Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo unajua Leo kwani hujui kama Russia ilishachukua wapiganaji mpaka Syria.IRAN
NORTH
SYRIA
Haya mataifa matatu na RUSSIA ndio yanapambana na NATO mbali wale washirika wengine uchwara
Halaf kumbe SYRIA inauwezo wakusaidia taifa jengine
[emoji16][emoji16][emoji16]
Urusi ana ardhi kubwa kuliko sayari ya pluto.bwana mkubwa ambae ana liardhi likubwa
Cha ajabu na wewe umechapia.., Badala ya 'uhuri' unaandika 'uhuru'Leo itakua Kiev imepelekewa moto mpaka mpaka BBC wamechapia kuandika badala ya urusi wameandika uhuruView attachment 2403163
Leo hii BBC imekuwa lafiki mkubwa kwenu.., lakini akileta habari hambazo ni negative kwenu anageuka kuwa chombo Cha kueneza propaganda za west..,nyie watu nashindwa niwaweke kundi gani aisee [emoji848]Mwambie mpaka BBC wamekiri japo kinyonge shughuli ilikua pevuView attachment 2403017
Mkuu kabla ya kumkumbusha hiyo December Bujibuji Simba Nyamaume mwambie tu ukweli kwamba hizi RAMLI zetu hua hazivuki mpaka(boarder)Ulisema December haitaisha Putin akiwa hajafa,nitakukumbusha.
Come on mzee!!!!! Japan alikuwa ameshaanza kushindwa hata kabla ya nuclear bombs azijadondoshwa hiroshima na nagasaki. Inaonekana wewe ndio huna mahusiano mazuri na historia, maana kuelekea mwishioni mwa vita baada ya kuzidiwa na marekani pamoja na washirika wake Japan ilifikia hatua marubani wao walianza kujitoa mhanga(nadhani ndiko tunakopata neno kamikaze) maana walikuwa wakijibamiza na ndege zao kwenye warship za marekani.Kuna muda ni vigumu kubishana na watu wasio na fact ambao hawajasoma hata cold war ilivoanza na kupelekea vita vya pili vya dunia watu wengi hawana uelewa koz bila nyuklia vita ya Japan na marekani angeshinda Japan sasa vijana wa Leo hawaelewi kabisa nafikir shida ipo kwenye mfumo wa elimu na upeo wao wasamehe mkuu
Lakini bado haridhikiUrusi ana ardhi kubwa kuliko sayari ya pluto.
Helicopter ya Ukraine imetunguliwa huko na Donetsk na kuwaunguza wanamgambo wote wa waliokuwemo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukrainian Helicopter Reportedly Crashes in Donetsk Region...
Kingine nilikuwa sijui kuwa cold war ndio iliyosababisha vita ya pili ya dunia naomba utujuze hiyo cold war ilianza lini na ilikuwa kati ya nani na nani. kwa style hii inabidi nimtafute mwalimu wangu wa historia anirudishie ada yanguKuna muda ni vigumu kubishana na watu wasio na fact ambao hawajasoma hata cold war ilivoanza na kupelekea vita vya pili vya dunia watu wengi hawana uelewa koz bila nyuklia vita ya Japan na marekani angeshinda Japan sasa vijana wa Leo hawaelewi kabisa nafikir shida ipo kwenye mfumo wa elimu na upeo wao wasamehe mkuu
Hayo sita yaliyopenya labda yalikuwa na vitoto maana sio kwa uharibifu huoKama ni kweli kwamba makombora machache ndo yamefanikiwa kupita mbona uharibifu ni mkubwa tena nchi nzima?unaweza kufafanua?
NATO wapeleke tena Helicopter nyingine zikaangushwe...Helicopter ya Ukraine imetunguliwa huko na Donetsk na kuwaunguza wanamgambo wote wa waliokuwemo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukrainian Helicopter Reportedly Crashes in Donetsk Region ...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] may be lilikuwa linalipua sehemu moja halaf linanyanyuka lenyewe na kwenda kulipua sehemu nyingine na nyingine tena na sijui ingekuwaje kama hayo 44 wangeshindwa kuyazuia basi ukraine yote ingefutikaHii failled state ya UKRAINE inapiga propaganda kila idara
Halaf wanashindwa zipangilia...
Makombola yametoka wapi mbona walisema ametindikiwaMwambie mpaka BBC wamekiri japo kinyonge shughuli ilikua pevuView attachment 2403017
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] toka nikufahamu leo ndo umeongea point mkuu.sio kila jambo ni la kupingaKutesa kwa zamu,Leo ni zamu yenu kujimwayamwaya pro Russia..,siku mbili zilizopita,baada ya kipigo walichopokea wapiganaji wa Wagner..., pamoja na Sevastopol huko Crimea.., ilikuwa shangwe kwa pro Ukraine.., ivyo sio mbaya,mbio ni kupokezana,[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yani unandika huku wewe mwenyewe unaona aibu kwa unachokiandikaHivi huu upupu wa kwamba Russia inapigana na nchi 30+ mnautoa wapi?! Russia inapigana na Ukraine Peke yake inayosaidiwa silaha na nchi washirika kama ambavyo Russia inasaidiwa na nchi washirika kama Iran, North Korea,Syria,nk.
Chai ya moto hiiView attachment 2403108
Urusi imetumia Tsh trion 1 mpaka 1.4 kwa mashambulizi ya Leo asubuhi huko Ukraine.
Makombora 50 ya Kh-101 yaliyorushwa kwenye miundombinu ya umeme, ukreine imedai kudungua 44.
Pesa hizo ni zaidi ya nusu ya bajeti ya kila mwaka ya Novosibirsk - miji wa tatu Kwa ukubwa huko Urusi
Na ikumbukwe elon musk pia ni muundaji wa rockets kwa hiyo ana knowledge kubwa juu ya hii tasinia na kwa miaka mingi nasa wamekuwa wakitumia rocket engine za russia so kwa mtu kama elon musk kuonya nchi za west juu ya nuclear war against russia lazima anajua how capable russian missiles are na huenda anajua there is no way west wanaweza ku intercept hizo missilesNilisha kwambia mara nyingi tu, sijui kwa nini hutaki kuelewa somo - read my lips once again, nimesema hivi: Russian Federation she is not