Baada ya US and UK kuweza kusambaratisha USSR with cold war bado mrusi sana kwa hawa watu.Putin anajitahidi but will not reach far kwa sababu walisharuhusu system yao kuingiliwa na mpaka wachina.US hata wakipigana maali will not use any other country wepon kwa sababu hamwamini mtu .Mrusi alikuwa anamwamini mturuki na Mchina but all of them akae chonjo sana.Mmarekani anacheza na system na anaweza akachukua mpaka miaka 100 kuhakikisha lengo ninafanikiwa mojawapo ni kuisambaratisha USSR.Soma kitabu kinachosema "why did USSR collapse:from Washington to Moscow"Hata PUT IN alilijua hili nandio mana jana akasema watu wajjandae na hii SMO kwamuongo mzimaa
RUSSIA hakukurupuka
Naona ushachagua upande wa kushindwa😃!Atat
Atatokea wa kusarenda tuu vita ni gharama hasa katika zama hizi ambazo zana nying zinatumia technology za bei ghali .Kuna mmoja atasarenda
Usingizi anapata aisee,Unakuwa Rais wa maghofu, unaishi gizani, hauna uhuru wa kwenda kutembea(muda wote unajifungia ndani kama mwizi.sasa hapo kuna raha gani ya kuwa kiongozi.
Kwa unavyofikiri Zelensk anapata kweli usingizi usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mguu sijui kichwa chako wala kichwa chake, ila naweza kuhesabu ni nchi ngapi zinazounga mkono vita ya Putin. Bila shaka na wewe unajua kuhesabu, kwa hiyo tuko pamoja kwamba idadi ya hao wanaokubali vita ya Putin ni ndogo (sijui - ziko 5??) ilhali wanaosema kwa sauti kila nchi iheshimiwe ndani ya mipaka yake ni kubwa - sijui wangapi kwa hesabu yako? Kweli kabisa "Dunia si Marekani na EU!"We jamaa uko timamu kichwani, yaan wenye maamuzi Duniani unahisi Urusi hayupo??
Vita itaisha israel na palestina ishu yao tofauti sqna nq ukraine na russia ,hapa pesa ndefu inatumika hupigani hii vita kwa bajeti ya kuchechemeaNaona ushachagua upande wa kushindwa😃!
Ila usijeshangaa ikawa ya Israel na Palestine!
Tatizo lenu mnamchukulia poa Russia,eti bajeti ya kuchechemea😃!Vita itaisha israel na palestina ishu yao tofauti sqna nq ukraine na russia ,hapa pesa ndefu inatumika hupigani hii vita kwa bajeti ya kuchechemea
Jamaa Kasema huwezi kupigana hii vita kwa bajeti ya kuchechemea hajataja nchi yoyote..,wewe umeshakimbia mbio kuitetea urusi.., mbona unajishtukia hivi mkuu??[emoji16][emoji16]Tatizo lenu mnamchukulia poa Russia,eti bajeti ya kuchechemea[emoji2]!
Hii vita inaweza kwenda mpaka sponsors wakaona enough is enough!
Wananchi wa hizo nchi wanaweza goma pesa Yao ya Kodi kuendelea kutumika!
Tumeshaanza kuona watu wakipiga kelele huko US, Germany na kwingineko!Sasa hali ya maisha ikiendelea kuwa ngumu huko EU na US,ndio mtajua!
Kalibr na kamikaze wanaiangalia hii msg kwa hasira sana11:01 am
Mayor: Water, electricity supply restored in Kyiv after Russia's Oct. 31 mass attack.
The water and electricity supply has been fully restored in Kyiv, according to Vitali Klitschko, the mayor of the city. The utility service workers have been working for around 24 hours to repair the damage after Russia's mass attack on Ukraine on the morning of Oct. 31, he said. Kyiv, however, still implements rolling blackouts to stabilize the power system's operation.
Iko sawa Hata angekua wewe mkuuNiliwaambia toka mwanzo Dunia haiwezi kumruhusu Putin akashinda hii vita, na ikitokea hivyo basi dunia itakuwa imefeli vibaya sana kuruhusu Dikteta mmoja afikiri kuitawala Asia yote na baadaye Dunia nzima. Leo atampiga Ukraine kesho atahamia Lithuania, Lativia, Poland nk
Jamaa mmoja aliniuliza what do you mean by "Dunia" nikamjibu kwamba hadi sasa kama hajui Dunia ni ya kina nani basi yeye kachoka.
Kifupi Putin atapelekwa mdogo mdogo hadi kwenye kona, huko ndipo itakuwa mwisho wake - count 5 to 10 yrs kama akiendelea kukomaa.
Anajulikana anamaanisha Nini!Kwa mlolongo ukiusoma,basi utaelewa amechagua kuamini Nini!Jamaa Kasema huwezi kupigana hii vita kwa bajeti ya kuchechemea hajataja nchi yoyote..,wewe umeshakimbia mbio kuitetea urusi.., mbona unajishtukia hivi mkuu??[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zile ngumi alizokuwa anapigwa kichwani zitakuwa zili athiri ubongo wake. Anatudanganya mchana kweupeThe water and electricity supply has been fully restored in Kyiv, according to Vitali Klitschko, the mayor of the city.
Nani atakayempatia huyo iran hicho mnachokisema. West wamezoea kupiga vinyago ambavyo havirudishii bahati mbaya iran sio kinyago YOU HIT HIM HE WILL HIT YOU BACKIRAN ATAKIPATA ANACHOKITAFUTA, COUNT DAYS....
Iran is preparing to send approximately 1,000 additional weapons, including surface-to-surface short range ballistic missiles and more attack drones, to Russia to use in its war against Ukraine, officials from a western country that closely monitors Iran’s weapons program told CNN.
The shipment is being closely monitored because it would be the first instance of Iran sending advanced precision guided missiles to Russia, which could give the Kremlin a substantial boost on the battlefield.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Sasa mchangiaji wa JF ndio imekuwa serikali ya Russia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848]!
Kweli mmepata Chaka la kujificha mambo yanapokuwa magumu![emoji2]
Asante kwa kukubali kwanza ikitakiwa useme hivo toka mudaSawa.., ngoja tuseme operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo Inakwenda kama ilivyopangwa.., furahini sasa [emoji3059][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Same story as posted by Ukrainians!Behind the scenes - Rumors [emoji91]
An interesting story is spreading on the sidelines.
The grain deal is beneficial for Russia, since it will create a shortage of grain in Ukraine itself in 2023, which will affect pricing policy and inflation in general.
Many wonder why then Russia opposes the grain deal and wants to complete it in every possible way.
The answer is simple: you need to convince that it is beneficial to your opponent so that he “digs a hole for himself” even faster, thinking that he is doing you harm.
If in 2023 there are prerequisites for hunger and food shortages in Ukraine, know that the “professionals” in power are to blame for this, who staged a total sale of everything without thinking about tomorrow.