hahahaha bro unafurahisha,Yani Russia hiihii inayohangaishwa na Ukraine mwezi wa 9 huu ndio iweze kuwanyuka Marekani na Ulaya kwa wakati mmoja?! Embu waambie wajaribu waone cha mtema kuni.

Elon Musk ana haki kutoa maoni kama Raia wa Marekani maana hiyo ni haki yake inayomlinda kikatiba lakini maoni yake si Sheria ama hayawezi kua ushauri kwa Jeshi la Marekani. Yani jeshi la Marekani lipokee ushauri toka kwa Elon Musk,are u serious bro?! Kweli kabisaaaa?!

Eti tusimbishie Elon,huyu Elon mara ngapi hua anaongea upuuzi?! Si alishawahi kutoa maoni kwamba NASA iliipue Mars ili kuweza kupata Oksijeni sijui,NASA haikuhangaika nae sababu kutoa maoni ni haki yake kikatiba hivyo huwezi kuniambia neno la Elon ndo Sheria kwamba akiongea eti asibishiwe kisa tu si mwanasiasa.
 
Yaani tunasafari ndefu ya ukombozi wa kifikra na kiuchumi...ukiwaambia hivi vijana wanaishia kutoa lugha za matusi....wamemezwa na umagharibi Hadi wanatia huruma...hawaijua Amerika wanabaki kuwa wafuasi vipofu.
 
SI mkatoe meli za nafaka .... Yaani awasumbie kidudu mtu Mmoja nchi 30+ na mbaki mnalalama tu!?? Si muweke azimio tu Hapo UN kama mlivyofanya Kwa Gadafi na Sadam mmkamtoe Dunia itulie??? Shida ni Nini!!??
[emoji298]️12 ships with 354.5 thousand tons of agricultural products for African, Asian and European countries left the ports of "Odesa", "Chornomorsk" and "Pivdennyi" today, — according to the Ministry of Infrastructure of Ukraine.

According to the agency, their passage has been agreed upon by the UN and Turkey, and the Russian Federation has been informed.

[emoji298]️"Even if Russia behaves indecisively, we will continue to make efforts to deliver grain to the world markets, we will continue our efforts to deal with grain," — Turkish President Erdogan.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
 
SI mkatoe meli za nafaka .... Yaani awasumbie kidudu mtu Mmoja nchi 30+ na mbaki mnalalama tu!?? Si muweke azimio tu Hapo UN kama mlivyofanya Kwa Gadafi na Sadam mmkamtoe Dunia itulie??? Shida ni Nini!!??
Hivi huu upupu wa kwamba Russia inapigana na nchi 30+ mnautoa wapi?! Russia inapigana na Ukraine Peke yake inayosaidiwa silaha na nchi washirika kama ambavyo Russia inasaidiwa na nchi washirika kama Iran, North Korea,Syria,nk.
 
Hii exposure ya red indian kunyang'nywa ardhi inaonekana unayo. Well, Perfect. Hakuna ubaya katika hilo.

Kuna aina ya tone mtu anapoitumia unaelewa kabisa huyu anajua sana, hutakiwi kumchalange sababu anafahamu yote.

Kwa ufupi tu humu unadiscuss na watu ambao wengi wamezaliwa 1965 na kuendelea mpaka 2005 wapo humu na wanahoji. Hawawezi fahamu sana hayo mambo esp kama hajasoma historia.

Hawajashuhudia zile zama za kunyang'anyana ardhi achilia mbali zama za ukoloni. Ila wamemuona Urusi akichukua ardhi katika zama hizi za utandawazi hivyo kuwa muelewa tu unapojadiliana na watoto. Nenda na sisi taratibu.
 
Wenzetu wapo Vitani lakini miundombinu yao ndani ya muda mchache isharekebishwa lakini Sisi nchi ya ahadi marekebisho kidogo tu tunaingia kwenye mgao wa wiki nzima

[emoji298]️Energy supply has been fully restored on the right bank of Zaporizhzhia, — Anatolii Kurtev, secretary of the city council.

Work continues to restore electricity to consumers on the left bank of the city.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
 
Acheni Supapawa avurumishe Makombora kwa hasira maana anabutuliwa mpaka chumbani kwake[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️On the night of October 31, a powerful explosion took place at the Veretje airbase of the Russian Armed Forces in the Pskov region. Two Russian attack helicopters Ka-52 "Alligator" were completely destroyed. Two more - significantly damaged, — the Main Intelligence Directorate.
 
Nchi yangu ya ahadi Tz ingetuchukua mwezi mzima[emoji23][emoji23]

[emoji298]️In 3-4 hours, we will return water supply to the consumers of the left bank of Kyiv and partly the right bank, — informed the mayor of the capital Vitaliy Klychko.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua

 
Good
 
Residents of Kiev can be relocated to other, more stable regions if the situation on the energy front becomes critical - said the head of the region Oleksiy Kuleba. to more stable regions - what are these? in Russia?
 
ALL MISSILES WERE INTERCEPTED-GOSPEL ACCORDING TO PRO-THEM
Prime Minister of Ukraine Shmygal admitted that 18 targets in 10 regions of the country were hit by six (!) Russian missiles. Pulling for a world record
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Urusi imetumia Tsh trion 1 mpaka 1.4 kwa mashambulizi ya Leo asubuhi huko Ukraine.

Makombora 50 ya Kh-101 yaliyorushwa kwenye miundombinu ya umeme, ukreine imedai kudungua 44.

Pesa hizo ni zaidi ya nusu ya bajeti ya kila mwaka ya Novosibirsk - miji wa tatu Kwa ukubwa huko Urusi
 
Kama ndani ya muda mfupi namna Ukraine anaweza ku-cover uharibifu kwenye miundombinu.., Russia inabidi ajiulize mara mbili mbili juu ya ghalama anazotumia kufanya haya mashambulizi,alinganishe na matokeo yanayopatikana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…