Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa ivi mmetoka kwenye umeme na maji mnaenda kwenye kusonga mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].sasa sijui utaendelea kuamini tena maneno ya viongozi wenu.
Ushindi wa Ukraine ni kuendelea kuwepo madarakani kwa serikali ya rais zelensiky. ,Huo ndio ushindi haswa, mengine ni chai tu..,maana urusi alidhamilia kuifuta serikali ya mjini Kyiv kwa muda usiozid saa 72,kama mlivyoamini wengi wenu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
If you can't beat them,join them this is what US is going to do,[emoji3][emoji3]
 
That is how alpha males look like sio kama hao wanaume wa upinde ambao wanadai there is no straight males among them
 
Najiulizaga siku naye ukraine akapewa makombora mazito kama wanayotumia Russia hii vita ingekuwaje maana ukraine zana anazotumia ni kwa ajili ya diffensive tuu .Hana makombora ya kushambulia kama Russia
Hivi ndugu unajuilizaga au umepata majibu sometimes huwa napata kazi kucoment hivi silaha anazopewa Ukraine ninmagobole au
 
Unakuwa Rais wa maghofu, unaishi gizani, hauna uhuru wa kwenda kutembea(muda wote unajifungia ndani kama mwizi.sasa hapo kuna raha gani ya kuwa kiongozi.

Kwa unavyofikiri Zelensk anapata kweli usingizi usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Russia anaituhumu Ukraine kushambulia black sea fleet wewe unatuambia NATO ndo wameshambulia,kwahiyo wewe unajua kushinda wenyewe warusi?!
Mtuhumumiwa namba 1 ni uingereza na wamejibu kwa kukanusha

Na russia wamesema wanazo nyaraka za siri zikiwemo emails za kupanga hayo yaliyofanyika na ushahidi ndo wanataka kuwasilisha un
 
Kwahiyo huyo ndio Putin aliandika Kwa kiswahili?😆😆Nyie watu mnachekesha!
 
Hii idea niliifikiria sana last week. Russia achukue majimbo mengine 3 ya Ukraine then sie warusi wa ubena zomozi turuhusiwe kwenda kuishi huko, waarabu waruhusiwe pia na marafiki wengine

Pale Ukraine pageuke kua makazi ya watu wote wa race zote, sehemu walipo waarabu na waafrica, alafu wakapewa silaha na mafunzo... nakuhakikishia west wataanyooka, watanyosha mikono wenyewe.
 

The Russians have hacked the U.S. "DELTA Command & Control System." Complete Ukraine battle plans are now exposed​

01 NOVEMBER 2022

The United States "DELTA" Command and Control System is the computer network that the US uses for battle operations. It is constantly updated by military planners and intelligence sources with troop deployment info, weapons stock info, and complete attack plans. Russia has HACKED it; Ukraine's battle plans totally compromised.
Equally important, the DELTA system is also constantly updated with information about the OPPOSING forces, in this case, Russia. This is likely to be dispositive of the entire Ukraine war, in Russia's favor.
 
🇷🇺⚡Ministry of Defense of the Russian Federation: Recruitment from the reserve as part of partial mobilization has been completed, the delivery of subpoenas is stopped

The work of military registration and enlistment offices for recruiting the Russian Armed Forces will be organized only by accepting volunteers and candidates for military service under the contract

All personnel of the military registration and enlistment offices involved in ensuring partial mobilization are ordered to return from October 31 to performing their duties in a regular mode.
 
Bila mmarekani hiyo Russia unayoisifia isingekuwepo....

Baada ya kusaidiwa leo kaota majipu kwapani...

Fuatilia hadi sababu ya huyo mrusi kumuuzia U.S.A jimbo la Alaska
Eti Russia bila USA isingekuwepo😆😆😆!Hizi akili za wapi?
 
Take it from me, [emoji95]

Ukisikia ama ukiona uchaguzi unasifiwa ama ukisifiwa na Western block utizame mara mbili mbili sana!


NAKAZIA
 
Habari hizi zakupuuzwa

Kwani NATO wameingia vitani mazima !!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…